#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 มิ.ย. 2024
  • Karibu Katika Channel Rasmi Ya Mwl Lugano Ndile ,Kwa Mafundisho Yenye Kujenga Na Kuimarisha Hali yako ya Kiroho.
    Kwa Maombi /Ushauri +255 682 667 526

ความคิดเห็น • 2

  • @florasingano5859
    @florasingano5859 16 วันที่ผ่านมา

    Amen.. barikiwa

  • @RobertEmmanuel-pl9jj
    @RobertEmmanuel-pl9jj 15 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiww sana mtu wa Mungu. Nimefatilia mwanzo hiki kipengele kama vile kilikuwa changu nimejikuta natamani kulia Mungu ni mzuri ni mtamu sana ukikutana na chakula kama hiki hakika roho mtakatifu amenifundisha na nimepata kitu kipya ndani yangu.....mimi bado ninayo shida. Kwenye kujazwa roho mtakatifu kuna msa uwa nasema Mungu kwaninimimi??? Mbn mimi najiona mtupu sioni kujazwa roho mtakatifu nguvu zake?? .. hadi kuna kipindi nilifunga tatu kavu lakini ilipofika siku ya pili nimelala saa nane usiku nilishtuka mtu amevaa nguo nyeupe akaniambia hujui kuomba , tengeneza kwanza na Mungu. ....kiukweli niliumia lakini nikasema sipingi lolote kama ni wewe Mungu......na nilikuwa nikihubiri kwenye magroup naumia sana najiona sifai mwisho kelele ndani yangu ikazidi nikaacha kuhudum kwenye magroup nikafuta wasap , ,,,,,, nikaanza kudili na kusoma sana neno na maombi na kusikuliza mafundisho .............nikanza kupata amani lakini bado shida yangu kwenye kujazwa nguvu ya roho na kunena nimewahi nena mara moja kutokea kwenye ndoto........kuna mda nakata tamaa japo namuona Mungu anatumia sana kunionyesha vitu ulimwengu wa ndoto na vinazilika ulimwengu wa mwili.