TANZANIA 🇹🇿 Imependelewa Sana na MUNGU kushuhudia MTU wa Mungu Kama Apostle DIONIS , Apostle You are a Powerful Pandemic Man of God, I celebrate the Grace of God in you. Ayayayaya
Leo katika pitapita kwenye masomo yako nikajikuta naliangalia hili somo aisee 🙌🙌🙌 apostle acha Mungu aendelee kukutumia asilimia 99 yametokea na mengine yanaendelea kutokea Ee Mungu tusaidie
Anti-John amejiingiza kanisani, kupitia watumishi WA uongo,wakihubiri injili ambayo ya mafanikio tu(Prosperity gospel) na miujiza tu kama ndiyo injili pekee mwishowe watu wamekuwa na mioyo mepesi hawapendi taabu hata kidogo,wanapenda raha sana, wamekuwa so much attached na materialism.kwa stahili hiyo wengi hawataweza kustahimili magumu yajayo mbele ya wakristo. be blessed Mtumishi huh ni muda WA kuamka wakristo na kusimama katika imani.
Mungu wangu simama nami mwanao, juzi padre aliniuliza kama nime chanjua chanjo ya Covid-19 nikasema LA! Nikamweleza mimi uamuzi wangu sitaki chanjo ambayo sielewi! Akaendelea kinijibu eti yeye tayari amepokea chanjo na mimi kama mwa Africa nikohatarini nikamweleza Mungu ndiye muamuzi wangu. Amina.
Asante mtumishi wa Mungu umenipa kusimama na mtumishi wangu mwingira husema kama wewe Mungu tusaidie tumekuwa watu wa kupenda miujiza kuliko neno bwana yesu nisaidie nimeona mambo mengi yanakuja mabaya naogopa Mungu nisaidie Dunia inaenda kutikiswa sana
Asante Sana Mungu kwa Taifa langu la Tanzania, Asante Sana Mungu kwa Apostle Mtalemwa . Endelea kusema nami kupitia Mtumishi wako Apostle Mtalemwa. Zaidi Mungu naomba unipe moyo wa Kuomba Tena Kuomba Maombi sahihi mbele zako MUNGU !🙏
Kweli kabisa pastor ubarikiwe sana tunaitaji mafundisho ya kweli sio kufunguliwa tu kila mara na kupakwa mafuta na baraka za uchumi tunaitaji mafundisho ya kuelimishwa kutuatana namambo ya jayo aswa sisi tuliokuwa inje ya inchi imenigusa sana hii mafundisho jamani ubarikiwe sana pastor mungu azidi kukufunulia mambo ijayo tena nakuombea kwa mungu azidi kukutumia Amen Amen pastor Apostle.
Weee pastor , niombee kwa mungu yehova . Kwa maaana mimi sijawai kuwa muumini wa dini yeyote ila mm hujiombea chumbani mwangu , kazini , babarani, hata pahali pa maficho, ila imani yangu inamtumainia bwana kwa matendo yangu kwa moyo wangu nafsi yangu, na kila kitu changu kiko key bwana, tatizo ni kanisani , sina kanisa bado nisaidie
Barikiwa apostle Nami Taarifa Nilisha Ipata Toka Mwakajana Mwezi wa 6 Toka kwenye Maono Ya Ucku Toka Kwa Bwana Yesu...Ila msomaji kama vile mgonjwaa Taratibu Sana'a.
Sisi huku Asia tumezoea hayo mambo, na tena naomba Wakristo wenzangu tuwaombee wachungaji walio magerezani, na wanaochinjwa. Nawakristo wanaochinjwa. Please. Makanisa ya underground, chini ya ardhi. Nawaomba sana jamani. Hali ni mbaya sana huku.
Nimekuelewa Mtumishi wa Mungu, Ama kwa hakika huu ni ujumbe utokao kwa Bwana Mungu anitie nguvu Mimi na nyumba yangu na Taifa langu Ili tuweze kupenya.
Baba yangu wa kiroho Prophet Willium Prince wa Covenant Home for All Nations _ Moshono Arusha ameyasema haya tangu mwaka juzi 2018 na leo tunayaona. Ninamshkru Mungu kwa kukufunulia hata ww mtumishi wa Mungu. Kanisa limelala na halijui kinachokuja kulikumba, makanisa yanayojiona makubwa hayajui yanakoelekea.
Mtume Mtalemwa aksante sana kwa kutuamsha toka usingizi wa pono, nimeumia na kulia kwa kweli, sikujali kuwa niko kazini, Tanzania ninawashauri tushikamane bila kujali dhehebu kama ilivyokuwa katika kipindi cha awali cha coronavirus kutangazwa,naamini nimeeleweka.🙏
Pole sana! Mungu hajawahi kutumia madhehebu hata wakati mmoja, maana yanafundisha tofauti kila moja kwa lingine. Mungu hajagawanyika kwa kiasi hicho. Mungu ni mmoja na Imani ni moja. Km imani unayoishi inatofautiana na ile iliyodhihirishwa na maandiko basi imedanganyika. Mungu anatafuta waabuduo halisi wamwabudu Mungu ktk Roho na Kweli.
@@winfredchahe123 kwanini uvae human hair? Dna za mtu unabeba spirits wake wote! Je kama huyo mtu alikuwa mganga huko Brasil? Unategemea nini? Kama alikuwa Mchawi?
Ningetoa mandiko mengi Sana juu ya vitu bandia mmi mwenyewe nilijiona mremboo nilipo kua navtu bandia ndipo mungu aka sema namma nilipo hiona video hii. Andika iv huone hushuhuda wamch Margaret o. Amure( shwahili) ita kusaidia wewe na unao wapenda
Am sorry ndugu yangu can God be Goshen l think unamkosea mungu mkuu muumba mbingu na ardhi, Maana hamna popote kwa bibila imeandikwa kuwa tutaita mungu Goshen
Very Deep Revelations!! Mungu akuhifadhi, akufiche Chief Apostle Dionis Mtalemwa Bushiri
TANZANIA 🇹🇿 Imependelewa Sana na MUNGU kushuhudia MTU wa Mungu Kama Apostle DIONIS , Apostle You are a Powerful Pandemic Man of God, I celebrate the Grace of God in you. Ayayayaya
Dada Asante Good Hi
Sana ni kwa neema kwakweli
Eeeh Yesu naomba nipe kusimama.
Nakuombea pia baba yangu mlezi, Mungu akupe ushindi mkuu katika Kristo.
Bwana Yesu tupe roho ya Kusimama na wewe tu in Jesus name Amen. Thanks to you man of God.
Mungu mwaminifu akutunze pastor mtalemwa na watumishi wote ,na mm pia nibarikiwe
Baba Mwenyezi Mungu azidi kukubariki kweli na kujaza nguvu na unaweza wakili kuona na kufafanua mambo nimekukubali kwa mafundisho yako Ahsante
Leo katika pitapita kwenye masomo yako nikajikuta naliangalia hili somo aisee 🙌🙌🙌 apostle acha Mungu aendelee kukutumia asilimia 99 yametokea na mengine yanaendelea kutokea
Ee Mungu tusaidie
Anti-John amejiingiza kanisani, kupitia watumishi WA uongo,wakihubiri injili ambayo ya mafanikio tu(Prosperity gospel) na miujiza tu kama ndiyo injili pekee mwishowe watu wamekuwa na mioyo mepesi hawapendi taabu hata kidogo,wanapenda raha sana, wamekuwa so much attached na materialism.kwa stahili hiyo wengi hawataweza kustahimili magumu yajayo mbele ya wakristo. be blessed Mtumishi huh ni muda WA kuamka wakristo na kusimama katika imani.
Mungu wangu simama nami mwanao, juzi padre aliniuliza kama nime chanjua chanjo ya Covid-19 nikasema LA! Nikamweleza mimi uamuzi wangu sitaki chanjo ambayo sielewi! Akaendelea kinijibu eti yeye tayari amepokea chanjo na mimi kama mwa Africa nikohatarini nikamweleza Mungu ndiye muamuzi wangu. Amina.
Eee Mungu tusimamie nyakati hizi ngumu. Hatutaweza bila wewe Baba Yetu
*_Thank you Jesus 🙏 bless you pastor this is a wake up call for all Christian tililia maana usulije ukapuuza wake up_*
Asante mtumishi wa Mungu umenipa kusimama na mtumishi wangu mwingira husema kama wewe Mungu tusaidie tumekuwa watu wa kupenda miujiza kuliko neno bwana yesu nisaidie nimeona mambo mengi yanakuja mabaya naogopa Mungu nisaidie Dunia inaenda kutikiswa sana
Asante Sana Mungu kwa Taifa langu la Tanzania, Asante Sana Mungu kwa Apostle Mtalemwa .
Endelea kusema nami kupitia Mtumishi wako Apostle Mtalemwa.
Zaidi Mungu naomba unipe moyo wa Kuomba Tena Kuomba Maombi sahihi mbele zako MUNGU !🙏
Mungu wangu nijaze roho wako nizid kusimama kiroho nakuzid kukuamin na kukutumikia ww mungu wangu we ndie kila kitu katika dunia hii
Eee Mungu wangu wangu Nina mapungufu mie sio mkamilifu but Neeema yako yanitosha nisaidie kusimama kwako Yesu.!
Kweli kabisa pastor ubarikiwe sana tunaitaji mafundisho ya kweli sio kufunguliwa tu kila mara na kupakwa mafuta na baraka za uchumi tunaitaji mafundisho ya kuelimishwa kutuatana namambo ya jayo aswa sisi tuliokuwa inje ya inchi imenigusa sana hii mafundisho jamani ubarikiwe sana pastor mungu azidi kukufunulia mambo ijayo tena nakuombea kwa mungu azidi kukutumia Amen Amen pastor Apostle.
Pole jamani
Amen Apostle, Mungu muumba wangu, nisaidie kusimama kwako mimi na yeyote anayenihusu tusingie majaribuni
Mungu nipe nguvu nisimame na wewe in Jesus name. Amen🙏
God bless you pastor🙌
Asante kwa mahubiri yako. licha nimekuwa nikifuatilia nyuma umenisadia sana.
Thank you father umenifungua kufahamu huu ni wakati gani kwa kabisa....aise! Powerful
Amen.. Bwana Yesus nisaidie kusimama Imara karika Kristo. May God keep you Apostle
Weee pastor , niombee kwa mungu yehova . Kwa maaana mimi sijawai kuwa muumini wa dini yeyote ila mm hujiombea chumbani mwangu , kazini , babarani, hata pahali pa maficho, ila imani yangu inamtumainia bwana kwa matendo yangu kwa moyo wangu nafsi yangu, na kila kitu changu kiko key bwana, tatizo ni kanisani , sina kanisa bado nisaidie
Naomba tuwasiliane 0620338433
Asante Chief kwa huu ujumbe tunapmba Mungu atusaidie tuweze kusimama
Chief wa kijiji gani
Amen.. Wanawake muwache kwenda kanisa na longi,vaa mavazi ya hesima
It's happening now Chief Apostle! Eee Mungu Baba tupe kanisa kusimama imara, tupe nguvu za kushinda vita
powerful teaching man of God
Barikiwa Sana nakuelewa Mungu kupitia wewe.
Nabarikiwa Sana Mungu akutangulie kwenye huduma
Very true Thank you Chief So Much
Mungu naomba nilehemu naomba kusimama nawe milele kwa jina la YESU christo 😭😭🙏🙏🙏🙏
Ameen chief.apostle
Nabarikiwa sana na mahubiri yako. Asante kwa kutufungua akili.Niko pamoja nawe mtumishi Wa Mungu.Mungu akutunze.
Barikiwa apostle Nami Taarifa Nilisha Ipata Toka Mwakajana Mwezi wa 6 Toka kwenye Maono Ya Ucku Toka Kwa Bwana Yesu...Ila msomaji kama vile mgonjwaa Taratibu Sana'a.
Uliona nini mpendwa naomba ushee nami
@@heavensent2526 kwanini wewe huna Yesu muulize ata kwambia au muulize Roho Mtakatifu ata Kwambia ila kama huna ushilika na huyo Yesu Usiangaike.
@@eliarichard9218 sawa
@@eliarichard9218 sasa ndugu apostle na yeye angeamua kunyamaza ingekuwaje? God reveal to redeem
@Tanzania nakupenda Mpingakristo yupo karibu kuitawala dunia na giza zito linakuja dunia nzima Na vita inaanzia ulimwengu wa roho inadhihirika mwilin
Ewe mwenyez mungu naomba unipe nguvu yakusimam na we Katika kipindi hichi kigumu na kijacho amen 💪⛪
Sisi huku Asia tumezoea hayo mambo, na tena naomba Wakristo wenzangu tuwaombee wachungaji walio magerezani, na wanaochinjwa. Nawakristo wanaochinjwa. Please. Makanisa ya underground, chini ya ardhi. Nawaomba sana jamani. Hali ni mbaya sana huku.
Jessica asia nibaragani hilo
Mungu atusaidie ktk kipindi hiki kigumu tusimame ktk kweli yake
Amen. May the God of Abraham, Isaac and Jacob give us the grace enough to survive in this tough time of persecution in Jesus Christ's name; Amen
Mungu atusaidiae hix ninyakati ngum mungu atutie nguvu
Ur absolutely 💯 right, we need to pray people of God😪😭🙏
Mungu wa mbinguni ni mwema sana mwanzo nilipuuzia kufatilia neno lakini baada ya kusikia kweli neno limenigusa namuomba sana Yehovah atusaidie
Amen
Mungu wangu nipee neema kustahimili kilichoko na kinachokuja.... My familly walindee
Asante Sana kwa kutukumbusha
Yesu tusaidie kanisa lako,tuweze kustahimili yanayokuja juu ya kanisa
I appreciate your presence man of God😊😊
Chief unatufungua macho sana.
Mungu wa Major 1 naomba nguvu ya kustahimili haya
Hello My pastor
Mwenye ana masikio asikie.
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.
Waoooh blessed man of God
Helo God bless you .
Amen amen napokea nguvu ya kusimama imara katika kristo
Eemungu utuzungushie ukuta wa wamotu adui asipate upenyu na umtunze mtumishi wako aendelee kuwa msemaji wako amen
Mungu nisaidie kusimama nawe Yesu
Mwenye masikio na asikie neno ambalo Mungu anasema na kanisa lake🙏🏻
Eeh Yesu tutie nguvu tupate kistahimili hadi mwisho wetu
Oh God tupe roho ya uvumilifu ndio tutaweza simama hadi mwisho tumeyaona mengine yametimia mungu nikumbuke na unitie nguvu
Nimekuelewa Mtumishi wa Mungu, Ama kwa hakika huu ni ujumbe utokao kwa Bwana Mungu anitie nguvu Mimi na nyumba yangu na Taifa langu Ili tuweze kupenya.
The true man of God
That true man of God preach preach
Twaitaji msaada,wako Mwokozi Bwana wangu Yesu Kristo🙏🙏
Nimeelewa
Inamaana Mungu ataachilia mabaya ili nyakati zitimie??
Asante mungu kwa mafundisho mazur
Baba yangu wa kiroho Prophet Willium Prince wa Covenant Home for All Nations _ Moshono Arusha ameyasema haya tangu mwaka juzi 2018 na leo tunayaona. Ninamshkru Mungu kwa kukufunulia hata ww mtumishi wa Mungu. Kanisa limelala na halijui kinachokuja kulikumba, makanisa yanayojiona makubwa hayajui yanakoelekea.
Umenifundisha mengi sana asante
Ooh!!Mungu wangu Nisaidie
It's true hizi ni nyakati za mwisho mungu tusaidie
Asante mutumishi WA mungu,
My apostle 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
Mtume Mtalemwa aksante sana kwa kutuamsha toka usingizi wa pono, nimeumia na kulia kwa kweli, sikujali kuwa niko kazini, Tanzania ninawashauri tushikamane bila kujali dhehebu kama ilivyokuwa katika kipindi cha awali cha coronavirus kutangazwa,naamini nimeeleweka.🙏
Pole sana! Mungu hajawahi kutumia madhehebu hata wakati mmoja, maana yanafundisha tofauti kila moja kwa lingine. Mungu hajagawanyika kwa kiasi hicho. Mungu ni mmoja na Imani ni moja. Km imani unayoishi inatofautiana na ile iliyodhihirishwa na maandiko basi imedanganyika. Mungu anatafuta waabuduo halisi wamwabudu Mungu ktk Roho na Kweli.
Mungu atupiganie amen
Am blessed🙏254
Amen apostle🙏🏻
Baba unaeleweka sana.ila kusimama unakamilishwa na maadili.Tukumbushe baba na mwonekano wetu ikiwemo mavazi.asante sana
Kwel nimeona suruali umu
Amen chief God be with you
Bwana Yesu niongezee IMANI
Safi kabsa ila nywele zabandia pia wengi Hapo nawaona mungu apendi pastor wambie
th-cam.com/video/YF0d-j3tL3o/w-d-xo.html
Kwanini hapendi na wapi imekatazwa
@@winfredchahe123 kwanini uvae human hair? Dna za mtu unabeba spirits wake wote! Je kama huyo mtu alikuwa mganga huko Brasil? Unategemea nini? Kama alikuwa Mchawi?
Ningetoa mandiko mengi Sana juu ya vitu bandia mmi mwenyewe nilijiona mremboo nilipo kua navtu bandia ndipo mungu aka sema namma nilipo hiona video hii. Andika iv huone hushuhuda wamch Margaret o. Amure( shwahili) ita kusaidia wewe na unao wapenda
@@winfredchahe123 naenda TH-cam andika. Ushuhuda wamch Margaret o . Amure(shwahili) alafu toa comment zako hapa ukisha ona
Uturehemu ee Bwana nimeishiwa nguvu maneno makali mno tuokoe Yesu tuokoe Bwana tunakuomba
Unayo ongea mtumishi wa BWANA ni ufunuo kutoka mbinguni,ni kuomba MUNGU ajaze watumishi wake nguvu sana
Amina pastor
Bwana Yesu simama na utusaidie wanao
Hapa nimeamini rais anaongozwa na roho. Ndio maana hatumwelewi. Ila yeye anaelewa. Mungu msaidie rais wetu
Raisi wetu kaisha pigwa tayari
Mungu asimame nasi maana kiongozi pekee aliyekuwa akitukumbisha kusimama na Mungu tayari hatunaye😭😭😭😭naogopa sana....Mungu asimame nasi
Hallelujah we are at the end of time. God forgive us and preserve us from all evils plans take us to Goshen 🙏🏾
Am sorry ndugu yangu can God be Goshen l think unamkosea mungu mkuu muumba mbingu na ardhi, Maana hamna popote kwa bibila imeandikwa kuwa tutaita mungu Goshen
GOD Bless Tanzania GOD bless Africa.
Mwenyezi Mungu atupiganie na atutie nguvu za kupigana zidi ya vita ya rohoni
Apostle ule wakat unakaribia sana
Mungu atusaidie tusiname imara katika yeye atutiae nguvu
😢😢 YESU nitie guvu niweze kusimama hadi mwisho
Gwajima
Ooh GOD nitie nguvu za kuomba wakati huu mugumu mm na familia yangu
Mungu akurinde uendelee kutupa mafundisho mazuri
😥😥😥😥😰😰😨 ohh Lord give me strength to stay in You
Asante kwa kuniamsha Mtumishi
Nikweli Mt nakubari ujumbe wako atamimi mugu amenionyesha misiba mingi ya watu wamekufa mungu akutoe nguvu.mungu anisaidie mim na familia yangu
Amtie nguvu
Mungu atupee nguvu kwa kila hali
Yesu anatengeneza maagano mpya
Asante Mtumishi,natamani niongee na huyu baba lkn Sina namba,napenda mafundisho yake
Kwa screen zipo
Karibu Mtumishi 0659675151
@@samwelntevi9620 asante kuna muda maalum wakuongea na Mtumishi wa mungu
Oooh lord help me, Amen
Mungu nisaidie Mimi Na watoto wangu Na jamii yangu
May God almighty sustain us.
God bless you servant of God.
Bwana Yesu utupe nguvu ya kusimama! 🙏
In agreement 💯%!!!
Mungu nipe nguvu ni simame na wewe nyakati hizi
Mungu naomba unisamehe na unitetee me na taifa langu
YESU tutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
Yesu nisaidie