KING WA MADEM (MY FRIEND) |30|
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- #Bhailam
⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Subscribe to Comedy Plus: www.youtube.co...
Like Ukurasa wetu wa Facebook : / comedyplustz
Safi sn, ila musisahau kuiombeya inchi yangu Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tafadhali 😢😢
Hongera recho huna shoo mbovu mdada mwenye roho Yako mbaya apa mjin
Daa ! Hii move Kila mda unavyozidi kwenda ndo unazidi kuwa nzuri ilianza kama move isio kuwa na maadili lakini Sasaiv ipo 🔥🔥🔥🔥🙌
Mwanamke mnafiki kweli kweli hii zambii dada utaibeba engle fanya kazi yako😢huyuu munyongeee tuu
Wakwanza from Kenya.Kazi njema sana Bailam.
Kazi nzuri Ila unamlizaa Sana Fety afu Fety anakupenda Sana.
Wakenya mukowapi tuseme kamudomo ❤ like ❤😢
Bailamu nawapenda sana pia naomba kufanya kaz na wew
Kazi nzur sanaaa ❤
Wakwanza Munipe likes zangu
🇲🇿
Ndio uzuri
Tupe mambo Bhailam🎉🎉
Wakwanza Leo from Kenya
Hivi huyu Faith na Bailam kwenye really life ni mk na mme au vip cz wanaendana sana aisee
Wakwanza Leo from Moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Hii movie imeanza kunisinya kwa kwelii na uyu swabra...anaua watu bila hatia yoyote
@@BiisheBugao hii "kunisinya ni ya mombasa au tanga?
@suleislim🤣🤣🤣
@@suleislim4519mombasa 😂😂
Hakuna anaye uwawa haya maigizo tuu
Ila sabra siyo kulipiza kisasi ivo ivo nikuuwa watu wasio nahatia kawaida ugepambana nauyo uyo sheh masoudi mana ndio kakuuwia baba yako ila sipati picha siku sheh masoudi Ataziduka itakuwa vita kali jamani❤❤❤❤🎉
@@NtacobanzizaLeatitiazilfa ndo malipo yanavokuja sio ulivofanya
Anaitwa Recho 😂😂😂😂😂😂😂😂mauwa Yako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wakwanza Leo from saudia
Napenda part ya masudi 😂😂na Sabra wake😂😂
😂😂duh rechoo we Ni kupuliza tu vimbolaaa😂😂
Wale wanao mupenda bwana yesu Kristo Kua bwana n'a mwokozi wamaisha yetu tujuane liké apo chini n'a ubarikiwe
Ila zuri amemchana ❤❤
🎉. Niatali
Etiii mnamukomoa bhaillam wakatii mnajikomoa wenyewee..😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢masod utamalizaa ukoo mzima hadi akili ikukae sawa ikirudi umechelewaaa..... faith ungejua huyoo nyoka mchawi hungemchekea yani usharogwaa tayari
Daah aise Rachel 😢😢😢
Tuko pamoja sanaaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️
Kaz nzuli sna tunawapnda Sana ♥️🌹🇹🇿
Ila recho n mnafki nyie😂😂😂😂😂😂😂😂
Kumeanza kuchangamka sasa
sabra mjanja hahah et na yy kaota😂😂
Wapili sio mbaya
Kwanza kutoka Congo RDC 🇨🇩🇨🇩
Ndo uzulii😂😂😂😂😂😂
Daah namkubali Sana huyu mwamba uzuri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu mwanamke wa masudi ni zaid shetani 😀😃😀
From Kenya kazi nzuri ila Recho😢
Oyoooooooo kaka bailam fuli oee
Nilimmiss mzee simba jamani😂 nawapenda sanaaa ❤
Nice
Nice big up sana kazi nzuri bro bhailam mariam Mzee masuod big up sana recho
Daaah uchawi upo yani Masoud amerogeka kweli😢
ndo invyokuwaga
Muacheni babangu ale unono 😂😂
@@AgnesMasoud😂😂😂😂
Huyo recho afungwe maisha
Uyo Sabra simpendi ata Kidogo anakaliya kuuwa watu bila hatiya😢😢😢
Analipa kisasi fwatilia movie utaelewa
Hata km analipa kisasi si adili na uyo alomuulia baba ake@@ceciliarengua7767
Sasa hao wengine wanahusika vipi
Nkajua mjomba kaja kama mtetezi,kumbe dah! Maskin
Uyo ndo rechoo dk moja tuu anageuza game na mchezo unachezeka vile vile 😂💃🏼km tulivokubalianaa hatukauk mb ad tujuwe mwsho wa kijogoo na rechoo💃🏼💃🏼💃🏼
Wacha weee eeeh 😂😂😂
@@SharifuAlbughuliumalaya tu😂😂😂😂
But Fett ni karemboo,nakapenda sana🎉❤❤
Naelewaaaa kwambaliiiii😂😂😂 uzuli unajua bwan
Wakwanza Mimi Léo 🔥🔥🔥
Yani uyu sabra muongo sana kiukwel eti nayeye ameota😂😂😂
Sio shida zetu😂 kazi nzuri🎉
Utamaliza wa ndug zako unawauwa weye Sheikh masudi😢😢
Sabra😂😂😂❤️
Uzuri si ukubali unapendwa😂😂😂
Eeee mungu wangu mwingi wa rehema msaidie huyu mtu jamani mwamshe ktk usingizi mkali alolala. Sabra ni pepo rusifar. Anauwa watu bila hatia. Mbaya zaidi anamtumia mtu asiekua na kosa. 🙏🙏🙏
Wa Kwanza kutoka Kenya 🇰🇪
@@MariaTsuma aweeee
Kijogoo unafaa umuoe feti, ni mrembo sana
Sabra unafiki tu umekujaa masudi pole kwa mitihani unayo pitia😢😢
Namchukia huyu swadira,mbaya xaaana
Unakubali kuwa mwanamke ana uwezo wa kumfanya mwanaume chochte
Maskini sheikh masoud uwapitia mateso 😢😭enjoy wewe mnafik mno 😩 💔 bhailam ulichokifanya ni kumdharau mkeo 😢
Unatoa muvie kwamda mwafaka ❤❤
❤❤❤❤❤❤❤Heavenly Father, full of mercy and grace, We lift our hearts in gratitude to You for bringing us into this new year. We pray that it may be a year of blessings, peace, and success. We commit every dream and every plan into Your hands. Amen❤❤❤
Kijogoo ukomi umalaya labda mungu ashuke,,masudi wewe yako kwisha
Sabra jini kali sana
Nataka like jamani
my 🇸🇸nashukuru Kwa sipeet yenyu
Nani kapenda Jina la Hamza kuitwa uzuri 😁😁😁😁😁
Ndoo uzulii
Ila sabra😂😂
King of love ❤ Bahilam
Masudi unaanza kuboa hii movie unaua tu ndg zako kama zombi hujelewi kwann
Pamoja
Rechol wwe ndio umemfanya akauwe alafu wajifanya 😂😂😂😂
Anajitia uchizy
W masoud jua limewakia kwako mltafute kidahwa atakusaidia kutoka kwny ilo ghubu la mke
Sabura naomba unisaidie huo uchawi wako kuna watu nataka kuwaua kwa hiyo style
Kwakweli kipenzi niupate tu hata nus tu
@@IreneShoma-t8h hope amesikia
@@Mary-q5d5c 🤣🤣🤣 Mmesahau kama ni movei
Et uzurii
@@AshaSalimin achana na mambo ya movie sisi tuko serious 😆😆😆😆
Kinachonifurahisha Ni kwamba mnawahi kutupa vitu
Enjo mkomeshe sabra. Fanya kazi kama mzimu. Kakaako sio akili zake huyo. Namuonea huruma mm 😂
Jaman ndoo uzuri utanivunja mbavu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Boraa umeachwaa akili ikurudi amka ulikowekwa uko
Mashabiki wa khamza tujuwane
Episode ya 31 tunaitaka kesho
Hahahaaaa fety bado hujalia mama
Sabura unaitika salamu na ayo mapasita kwa kichwa
Ninachofurahia hawacheleweshi😃
Shekhe masoud hapo bado
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 imeisha iyooo😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Ndo uzuri ndo uzuri 😂😂😂😂😂😂
Recho ana masters ya uchawi 😢
Masuod umerogeka tu vizuri
Jamaa anakua bwege wa mapenzi mpaka anakera yaani
😅😅😅 wewe hamza ninomasana
wa kwanza akati mm
hivi ndivyo inavyo takiwa kutuwahishia kaz
BAILAM YUPO VIZUR SANA ANAWAH KUTOA KWA WAKATI TOFAUT NA DUNIA
Bora ufe na ww utamaliz wa2
Mm nmkubali sana uyu mwamba akika siku nyingi hajatuma kaz bc ni siku 2 mm naikubl hii kuliko my daughter anakaa wiki nzima clam ND antuma mzigo
Clam anazingua
Nice movie 🎥❤❤
Saf sana 🎉
Masoudi nilikua nakupenda lakiniivi wapi utamaliza familiya yako kwa mikono yako mwaenyewe alafu we utafata nyuma sumejifanya cizi mapenzi aca nione mwisho wako Mariyamu wenae unakaribisha nyoka 😂Recho 😂😂nakuceka bure utabaki unaliya namito kitandani
Mungu kwanza🙏🙏🙏
Oa bhailamu unatisha kinoma