Masanja Mkandamizaji aonesha ujenzi wa jengo la kanisa lake ulipofikia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @kalingaasukile8730
    @kalingaasukile8730 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwanza Jengo halina architectural design nzuri halivutii kabisa mbaya zaidi limejengwa huko uswahilini

  • @MushiMushi-h6o
    @MushiMushi-h6o 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sio laisi mungu ni mwema

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 วันที่ผ่านมา +2

    Ubarikiwe mtumishi masanja

    • @Isack-b9k
      @Isack-b9k วันที่ผ่านมา

      Abarikiwe mtumish wa mizaha usikae barazani pa wenye mizaha siku s nyingi ya akina mwaipaja utayasikia watmsh wa mchongo michongo

  • @SalumObed
    @SalumObed 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongera sasa ni muda wukula sadak

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Maigizo ,imekuwa kweli

  • @juniorSamwali
    @juniorSamwali วันที่ผ่านมา +7

    Kwa hiyo siku hizi makanisa ni ya watu na si ya MUNGU,maana unasema kanisa lako,kila muhubiri sasa hivi anasema kanisa lake na si la MUNGU

    • @SalmaAthuman-hp3en
      @SalmaAthuman-hp3en 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mpaka hapo hujui kwamba makanisa sasa hivi ni business 😂

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kanisa langu maana yake ni hilo jengo

    • @tumlakimwaitumule
      @tumlakimwaitumule 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hilo si jengo tu nawewe

    • @EriyaRichard
      @EriyaRichard 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kanisa ni wewe jengo ni mpango wa pili

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 วันที่ผ่านมา +2

    Oh Glory to God

  • @ip_header
    @ip_header 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Quality ipo Sawa?

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hpo anawaz sadaka

  • @TaMshumba
    @TaMshumba วันที่ผ่านมา +2

    Good

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 วันที่ผ่านมา +3

    Hayo ndio magorofa yanayoua watu

  • @beatriceclemence
    @beatriceclemence 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    😷aya

  • @deobenedictakyoo3140
    @deobenedictakyoo3140 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂😂😂umetisha mkuuu

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mtu anawekeza biashara yake kila mtu anafanya biashara ya kanisa 😂

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ukiweza nawew kafanye hukatazwi

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Una maanisha biashara ya dini.
      Kanisa, misikiti imejaa biashara siku hizi😅😅

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @lexq-sm6lq hakuna msikiti wa mtu binafsi 🤣

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @salumabdallah2990 kwani pesa ngapi huwa zina kusanywa msikitini kwenda kufanyia kitu Fulani!!
      Mara ngapi ana ambiwa wajitokeze watu wa kutoa pesa Fulani Kwa ajili ya jambo husika!! na wana toka watu kutoa pesa kibao!!
      ndio zinapigwa pasu hizo

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kanisa ni mchungaji,na SI la waumini

  • @shafiimpilika3574
    @shafiimpilika3574 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Biashara iliyo shamili kwa kizazi hiki, Uisilaamu hauna shaka ndani yake

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Yesu kristo ndo njia ya kweli na uzima 🙏🙏

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha wivu kwa hiyo majengo yasijengwe? Hata hivyo huwezi linganisha (Nuru ➕) na GIZA(.....) Koma kabisa!

  • @comics3437
    @comics3437 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huuge

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Msiache kutoa sadaka wakiristo hayo ndo mafanikio ya wachungani wenu😂

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Sadaka nisehem ya ibada na sadaka sio ombi ni lazima kutoa kama unataka ushilika na Mungu