Siku jirani alichange password ya wifi na apo tulikuwa comrades tulieka hi song repeat since 10am adi 5 jioni😂 ilibidi tu atupatie password ..2024 leteni likes😂😂😂❤❤❤
Nanyi chukueni nafasi hii mmjue Yesu. Yeye pekee anaishi milele. Alpha na Omega. Mwanza tena Mwisho. Haya maisha, yaishi kumpendeza Yesu kwa kutii amri zake
Huu wimbo ulipigwa kwenye harusi yangu 2013, niliucheza na babangu qmbaye sasa ni marehemu . Wimbo unanikumbusha mbali sana. Kama kuna mwana anausilikiza muda huu gonga like twende sawa
This song reminds me how last year my ex husband carried all the essential household items and left us to suffer with my son but thanks to God for everything he took God brought it back bigger and better.
La musique est en Swahili et signifie: SOIS HUMBLE CAR TOUT LE MONDE QUITTERA CE MONDE, MAIS LES BIENS DE QUE TU AS AMASSÉ RESTERONS...L'ÊTRE HUMAIN EST COMME LE SABLE, CE QUI RESTE ETERNELLEMENT C'EST LA TERRE ETC ETC.
when I hear this song. It reminds me about my late father They killed him because he was very fevered by his bosses (mzungu). Continue rest well Daddy#Samson_agale.😭😭😭
Wengi wanajisahau nakudharau wenzao eti kisa wanajiona wapo juu kumbe wamesahau cku atakayoipanga MUNGU wote tutakutana chini ya ARDHI yetu hii😂😂😂😂😂😂❤❤❤
i remember in 2001 when i first heard this song in KBC radio, it was a week before my mum died and i remember walking home thinking of the words and that just in case my mum pass on, then what..... so many things but all in all i had faith in God and within that week, my mum had a stroke and died suddenly. From then i knew kweli dunia tunapita...............
My favorite part of the song is when they let the drummer do his thing....in the middle of the song.....and then he feels the song so much he just starts screaming for no reason....😂😂😂....he just goes like "WHOOOOOOOOOOOOOOOOH!........... TIKI!TIKI!TIKI!...... timeless.
Nani 2024 Yuko na mm kwenye hii nyimbo.
nyimbo hizi hua hazipitwi nawakati myaka nenda ludi
Tupo pamoja
Mimi hapa 2024 mwezi 4 huu nipo hapa
Tuliyo penda uhu wimbo 2024 tupo juu
Miyo, from Mozambique
Team 2024 lets gather here ❤ and agree that this music will never get old ❤.
Kama uko hapa 2024 finya like.
Big tune
Siku jirani alichange password ya wifi na apo tulikuwa comrades tulieka hi song repeat since 10am adi 5 jioni😂 ilibidi tu atupatie password ..2024 leteni likes😂😂😂❤❤❤
Umejua kunifurahisha mno! Ama kweli Dunia tunapita 😂😂
🤣🤣🤣 wewe lazima ukuwe 🇰🇪
😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Kama unaona huu mziki uko hai mpka Leo 2024 weka like ,
Nimerudi tena 2024 hakika huu wimbo utaishi miaka yote ,,,,,,, dunia tunapita
Nanyi chukueni nafasi hii mmjue Yesu. Yeye pekee anaishi milele. Alpha na Omega. Mwanza tena Mwisho. Haya maisha, yaishi kumpendeza Yesu kwa kutii amri zake
Yesu Nd Nan
Milele ni Mumba wa mbingu na nchi ! 🌴🇰🇪🇰🇪✔️
YESU KRISTO, aliyetumwa na BABA WA MBINGUNI KUJA KWAOKOWA wanadamu
2024 mimi hapa naupenda huu wimbo
Huu wimbo ulipigwa kwenye harusi yangu 2013, niliucheza na babangu qmbaye sasa ni marehemu .
Wimbo unanikumbusha mbali sana.
Kama kuna mwana anausilikiza muda huu gonga like twende sawa
Born 1995 and rocking, from Kenya, dunia tutapita!
You are my age mate
Maridadi kabisa Dunia INAPITA,milima na bahari itapita ,kitakacho Baki milele ni Bwana YESU
This song reminds me how last year my ex husband carried all the essential household items and left us to suffer with my son but thanks to God for everything he took God brought it back bigger and better.
Samba mapagila Dunia tunapita
Pole Irine, life is like that but God will always be with you.
Every single song has this capacity. The capacity of reminding us some special situations😂😂😂👍👍👍👍
And since God is faithful and not even once he has forsaken us, He will indeed bless you abundantly
Keep strong God is almighty
Hakikisha kinachokuanya uringe kinadumu, kama cvyo kuwa na adabu.more💖💖💖💖💖
Kweli bana
Ahsnt ndugu
Nani yupo 2024 nakubari sana hizi nyimbo from UGANDA
2023 Kama unasikila ii nyimbo gonga like hapa 🇹🇿
Tupo
2024 bado Niko 🎉
Huu wimbo naupenda sanaa hata toka nikiwa mdogo,used to sing this song almost everyday.Dunia tunapita kitakacho Baki ni milima
Nakubaliana nawe dada
Hata milima itatoweka ni mungu mwenyewe atakae Baku na enzi yake
Kulingana na biblos, hata mlima itapita ila tuu neno la bwana.
2023 Chonjo kabisa bado nausikiza huu wimbo
Mungu azidi kumuongoza huyu mtu
Mimi pia
Mimi pia 👏👏👏
Ulitoka mwaka gan huu wimbo jamn
Ulitoka mwaka gan jamani
majivuno ni yanini dah Asante sana mzee wetu 2024/3/28
Great song. Let us focus on God alone. Heaven and earth will pass away. Only the word of God will live and reign forever.
Am Gen Z 2024 am hia listening to this masterclass
memories,ndani ya matatu tukielekea taita.early 90s waaa
Dunia tunapita kweli,Ujumbe wa maana sana
😭😭😭😭 pumzika kwa amani mama angu 🤧🤧😭 2024 mwezi WA 9 trhe 28
pole sana
Pole😢
Hii nyimbo nakumbuka 2003 nipo la darasa la pili kuna mwalimu wangu mmoja alikuwa anapenda kuimba huu wimbo ❤❤❤❤ now 2024 July 28 mungu mwema
Vile mambo yako hayapo sawa ila ukisikia wimbo huu mambo yana nyooka
pia mm napenda sana hii nyimba kutokea mwaka wa 1998
The chorus of this song humbles me and makes me live a worry free life.
Mama 'angu alikuwa akiupenda huu wimbo RIP mama'angu 😭😭
Pole alikuwa anaupenda kwa maana yake na ndio amepita mama yetu rip
Pole hata Mimi mama alikuwa anaupenda rip mama
Pesa zako hupatia kina dada kutafta jina au vipy, utajijenga liny bro big up samba Omar mapangala
Huu wimbo bado ni hupya kabisa, msumbiji uku Cabo Delgado
Ni mimi PLACIDE DRC. Nyimbo nzuri saana.
Hakika awimbo huu unanikumbusha mbali sana ! Maneno ya wimbo hayafi !
Nipo ghetto pekeangu nakunywa kapombe kwa afya na muziki wa zaman what a feelings😢
Kunywa kistaarabu sio lazima ulewe kaa nyumbani kwako
@@Onlyforfun1992tube yeees broh kidogo tu kwa afya ann
Daaahh nilikua mdg san iii nymb lkn mbk Leo na ipend
Still loving it for the old days. Such songs never get old. Kenya 🇰🇪 Africa.
Iyi wimbo ni mzuri sana na anaimba ukweli kabisa
tukopamoja kabisa.samba mapangala.
Daaaah ataliiq uuu Wimbo
2024 mm pia nyimbo kalii saana
Yaani huu mwaka umeisha tu hivi,there will be No other December 9 in 2024 again and im turning 21 next year kweli dunia Inapita😢😮😮😮😮😮😮
I support this song every thing in this world will come to an end so remember how you treat others.❤🤓🤓
😢 ata tunao coment leo tutaondoka duniani😢🙏mungu tupe mwisho mwm 20/11/2024
This song reminds me of my mum continue resting in peace mum..
2024 tumeusikilza tena huu wimbo
Born 1984 used to listen to the Song in Radio.
Great Congolese who promoted also Swahili in his songs
Kama 2024 tuko pamoja sema Asante Mungu❤
Congo ndio baba wa mziki wa Africa
I remember I used to go to garden square for lunch with an aunty of mine.I heard this song there many memories I was like 8 years old
wimbo mzuri sana na unaujumbe wa aina yake♥️♥️
I'm
Qatar ndani na Dunia tunapita❤
Sante kakak zangu jamani bado mupo kabisa
Wimbo huu ni somo kabisa,naupenda sana🎉
Je suis de la Côte d'Ivoire et j adore cette chanson quelqu,un peu me traduire cette belle mélodie ❤❤
La musique est en Swahili et signifie: SOIS HUMBLE CAR TOUT LE MONDE QUITTERA CE MONDE, MAIS LES BIENS DE QUE TU AS AMASSÉ RESTERONS...L'ÊTRE HUMAIN EST COMME LE SABLE, CE QUI RESTE ETERNELLEMENT C'EST LA TERRE ETC ETC.
@@chales08 merci infiniment mon nouveau ami , qui va m apprendre à parler le Swahili ,si tu le veux ?
2024 October 16 listening to this.😂binadamu ni muchanga......kitabaki milele ni milimaa
Hapa Ni mambo Yote kibao Sawa kabisa
This song reminds me, of my Late Father, Rest In Peace, I still love this song.
And when my children grows and happen to listen wajue mama yao really loved rhumba
Kama unausikiza huu wimbo 2090 gonga like
quite educative lyrics for those who understands deeply
Halaaa!😂😂 nani ako na mm sa hii sa8 usiku tarehe23 septemba😂😂
Samba, thank you for taking me to the memory lane.
Mziki safiiii ❤🎉
when I hear this song.
It reminds me about my late father
They killed him because he was very fevered by his bosses (mzungu).
Continue rest well Daddy#Samson_agale.😭😭😭
Dah pole Sana ndugu yangu aisee😢😢,mwenyezi mungu amrehemu mzee wetu
@@mtaostephen3660 Asante
Pole sana😢
@@KerlimKerl Shukran
Nakumbuka mbali sana 😢😢😢😢
Wengi wanajisahau nakudharau wenzao eti kisa wanajiona wapo juu kumbe wamesahau cku atakayoipanga MUNGU wote tutakutana chini ya ARDHI yetu hii😂😂😂😂😂😂❤❤❤
i remember in 2001 when i first heard this song in KBC radio, it was a week before my mum died and i remember walking home thinking of the words and that just in case my mum pass on, then what..... so many things but all in all i had faith in God and within that week, my mum had a stroke and died suddenly. From then i knew kweli dunia tunapita...............
Nyimbo sijawahi kuichoka kusikiliza ase hadi 2023
King stone ofial family nibalaa
My favorite part of the song is when they let the drummer do his thing....in the middle of the song.....and then he feels the song so much he just starts screaming for no reason....😂😂😂....he just goes like "WHOOOOOOOOOOOOOOOOH!........... TIKI!TIKI!TIKI!...... timeless.
Huwa sichoki kusikiliza maneno ya huyu mwamba
❤❤ this song reminds me when I was young now I have matured, I really love it
This song reminds me about my grandfather....Rip , aliipenda sana
Listening from adelaide australia nice song indeed❤
Tunao skilza 2024 tujuane hapo
Brings the good old memories...who is here in 2024
Great music frm east Africa though the language not much understood, great and powerful instruments 😂
Binadamu ni mchanga kweli eeeh
Baba alikua akiupenda sana wakati mi mdogo
I shed into tears whenever I hear this song! It reminds me the death of my husband ya kwamba dunia tunapita!
Pole dada , tunapita
Pole 🙏
Pole sana😓
Pole SanaSana😭
Take heart #pole
Makofi kwake wimbo nzuri kapixa
Tunapita kabisa tukutana 2090😢😢
Mimi hapa Niko nawe poa.
Zilizopendwa the greatest songs ever 💞
message, ni kama reggae. never gets old
We strive for success, for love and for fame,
Yet sometimes it feels like an endless game.
Coming from tiktok, I had to search your song on TH-cam, brilliant
This song reminds me about our late president of 🇹🇿 JPM
And 2024 we are still here...
Binadamu ni muchanga 😮😮
Yes mambo hii nikweli basi tusipo baki chonjo tuta ishiya shimo ya tewa.
Hongera bab
Machaallah kila kitu kitapita itabaki milimatu😢❤ swadaqta
Swadak'ta 😢😢
The calming effect of the music despite it's beautiful message is just above me now 😂
March 2024,Namibia
Dunia tunapita kwa hakika ❤❤eeeeh
2023 January
Baado wimbo upoooooooo
Huu wimbo nakukubali sana ,mwaka 1999 huko moshi kilimanjaro maeneo ya kcmc nilizaa na make wa boss wangu
Wimbo mzuri una ujumbe mzuri
#daaaah hii nyimbo inaniliza san jaman
Mungu atupe afya njema na kesho peponi here 18 11 2024.😢😢
Leo, kesho na keshokutwa Dunia tunapita August 25 2024.