PR Baraka Butoke Atoa kisa kilichoweza kuliza watu wengi machozi +255715818838,+255626561191

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2017

ความคิดเห็น • 22

  • @faithsyombua1103
    @faithsyombua1103 4 ปีที่แล้ว +2

    I love your preaching pastor Baraka,may God bless you abundantly

  • @tabithanganga-fv1bv
    @tabithanganga-fv1bv 11 หลายเดือนก่อน

    The truth gospel with this man of God

  • @eunicenyandiko1389
    @eunicenyandiko1389 3 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah Aminaaa

  • @tabithanganga-fv1bv
    @tabithanganga-fv1bv 10 หลายเดือนก่อน

    The msg is of another level

  • @washingtonmashambo894
    @washingtonmashambo894 6 ปีที่แล้ว +2

    TOUCHED WITH THE SERMON. BLESSED

  • @neemamwaipopo3864
    @neemamwaipopo3864 4 ปีที่แล้ว +1

    Pastor unanibariki sana

  • @namsintimbwa3040
    @namsintimbwa3040 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Pastor

  • @robinsononyango6762
    @robinsononyango6762 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba watu waone ubora wako kwenye maisha yangu

  • @cosmicmessage137
    @cosmicmessage137 6 ปีที่แล้ว +1

    God speaks to people through people

  • @witnessmbogora3966
    @witnessmbogora3966 4 ปีที่แล้ว +3

    Muumbaji siku zote ni omniscience hawezi kuwa ktk ubora wake baadhi ya siku. ..wanaokuwa ktk ubora wao ni wanadamu maana kuna siku wako dhaifu...heading siyo bora

  • @juliusjuliuscharles4411
    @juliusjuliuscharles4411 6 ปีที่แล้ว +1

    Pr Bwana akubariki

  • @ezekieliamani6212
    @ezekieliamani6212 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mchungaji

  • @richardmisogalya9499
    @richardmisogalya9499 6 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji ubarikiwe

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni Bora kila wakati na sio nyakati flani pekee ila hubiri ni zuri sana

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 4 ปีที่แล้ว

    Amen ahsante pr Baraka

  • @josephmanase3176
    @josephmanase3176 ปีที่แล้ว

    Fundishen na mafundisho ya hukumu tuifahamu

  • @ipmalu9947
    @ipmalu9947 5 ปีที่แล้ว

    Kwa sadaka ao we ucpime

  • @evangelistegadokechi9916
    @evangelistegadokechi9916 6 ปีที่แล้ว

    Kacou 2:Tamka hukumu!
    6. Haya! Tunajua ya kwamba manabii wajumbe wote walipokea ujumbe yao toka mbinguni na tuone sasa Ujumbe huu wa shairi la 6 na la 7. Ni Ujumbe ya kwanza inao mwambia mwafrika, kwa mfano, amuabudu Mungu wa kweli aliye fanya mbingu: nyota, jua, mwezi, hata pia malaika walioanguka wanao tumia horoskope, orodha za maajabu, dini. Mungu haja wahi kuwa tatika dini. Ukristo halisi siyo dini bali maisha. Malaika huyo anaomba wahaiti na wabenina kuachana na vodoo, uchawi, asili na zingine aina zote za kuabudu na kuita mapepo… Mungu aliumba dunia kwa kuishi kwetu na hatupashwe kuigeuza kuwa msitu takatifu, sanamu na mask kwa kuiabudu… Hii ndiyo ilikuwa Ujumbe ya malaika wa kwanza. Na huyu malaika wa kwanza ni mtume Paulo. Bahari kubwa na chemchem za maji hazikuumbwa kwa kuabudiwa bali ni Mungu ndiye inatupasa kumwabudu; ni Mungu ndiye muumbaji. Mnaona?
    7. Baadaye, kwa shairi la 8, malaika wa pili alitoka; siyo katika seminari wala katika shule la uchungaji bali alitoka mbiguni. Kwa kutangaza teolojia? Hapana! Kwa kufundisha mahubiri ambayo tayari yalihubiriwa tangu zamani kumepita miaka arobaini au mia moja? Hapana! Kwa kuenda kuwafunulia neno waalimu na wenye kuleta mafunzo katika shule za wachungaji? Hapana! Kwa kutoa maoni yake kulingana na yale mtu Fulani alisema imepita miaka arobaini? Hapana!... LAKINI WAKATI ILITIMIA ILI KUHUBIRI INJILI YA UPEO MWINGINE! [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. Kuhubiri hukumu ya Babiloni, kanisa katolika kwa kuwa alipiganisha, aliua watakatifu na kuharibu njia zote za wokovu. Na hii imewekwa wazi katika Ufunuo 17. Ilikuwa kwa karne ya XV na ya XVI pamoja na mageuzi. Na ile iliongoza hadi uprotestanti.
    8. Baada ya mageuzi, Martin Lutheri, Ulrich Zwingli, Farel, Yoani Kalvini, John Wesley na wengine walipo fariki, makanisa yakasonga Kanisa la kweli. Mungu akapandisha sasa malaika wa tatu, mjumbe wa tatu pamoja na Ujumbe ya unabii kwa watu wote wa dunia. Mungu hapandishi kamwe kanisa au kundi la watu kwa kuleta au kurudisha Ukweli duniani bali nabii-mjumbe. Kumkataa huyu nabii, ni kumkataa Mungu, kwa kuwa nabii ni kinywa cha Mungu, msemaji wa Mungu, anaye kuja na Ujumbe ya Mungu, anayetumwa na Mungu, siyo mtu anayeleta maneno ya ujuzi au mtu anayeangusha watu katika makutano ya maombi pamoja na maajabu na ufunuo ya udanganyifu, hata kama hizo ufunuo zinakuwa kila mara kweli… [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!].
    WWW.PHILIPPEKACOU.ORG
    #Sikensi #