DG BODI YA KOROSHO ANENA,TANZANIA NA GUINEA BISSAU KUSHIRIKIANA KWENYE ZAO LA KOROSHO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025
- Baada ya Tanzania na Guinea Bissau kukubaliana kushirkiana kwenye kilimo cha korosho kwa kuongeza thamani na kuimarisha eneo la utafiti, Bimkubwa tumefanya mahojiano na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania Bwn Francis Alfred, kujua namna walivyojiandaa.