jee huu ni ungwana? various part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 44

  • @Kinyanjukibe
    @Kinyanjukibe 4 ปีที่แล้ว +2

    Wangapi wanatazama mwaka 2020

  • @kevinfromkenya6416
    @kevinfromkenya6416 3 ปีที่แล้ว +2

    The actors are good love you people

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 4 ปีที่แล้ว +1

    Hangera sana mbotela kwa hii kipindi. Nilikua nakipenda sana. Jaribu tena urudishe hiki kipindi. Kizuri kweli kina elimisha.🙏🙏Aki malwaza. Ume vaa uusikaa kabisa.

  • @amihogatai8432
    @amihogatai8432 4 ปีที่แล้ว +1

    nzuri sana hii. nicely done. thank you for the lessons.

  • @gumatohuka8827
    @gumatohuka8827 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran.

  • @stanelymuthomi1049
    @stanelymuthomi1049 4 ปีที่แล้ว +1

    Watching from Qatar, very educative.

  • @mohamedtriik4962
    @mohamedtriik4962 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow wow

  • @aliissa6739
    @aliissa6739 4 ปีที่แล้ว +1

    A legend

  • @mazruiness
    @mazruiness 12 ปีที่แล้ว +4

    Thanks for the video , plz upload inspekta mwala if you can

  • @sharikharib
    @sharikharib 4 ปีที่แล้ว

    Very nice

  • @soundeffector1259
    @soundeffector1259 6 ปีที่แล้ว

    Good oldies

  • @ericmukundi9451
    @ericmukundi9451 3 ปีที่แล้ว +1

    Je, ikiwa unapewa mshahara unaweka, watu wenu wakihisi uchungu wakiona ni ungwana?

  • @YusufMubuya
    @YusufMubuya 6 หลายเดือนก่อน

    sawa

  • @stephenwangechi3497
    @stephenwangechi3497 5 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @worriestrouble838
    @worriestrouble838 3 ปีที่แล้ว +1

    Never knew maidunda & maliwaza could speak kamba fluently...

  • @mumomwanza2212
    @mumomwanza2212 2 ปีที่แล้ว

    inaelimisha na inaburudisha...ahsanteni wangwana

  • @ramzanqarim4977
    @ramzanqarim4977 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwanzo saahii kenya imejaa hii tabia hata ukiwa nao wasengenywaa hapo hapo na hujui

  • @timothykangethe7700
    @timothykangethe7700 4 ปีที่แล้ว +2

    Jameni nataka vipindi hivi vya Jee huu ni Ungwana kwa CD📀 jee yawezekana nizipate?. Na kama mnazo, nizipate wapi?

  • @isejemedia6760
    @isejemedia6760 4 ปีที่แล้ว +1

    Kitambo sana nakubali,,

  • @iskakapeter3319
    @iskakapeter3319 7 ปีที่แล้ว +5

    Ni Zaidi ya umbea.

  • @stecybeib8030
    @stecybeib8030 7 ปีที่แล้ว +3

    Tabia mbaya

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 4 ปีที่แล้ว +1

    Sass uwakute wakenya wanavyokwambia ‘ eti wameelimika ‘ mmeelimikaje ikiwa mnafanya mambo ‘UNEDUCATED’...!
    Tunawaombea jamaa zetu wakenya muache UKABILA....siku mtakuja KUUANA..!

  • @prettyaysha7892
    @prettyaysha7892 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaha zoa togola

  • @mohammedhadijellyboy8753
    @mohammedhadijellyboy8753 5 ปีที่แล้ว +1

    How do you go to other people's houses and control them when you're there I am referring to is to tell them how they should lead their lives like what I have just seen in the clip

  • @gabrielgitau8836
    @gabrielgitau8836 6 ปีที่แล้ว +4

    Real comedy

  • @itsjuliam
    @itsjuliam 2 ปีที่แล้ว +1

    Lakini Maliwaza hakomi

  • @upendosfamily8606
    @upendosfamily8606 3 ปีที่แล้ว

    After churchill

  • @ramzanqarim4977
    @ramzanqarim4977 4 ปีที่แล้ว

    Wakati unaangalia kipindi cha kufundisha adabu lakin saahii hakuna lolote ..mambo yamechafuka

  • @mstevens832
    @mstevens832 4 ปีที่แล้ว +1

    Wapi wale wako hapa feb2020?london locked.

  • @verified0429
    @verified0429 8 ปีที่แล้ว +3

    naangalia Kila wakati sichoki

  • @gumatohuka8827
    @gumatohuka8827 4 ปีที่แล้ว

    Haya.,; Lenard Mambo, . Uwakumbushe ,pengine watu kama hawa!, Wamesahau. They have to mind there own business. Komaa.

  • @ericmukundi9451
    @ericmukundi9451 3 ปีที่แล้ว

    Hallo, wazazi wanafaa kuteta ukishindwa ni walivyokukanya?

  • @eliaskivuyo5456
    @eliaskivuyo5456 4 ปีที่แล้ว

    Je huu ni ungwana?

  • @ericmukundi9451
    @ericmukundi9451 3 ปีที่แล้ว

    Je, ukionywa kufika pahali, kuwe haupakumbuki, ukilaumiwa ni ungwana?

  • @maryalexiskanyeri5052
    @maryalexiskanyeri5052 4 ปีที่แล้ว

    Woi hii iliisha ivo aki

  • @ericmukundi9451
    @ericmukundi9451 3 ปีที่แล้ว

    Mwanaume zaidi ya 25yrs, kwao kunafaa kuwa na vyombo ilhali hajui kutumia chochote, ni ungwana?

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 5 ปีที่แล้ว

    Mambo mbotela

  • @ericmukundi9451
    @ericmukundi9451 3 ปีที่แล้ว

    Unafaa kununua kitu na pesa yako ilhali haujui kinakouzwa, ni ungwana?

    • @ericmukundi9451
      @ericmukundi9451 3 ปีที่แล้ว

      Kijana wako anapokuomba ruhusa nawe hauhisi kumruhusu, ukimtusi badala ya kutomruhusu, ni ungwana?

    • @ericmukundi9451
      @ericmukundi9451 3 ปีที่แล้ว

      Je kijana mgonjwa kifafa, ukimtusi akisahau alipogonjeka, ni ungwana?