Pumzika Kwa Amani Hussein Jumbe, sauti yako bado itaendelea kuishi masikioni mwetu, MUNGU alikupa kipaji Cha kuimba na kukosha nyoyo za mashabiki wako.
Nyie mnaosema wasafi hawana jipya MNA uhakika??? Kuna wengne tulikuwa hata hatumjui huyu mhenga BT kupitia rayvanny kuirudia nyimbo yake tumemfaham na najua hata nyimbo zake zingine zitauzika cz kashajulikana thanx WCB mungu anawainua watu kupitia njia tofauti yawezekana hapo alipo jumbe alikuwa ashajikatia tamaa BT anapata moyo through that
Hussein Jumbe ni mwanamziki mkongwe kama ulikuwa humjui ni wewe tu. Hawa wanaorudia miziki ya zamani wanapoteza uhalisia wa nyimbo hizi na ni ukosefu wa ubunifu.
hii nyimbo ilinifanya nimfatilie Hussein Jumbe. nzuri. naomba mtu afanye ku - upload wimbo mmoja Hussein Jumbe alishirikia na dada mmoja siujui unaitwaje lakini chorus inaimba "pole dada Rehema ndoa yaitaji uvumilivu"
Humphrey Bernard, huo wimbo unaosema ni wa Mama mmoja anaitwa Rehema Tajiri. Aliwashirikisha marehemu TX Moshi William pamoja na marehemu Othman Momba.
Who is here 2024,,,❤
Ya kale ni Dhahabu hakika..
Nani bado anaitazama hii kazi
Dah huu wimbo ni wa Karne Ndugu zangu.Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake Kwa huruma zake inshallah
Huu wimbo umebeba historia angu ya maisha
Pole sana. Natumaini mapenzi yako yalielekea pazuri
Daah wimbo unanikumbusha marehemu shemeji yangu daah Allah amsamehe makosa yake
Nimeishindwa ya Rayvan nimeamua kuifuata hii ya Jumbe
Ni 14 Demcember 2018, bado nautazama huu wimbo na bado unagusa moyo yangu. Wimbo bora hakika. Twende pamoja kama unakugusa
Rest in peace Hussein jumbe Mola akupunguzie adhabu ya kaburi
Sio ampunguzie adhabu amsamehe makosa yake mzee Jumbe
Hussein jumbe uko wapi jamani duh,nliutafuta sana wimbo huu
noumaaaaaaa sana
th-cam.com/video/zvAt7XWVr8o/w-d-xo.html
Kijoko Mbao kwa sasa anaishi nchini Canada
+Kijana Matata hapana fleshy jumbe ndo yupo huko huyu hossen jumbe yupo tz tena anapatikana tmk
Huu wimbo ni HATARI..........vipaji vya wazee wetu ndo vinaondoka hivooooo jamani Hussein jumbe
😢😢😢😢😢 Nyimbo zako zinatoa ujumbe mzuri mpaka kesho ana kuendelea ,lala salama😢😢😢😢😢
Rip the Regend Hussein Jumbe.Umekufa muziki wako unaishi.wasalimie Muhidin Gurumo na Tx Moshi William.
Pumzika kwa amani baba yetu🙏
Hakuna haja ya Siri katika mapenzi! Hussein Jumbe hataki Siri! Asante Sana kwa wimbo mzuri!!! Pumzika salama kipenzi!
Pumzika Kwa Amani Hussein Jumbe, sauti yako bado itaendelea kuishi masikioni mwetu, MUNGU alikupa kipaji Cha kuimba na kukosha nyoyo za mashabiki wako.
Allah akuweke mahali pema peponi inshallah
Who is listening April 2020
Hussein jumbe ni moja ya wanamuziki Lulu Tanzania.
Dah mungu aendelee kumjalia huyu mzee maana huu wimbo nakumbuk mbal sn
Hii ni ya ma_legend c ya watoto wa juzi.
Watoto wa buku 2 hawawezi kujua kitu hapo
COMPOSER AND SUPER VOCALIST! SAUTI HALISI HAIHITAJI KUFANYIA POLISHING KWENYE COMPUTERS! RIP
Siri 2024 🙌🙌
13/October /2024
Rest in peace legend jumbe 🙏🙏🙏🙏
Ndyo,siri ya nini?! Hata mimi pia sipendi mapenzi ya siri sana.Nakupenda sana...unanipenda sana,hayo mengine tuyaache na tudeal ya kwetu😳
Duh naanza ku miss Tanzania sana
Nimekuja hapa baada ya #SIRI YARAYVANNY NA FAYMA
manSHYNE hate mimi
jenipha abdallah 😂😂😂
na mimi nmekuja kutoka kwa rayvan...hahaha
hata mimi pia
Tupo wengi...😝😋
Always Old is Gold - 19 Dec 2021. Rest easy Legend...
Daaaaaah,zamani walikuwa wanaimba bhana😢
nikupeleke nyumbani kwetu masha uwajue wazazi wangu
Cecylia Magele Kweli kabisa.
Nyie mnaosema wasafi hawana jipya MNA uhakika??? Kuna wengne tulikuwa hata hatumjui huyu mhenga BT kupitia rayvanny kuirudia nyimbo yake tumemfaham na najua hata nyimbo zake zingine zitauzika cz kashajulikana thanx WCB mungu anawainua watu kupitia njia tofauti yawezekana hapo alipo jumbe alikuwa ashajikatia tamaa BT anapata moyo through that
Reina Philbert ulikiwa humjuw we cha uongoooo we
Hussein Jumbe ni mwanamziki mkongwe kama ulikuwa humjui ni wewe tu. Hawa wanaorudia miziki ya zamani wanapoteza uhalisia wa nyimbo hizi na ni ukosefu wa ubunifu.
we itakua mtoto wajuzi km humjui huyu mujenga,ila sisi wazaman tunamfaham barabara na ametikisa sana enzi zetu
sanaaaaa tunamfatilia kiuhakika kabisa
20222 ni 24 December nakumbuka mengi sana Kwenye hii Dunia 😭Mwenyezi atujaalie mwisho mwema. 👏👏👏
It Is 2023 but I'm still listening to this nice song 🎶
Rest Easy the Legend
Pumzika kwa amani msanii mzalendo
2021 km bado unautazama huu wimbo ginga like
Daaah kweli siku zinaenda but ujumbe Ni mpya kabisa, Eeee Mungu tupe nguvu nyingine ya maisha katika ndoa
Tunaosikiliza nyimbo hii niamin bro tuna age range kwenye 30 plus
Rip Jumbe you be missed..
Rayvany boy uminifanya ni utafute huu wimbo Asante
Pumzika kwa Amani Jumbe
Ala Kumbe Vanny boy kachukua hii ngoma! Mimi nilifikiri yeye ndo aloandika mistari!
2023 gonga like hapa Kama unamkumbuka 😭😭😭🙏🙏
O7-12-2021 nautazamaa
Rest in power master😢😢
sauti mungu kakujalia husen hongera na ujumbe unatufikia
Vanny Boy unifanya kumkumbuka Mhengaaaa Jumbe
jumbe lud kwenye game tumemic ngoma zko jmn# 2020¥ 😘😘
Amesha fariki😢😢😢😢
Duh zamani itabaki kiwa zamani tuu sio sikuizi wamehalibu mziki ni uchafu mtupu
aweke nyimbo zake I tune ili ziuzike kwa urahisi,kama hii nimeitafuta I tune nimeikosa, i could buy
Ngoma kali saana haiishi ladha nakumbuka mbali saana hii
Good mr Jumbe
Asante ndugu kwa message yako
Asante sana vanboy umenileta hadi uku kweli hiii siri
Huu wimbo mbona unakatikatika wekeni ambao uko vizuri
Francis Jeremi mkuu nimejaribu sana kutafuta original yake nilikosa kama utaweza kupata nirushie nitabadilisha tu
Ulitixha sana mzee
Rayvanny kumbe kakuiga mzee na ww ni fire
Mtu kazi kaondoka duh!
Miaka ya 2004 Nakumba Hii nyimbo ilikuwa ikipigwaa namkumbuka Class mate wangu Sylvia Batamla
Aliendaga wap Uyo lafk ako????
2023 naitazama
Nani yupo hapa 2020
R i p legendar nyota imezimika kama mshumaa
Bonge la ngoma
2020 December huu wimbo still💥
Dah legend
Jumbe bado yupo vizuri
rayvanny kaufanyia kweli huu wimbo big up kwake
Pumzika salama kipenzi Cheri
hii nyimbo ilinifanya nimfatilie Hussein Jumbe. nzuri. naomba mtu afanye ku - upload wimbo mmoja Hussein Jumbe alishirikia na dada mmoja siujui unaitwaje lakini chorus inaimba "pole dada Rehema ndoa yaitaji uvumilivu"
Humphrey Bernard th-cam.com/video/zvAt7XWVr8o/w-d-xo.html
Humphrey Bernard, huo wimbo unaosema ni wa Mama mmoja anaitwa Rehema Tajiri. Aliwashirikisha marehemu TX Moshi William pamoja na marehemu Othman Momba.
Ramadhan Abas exactly
Ramadhan Abas v.
Sumu ya ndoa unaitwa
My sweet ringtone. Love the song vry much.
Rayvanny kanileta huku 💕nice tune
Naupenda sana huu wimbo
2019 daah atari sana asee wimbo utaishi daima
Nice song 💪💪💪👏👏👏
Mbona naona majengo tu sioni msanii
Siri ya niniii #VeeVannyBoy
Danny Jonz th-cam.com/video/zvAt7XWVr8o/w-d-xo.html
Dah hii nyimbo iliimbwa jamani
Ngomaaa Kari sana
Kwan hii vdeo yake si ipo mbona umeifanya hiv aisee
R.I.P LEGEND
asantee kwa wimbo huu
nan yupo apa baada ya corona
2021❤❤
Kopa limejaa ♥️
RIP Hussein Jumbe.
chorus ya rayvany imenifanya niutafute huu wimbo
nice song
Ailove..alida. Wangu.
..mungu akurehemu huko ulipo mama. nakupenda Sana
Naupenda sana huu wimbo2020 may tarehe 6
Ahsante kwa huu wimbo
Music is God creation
Nikupeleke nyumbani kwetu
umetishaaa
Daaah mwamba ameenda R.I.P
jumbe usikate tamaaa
bonge la songi. kwa ajily ya mpezi. Wangu Alida.
bonge la songi. kwa ajily ya mpezi. Wangu Alida.
nampenda Sana. Mke Wangu.. alida. kupitia hii nyimbo. ndio nimempenda zaidy
Siri yaniniii....h Ihumwa wanajuaaaah
rayvan umetukumbusha siri ya husen jumbe
R.I.P HUSSEIN JUMBE
Always my favourate ❤️
R.I.P legendary
kaz poa sana hiii
2022 bado tunazipenda
Sa ni bwana angu eko naimba
Fly high husen jumbe