BEST OF PATANISHO 2023 ... ASANTE SANA MASHABIKI WETU KWA SUPPORT YENU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2023
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghostasubuhi #gidinaghost #PATANISHO2023 #BestOfPatanaisho
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
ASANTENI SANA TEAM GIDI NA GHOST ... TUNAWAPENDA SANA
Thank you for bringing in patanisho to us. Your programme has provided us with incredibly valuable lessons, but also a good stress reliever😅
Please the background sound is annoying
Wewe Karanja achana na Maureen Kabisa. Na hiyo unafanya ni jambo la Hatari. Hiyo ni stalking. Huu ugonjwa wa stalking husababisha ha watu kuuwana baadae. Enda Mathare ukatibiwe kabla hujafanya au kufanyiwa hasara.
Unataka kumiliki mtu kimapenzi* kwa nini? Huo ni Utumwa wa kiroho na akili. Ni mbaya sana sana. Binaadamu amezaliwa na spirit ya freedom. Usiifungie.
Tena ni hatia sana kuthulumu mtu mwengine hivyo. Achana nae kabisa km hakutaki. Unaeza jikuta Kamiti ukithani ni mchezo au "kaundo kanini or whatever" akili yako mbovu inakuambia. Achana na watu. Na achana na jina/majina yake. Hayakuhusu.
POTELEA MBALI. KWENDA KABISA !!!!!!!!
Hata mamake hana sheria ya kuwaunganisha nyinyi kwa nguvu. Msichana hakutaki. Kwisha maneno. Enda ukisonga. I hope Polisi watakuja kushika wakufinye hiyo vitu, km ndio inafanya unyanyase wasichana.
Wao pia walinyakua uhuru kama wewe. Wako free kuolewa na yule wanataka au kupenda.
Wewe bi HARAMIA halafu unadanganya na sauti ya chini ukijifanya mzuri. But wewe ni Nyoka. Joke Kubwa la sumu. TOKOMEA.
The background sound inamaliza utamu wa patanisho juu mtu hasiki vizuri
Na hio background noise inauthii sana.
Gidi na gost mungu awabariki sana tunawapenda sana
Wanaume waluhya wako ivo wakisha kukuzalisha na ni ivo matharau l am a luhya from kk l now that pain
Lies
I.listen to you through you tube and your the best gidi and ghost
Hyu Benjamin ni mwanaume mshenzi sn, hyu bibi yk ni atafute tu maisha yk
Asante kwa kipindi Bora Gidi na Ghost ,Mungu awape nguvu zaidi kwa mwaka ujao..tunawapenda Tz
Namesake Vero, salimia Sana TZ 🎉
Remove background music. Ina distract mazungumzo.
Gidi na ghost tunawapenda sana keep up the spirit .you always make my day ❤❤❤
😂😂😂 wachana na huyo bibi ni wangu 😂😂😂
Music was not necessary 😞
Huyu so mwanaume, puuuuuuuh.
Siwezi bebereza mwanaume pu .atajiona sana.gidi mungu yuko
Congratulations ❤❤❤❤
The best program so far...I rate it 💯
The background music was not necessary it's distracting the sound
Unable to listen 😢
Benjamin ni kumbavu
redio jambo nikiboko yao nifumo kutoka kareen
Good job done
Nasubiri Kwa hamu na gamu
GIDI NaGHOST niko naombi kwenu mufanye pananisho mbili kwa siku badala yakurudiya mufanye lingine mida yasanane yamchana
😂😂😂😂nice patanisho.
ukiwa unasumbuliwa namawazo funguwa redio jambo utacheka kisha utajikuta ukosawa nakusahau yote
😂ati mambo my dear mnadharau watu badaye mnaenda kusumbua watu online
Back ground music not necessarily
Remove the background music
Waa gindi na ghost
Muma the simp
Ilitracy ni mbaya sana, education is very important
Matusi sasa jiheshimu heshima si utumwa.bejamen gasia.
👍🫶you too guys
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Whatsup with the nonsense music on the background
Hahaha Giddy😂😂😂😂😂na Kidney iki fail
🤣🤣🤣karanja penda 21yrs na kidney 😂😂😂😂
Background music should be louder.
Nairobi kajiado 😂😂😂😂am dead
Huyo dada ako na sida, unaweza kukaa kw mume hizo miaka zote deni😢😢😢 wacha 😂😂😂😂
Yawaaaa😅😅😅😅😅
Benjamin 🤣
Huyu benjamin hasira n ya nn
Kutosoma ndio inasumbua Benjamin stupid Man ni vizuri kusikiza watu hakuna penye unaenda
😂😂😂😂aki waluyha wengn 😂😂
Kuna hata wasomi stalker.
Confused Benja
But lakini GiDi mbona hauruhusu Ghost kuongea. Just curious 🤔.
Na Wale team strong tuko mbali tufanye nn na ss n funs wenu
That's a very rude man, why would any woman want that in their lives??
Hiyo patanisho ya marryann ilikuwa wrong number
The background music was not necessary it's distracting the sound