MCHOME MAPOVU APAGAWA NA GOLI LA MUDATHIR KAMA MESSI/TAIFA STARS KAMA YANGA/FEITOTO BALAA KUBWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • #alikamwe #azizki #hersisaid #yangaleo #mayele #yangasc #yangatv #live_ #yanga #msuva

ความคิดเห็น • 65

  • @FaustineThomas-k7j
    @FaustineThomas-k7j 6 วันที่ผ่านมา +3

    Uko sawa ❤❤❤❤

  • @AbdiMohammed-gm3ik
    @AbdiMohammed-gm3ik 6 วันที่ผ่านมา +4

    Abdinho mimi nawapongeza wote ila fei toto ni m Brazil kwa kiwango huyu sio fei toto ni feidinho leo namtawaza rasmi kama anavyo nikubali Abdinho nilikuwa captain Mlandege fei mwanangu kuna vyombo kavikumba kwangu

  • @RebekaTweve-s9m
    @RebekaTweve-s9m 6 วันที่ผ่านมา +4

    WeeeeeeeTanzania weeeeee💙💚💛💙🖤💛

  • @muyongahassan2188
    @muyongahassan2188 6 วันที่ผ่านมา +8

    Lkn tuseme kwl toto nishida goals ambalo amefunga km utazan anachezea ulaya

  • @shaameshaame2837
    @shaameshaame2837 6 วันที่ผ่านมา +20

    Pamoja na kushinda kwao kuna umuhimu wa kupelekwa Jeshini japo siku 3 wakafundishwe jinsi ya kulipambania taifa maana kuna watu hawaelewi umuhimu wa kukabidhiwa bendera na watimie wote Benchi na ufundi na kamati ya ufundi kama ilivyofanya England kwa timu yao

    • @mbokagoodluck
      @mbokagoodluck 6 วันที่ผ่านมา +2

      Amina huo ndo ukweli

    • @stephaniabenjamini2848
      @stephaniabenjamini2848 6 วันที่ผ่านมา

      Wamenigusa moyo wangu Taifa Stars TANZANIA OYEEEE❤❤❤❤Walipofunga 1.wakadhani wametumaliza,Sisi tunakula ugali na sangara na sato na kole kole,Changu. WATATUWEZA???Oyooooo❤

    • @MbarakaSefu-w6y
      @MbarakaSefu-w6y 6 วันที่ผ่านมา +1

      Kwel kbxa

    • @JacksonZakayo-tt3jg
      @JacksonZakayo-tt3jg 6 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli umesema

    • @muhammadmpahi338
      @muhammadmpahi338 6 วันที่ผ่านมา +1

      Kama kupambania taifa lazima uende jeshini, Asa si tupeleketu wanajeshi moja kwa moja

  • @khamismaalimhamad
    @khamismaalimhamad 6 วันที่ผ่านมา

    Uko juu br unafaa kuwa mchambuzi

  • @Exsaudimwakashela-lw2yj
    @Exsaudimwakashela-lw2yj 6 วันที่ผ่านมา

    Safii sana Tanzania juuuu naipenda tanzania

  • @dr.isayajn
    @dr.isayajn 6 วันที่ผ่านมา +3

    Tz ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @HusseinJafari-i8x
    @HusseinJafari-i8x 4 วันที่ผ่านมา

    Tunaweza sana

  • @CharlesSylvester-r3r
    @CharlesSylvester-r3r 6 วันที่ผ่านมา

    🤝 sana mchome

  • @nsajigwamwakalinga3591
    @nsajigwamwakalinga3591 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mwanangu umesema kweli kabisa

  • @reonardchatanda6371
    @reonardchatanda6371 6 วันที่ผ่านมา +2

    💙💚💛🖤

  • @LuckyCharms-cg1fs
    @LuckyCharms-cg1fs 5 วันที่ผ่านมา +1

    We jamaaa amia yanga tu

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 6 วันที่ผ่านมา +1

    Sema ibariki sio ibaliki

  • @stephaniabenjamini2848
    @stephaniabenjamini2848 6 วันที่ผ่านมา +3

    Tanzania oyeeee❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂.

  • @IbrahimmussaSalum
    @IbrahimmussaSalum 6 วันที่ผ่านมา +2

    kwa Mara ya 1 mchome umeongea point

  • @NassibuMajuto
    @NassibuMajuto 6 วันที่ผ่านมา

    Mchome broo unajua boli❤❤❤

  • @WistoniMtewele
    @WistoniMtewele 6 วันที่ผ่านมา +1

    Kocha atafutwe hatuwezi kuwa na kocha huyu tukafikambali , lazima tujitathmini hakuna kocha , kocha hata selection ya kikosi hajui atupishe tutafika mbali

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 6 วันที่ผ่านมา +2

    Yaani ww umetoka kuzungumzia simba na yanga halafu ww unaludi umoimo

  • @user-rr7du8om1z
    @user-rr7du8om1z 5 วันที่ผ่านมา

    Kwel Mchome me nakuheshm sana

  • @VemamElly
    @VemamElly 6 วันที่ผ่านมา +2

    Uyu jamaa anaakili nyingi sana

    • @danielmwalufingo971
      @danielmwalufingo971 6 วันที่ผ่านมา

      Anaakili gn huyu ni mwanaume wa dar tuu

  • @AbdulMgude-iv1ql
    @AbdulMgude-iv1ql 5 วันที่ผ่านมา

    feisal amefanya vzr sifa anapewa mudathir ujinga tu kama hamumpendi Feisal semeni

  • @CastoSamsoni
    @CastoSamsoni 6 วันที่ผ่านมา +3

  • @sweetbertrwiza5982
    @sweetbertrwiza5982 6 วันที่ผ่านมา

    Goli la Fei linanikumbusha alivyowatungua Simba mwanza na Azam walimshawishi baada ya kuwatungua magoli mawili akitokea bench wakaamini wakimchukua wameivuruga Yanga

  • @ManyweleMathiasmakoja
    @ManyweleMathiasmakoja 6 วันที่ผ่านมา

    Wanazinguwa sana hawajitumi kwani hawajuwi kupambania taifa

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 6 วันที่ผ่านมา +1

    Hiki ndo kibanda cha tigo pesa alichosema gb64😂

  • @charleznicholas416
    @charleznicholas416 5 วันที่ผ่านมา

    Feitoto ni moto wa kuotea mbali... Utopolo walitaka kumuua kipaji

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 6 วันที่ผ่านมา

    Mchomeee🎉🎉🎉

  • @user-ce8uu9jy2e
    @user-ce8uu9jy2e 4 วันที่ผ่านมา

    Wote waliotuvusha ni watanzania wenzetu tuache ubaguzi wa timu

  • @IshaeryMwampyate
    @IshaeryMwampyate 6 วันที่ผ่านมา

    ila kweli watu wengi tunaleta usimba na yanga kiukwel ata me niyanga muda kufunga nilishangilia sn kuliko fey ila nimejifunza tusilete ushabiki hii ni tz yetu

  • @PlasdiucSeveriol
    @PlasdiucSeveriol 6 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @user-ce8uu9jy2e
    @user-ce8uu9jy2e 4 วันที่ผ่านมา

    Ila huyu mchome sijui tuseme ukweli huyu simwanasimba ni mwana yanga kwakweli aache uongo at fei ksfunga goli zuri mie ananikera Kwa umbra wake

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 6 วันที่ผ่านมา

    Tunachojua yanga imeshinda

  • @rehemawamwarami3854
    @rehemawamwarami3854 6 วันที่ผ่านมา +1

    Tanzania oyooooooo

  • @RoseGeofrey
    @RoseGeofrey 6 วันที่ผ่านมา

    Huu usimba na uyanga ndio unaoharibu mpira wetu watu waache kusifia wachezaji wa timu moja timu zote zinafanya vizuri

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 5 วันที่ผ่านมา

    Wewe Laninjeje Hujui Mpira Wewe Mshabiki Bendera Unafata Upepo SS Mchome Unamtukana Kwa Nini Ana Kosa Gani Wewe Huna Akili Wewe Si MwanaSpot Wee Mvutugaji

  • @WistoniMtewele
    @WistoniMtewele 6 วันที่ผ่านมา

    Narudia kocha wa taifa bado Sana

  • @AshaNchira
    @AshaNchira 6 วันที่ผ่านมา

    Mmemuona chizi huyooo pumbavu sana

  • @majotv3405
    @majotv3405 6 วันที่ผ่านมา

    Hivi hii channel ni ya mchome?

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 6 วันที่ผ่านมา

    Fei ameanza rudisha misumari yake

  • @EliaBenja-nv6gz
    @EliaBenja-nv6gz 6 วันที่ผ่านมา

    Inabidi tuwapende wachezaji wetu, utakuta ndani ya uwanja tunaleta siasa shabiki kashika bango la kiongozi, baada ya kushika bango lenye picha ya mchezaji

  • @SmartTz-y5z
    @SmartTz-y5z 6 วันที่ผ่านมา

    Umutu

  • @Dokii-pn2du
    @Dokii-pn2du 6 วันที่ผ่านมา +3

    Eti taifa stars kama yanga huna akili

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mchome jifunze kusema ukweli na wewe,timu tunaipenda lkn Bado timu haiko vizuri ktk viungo na ushambuliaji Nataka msuva na samata

  • @GraceWilliam-d1w
    @GraceWilliam-d1w 6 วันที่ผ่านมา

    Hakuna mtu hapo na fey toto je

  • @Snydacut
    @Snydacut 6 วันที่ผ่านมา

    Acha unafiki ww mwanang

  • @Opportunityyi
    @Opportunityyi 6 วันที่ผ่านมา

    Acha ujings ww

  • @lusubilokorosso5661
    @lusubilokorosso5661 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu dogo pira anaujua sana tumpe maua yake.

  • @QuizMsolopa
    @QuizMsolopa 6 วันที่ผ่านมา

    Labda umelia kwa sababu ulikua umebet

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 6 วันที่ผ่านมา

    Fei jaman achorewe sanamu Posta

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu mkundu aka mchome nakutamani sana siku tukutane nikutombe

  • @IbrahimIsmail-p8f
    @IbrahimIsmail-p8f 6 วันที่ผ่านมา

    Unaongea nn ww ni mwehuuuu

  • @KheriAbdallah-t3s
    @KheriAbdallah-t3s 6 วันที่ผ่านมา

    Zanzibar tunabahati Muungano udumu kama si kizazi kutoka Zanzibar mhuu? Tanganyika ingekua kilio

  • @SadamuSamaki-p1q
    @SadamuSamaki-p1q 6 วันที่ผ่านมา

    Punga Hilo

  • @nasridinmohamed3194
    @nasridinmohamed3194 6 วันที่ผ่านมา

    fei skamoo nimekuelewa

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 6 วันที่ผ่านมา

    Tz oyeee😂😂