I think this lady kweli amechoka, the way she talks tell us more of what she has past through, even the man vile ananyamaza ni kweli ako na makosa, bt l wish u all the best 🤔🤔🤔
Ngai kwani watu walilala hapa,? 10 minutes comments 11 lol,njoo huku team doha tusikie manenos😄😄😄,nyasaye ghost unawesa fanya mtu alie yawa hiyo kicheko🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂🤦Wanaume huona Hakuna mahali unaeza enda the moment umeamua kumvumilia, masinde knows his wife's worth saile Nancy ameenda, you only know what you have when you've lost it
Gidi and Ghost if you are really keen on people coming back together then this is a case once revisiting once the tempers have cooled down. It will be a breakthrough if you eventually "patanisha" them
Mwanaume akiwa Malaya siku zote anafikiri tu hata wewe mke wake unafanya😁😁😁 😁 Ila wabukusu panaaa. Hapana chezea sisi tukiamua kuangalia mbele Hua hatuangaliii Tena nyuma madharau sisi hatupendiiiiii. 🤣🤣🤣🤣💪💪HAPA KENYA HAKUNA MWANAMKE STRONG 💪 KAMA BUKUSU😂😂😂😂😂😂😂
@@loisegitau4897 but not all men few are heavenly sent u do everything for ua wife shida anakam amelewa anakula baki anasahau kuna mtoi mdogo nd food unampata amelala unanyamaza anakubeba kama mjinga
@@georgengethe7280 not all men but many come home late and drunk then wake up early even time to spend with family hawana, even on Sunday ni job and his friends.
@@nancyschmeer124 wacha wee mimi nilipika chai nikampa na mahindi choma akazubaa nayo kumbe ndo boda inanisubiria kw kituo😂😂it took him an hr to realize tht i was nowhere 🏃🏃🏃
4 months later hope she cool down and went back to her husband.... I wish them the best this are normal things in marriage..I like the way the husband was quite ...
@@samuelsavon6709 l knoW but sometimes you have to forgive and forget,,,or maybe you are the step brother to Masinde, Ni wewe unataka kumuoa,,,style up bro,wanawake n wengi,,ukimuoa utaleta chuki kwa familia
Wanaume Ile time mko na yeye haonangi faida yako but once umeodoka Dio anaonanga ulikuwa wa maaana,when a woman decides to revenge even devil himself sits and watch.
Nancy amefanya Gidi akacheka without sound. But this woman is completely fed up. Masinde in your next life, kindly treat the woman u will have with some respect pthooooooooooooooh.
Wako alive and kicking shida ya masinde ni kuwa paranoid amehanya na kuzaa watoto nje ya ndoa Nancy amevumilia sasa he was suspicious kile anafanya bibi pia anafanya 😂😂😂
Am done ati! hata uongee Green, mimi sio watchman ama maid wako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
I think this lady kweli amechoka, the way she talks tell us more of what she has past through, even the man vile ananyamaza ni kweli ako na makosa, bt l wish u all the best 🤔🤔🤔
Woooiii mlujje in da house!Mlembe swa mlembe luuddi...mlembe mia mlembe luddi.....mlembe eeeehhh
Team Riyadh tumechelewa....ghost minimize kicheko yawa thooo👏👏
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu mwanamke amemeza radio🤣🤣🤣🤣 Nancy uko sawa
Abhaluyia bhanje bhushiere? I like the confidence of Nancy ♥♥♥
Yee mnomnoo
Bhushiere mno
Bushiere Mno
That woman is removing sparks (Euma ngala) 🔥🔥🔥⚡⚡⚡
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂Euma ngala
😂😂😂😂 Euma ngala
Vibaya sana
Leo ni more fire waaah
😂😂😂😂😂😂😂😂am speechless 😂😂😂😂 eti kitu yenye alipata kwa Masinde ni mtoto pekeake 😂😂😂😂😂 salaam aleikum
Aleikum salaam
Waleykum salaam
@@aishanaisiae5221 😂😂
Waleikum salam
Ata uongee green mimi si maid work or watchman🤣🤣🤣🤣🤣
#Patanisho on 🔥🔥🔥🔥🔥
Mwanamke akisha kuchoka utajua ujui🤣🤣🤣Nancy good job najua umechoka na masinde
Mwanaume akiwa malaya pia ufikirie vile ambavyo anavyofanya nje ndoa ndio bibi wake pia anafanya.... Insecure 💔💔 .... Nancy ati wewe sio watchman🤣🤣🤣
Hahaha
On point
Umesema ukweli
Ngai kwani watu walilala hapa,? 10 minutes comments 11 lol,njoo huku team doha tusikie manenos😄😄😄,nyasaye ghost unawesa fanya mtu alie yawa hiyo kicheko🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 watu niwa chap,chap huku!!
Team hustler tutafutane pale vilagio tule kuku fry🤣🤣🤣🤣emisatsa chino tawe
Njoo tùrarue kuku🤣🤣
@@norahmwenyewe3696 😂😂😂💃💃
Happy happy to see you live live. 🙋🏾♀️ you keeps me going 😂😂🙋🏾♀️Njeri Germany
Nancy hugs whenever you're.......
Woooow ya leo Ni noma sana Aki hizi ndoa Ni stress mungu tu
Ndoa za siku hizi Hakuna ile iko straight mbaka uwe mvumilivu uzuri wa Masinde amejua amepoteza kizuri Nancy tuliza roho urudi kwa ndoa
😂🤦Wanaume huona Hakuna mahali unaeza enda the moment umeamua kumvumilia, masinde knows his wife's worth saile Nancy ameenda, you only know what you have when you've lost it
Thanks for the good work Gidi and Ghost.
huyu Nancy ni motoooo🔥🔥🔥.
boychild.... 😀😀😀
Aki wanaume please don't stress wanawake we are tired mnatuteza Sana
True,...single is the best💃💃
Mimi naskianga nin'goe miti sazingine mpaka mtu anakua wazimu!
Gidi and Ghost if you are really keen on people coming back together then this is a case once revisiting once the tempers have cooled down. It will be a breakthrough if you eventually "patanisha" them
Welcome back Gidi na Ghost,aki tumemiss patanisho sana..ya Leo ni more fire
PRETTY MAMBO UKO VIPI
@@maurinekhasila3326 Fiti sana uko vp
@@prettybabygalmichelson6557 niko poa miss u
This has to be the funniest Patanisho ever!
Mwanaume akiwa Malaya siku zote anafikiri tu hata wewe mke wake unafanya😁😁😁 😁 Ila wabukusu panaaa. Hapana chezea sisi tukiamua kuangalia mbele Hua hatuangaliii Tena nyuma madharau sisi hatupendiiiiii. 🤣🤣🤣🤣💪💪HAPA KENYA HAKUNA MWANAMKE STRONG 💪 KAMA BUKUSU😂😂😂😂😂😂😂
Nani bado ako hapa 2024
Huyu Nancy hapendi ujinga🤣🤣🤣🤣 eti amtafutie bibi hadi ampelekeee🕺🕺🕺
Kevo Wa pipe vipi 💪👆🤣
@@serahkibunja6221 poa sana nakuona uku pia🤣🤣
@@kevohwapipelinetransami4351 omubeibee amesema hataki jamaa
@@serahkibunja6221 imagine hivyo mtu ameachwa🤣🤣🤣🤣
Hahaaaa ndo ivo sasa
Patanisho mlihama woooiii
Ukweli wanaume wengine huona bibi kama ni watchman or maid.
Really
@@georgengethe7280 yes
@@loisegitau4897 but not all men few are heavenly sent u do everything for ua wife shida anakam amelewa anakula baki anasahau kuna mtoi mdogo nd food unampata amelala unanyamaza anakubeba kama mjinga
@@georgengethe7280 not all men but many come home late and drunk then wake up early even time to spend with family hawana, even on Sunday ni job and his friends.
@@loisegitau4897 pole we live by God's grace
Hio kicheko ya Ghost 🔥
😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌ati aoe watakatifu wao😂😂😂
Hizi matusi🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
Oa Mtakatifu mazee.. apa ulishaachwa🤣🤣 wangu nilimuacha akinywa chai kwa meza alikuja kushtuka nikiwa JKIA😂😂😂Ongea tu blue green apo
@@nancyschmeer124 wacha wee mimi nilipika chai nikampa na mahindi choma akazubaa nayo kumbe ndo boda inanisubiria kw kituo😂😂it took him an hr to realize tht i was nowhere 🏃🏃🏃
Can't wait to stand with such kihele hele Girl. Masinde ,its your high time to settle your mind and get a new brand . Ako kamsululo achana nao
Smh ...also us women cannot handle unfaithful men😊
Bibi amechoka kabisa
More 🔥 🔥 🔥
Ongea green Na blue sirudi hata,faida yangu kwako ni mtoto tu nilipata ,nitakutafutia Bibi 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Masinde ameachwa!😂😂😂lakini nancy ako na mdomo wueeh🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sana Tena Sana hiyo mdomo nayo jesuuuu,,
@@rosenanjekho8916 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Self defence 😘😘
Nancy is 🔥
Nancy amemeza memory card🤣🤣🤣typewriter
nancy no nounses big up garl☺☺
Nancy 🔥🔥🔥
4 months later hope she cool down and went back to her husband.... I wish them the best this are normal things in marriage..I like the way the husband was quite ...
Pia kuza watoto kadha ije ni normal?
Nancy ni 🔥🔥🔥
weeeeh akaoe mzungu or waria l telling she has had enough pole mami weeeeh 💣💣💣💣
Eeeiish huyu Nancy n moto wakuotea mbali,anaongea kama waah ,,Masinde move on huyo c mwanamke tafuta mwingine, ,mnapotezeana mda
Ati c mwanamke?? You dont know what shes going through, and you are also a woman
@@samuelsavon6709 l knoW but sometimes you have to forgive and forget,,,or maybe you are the step brother to Masinde, Ni wewe unataka kumuoa,,,style up bro,wanawake n wengi,,ukimuoa utaleta chuki kwa familia
Am a lady 😂
@@samuelsavon6709 😂😂😂😂
@@eddahwamboi7683 😂😂😂
huku kimenuka kweli💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣
Patanisho ya Leo ilikua on fire...weuh..!!!!
Leo n 🔥🔥🔥🔥
Aki huyu mluhya ni more fire
Faida ni mtoto tu
Mwanamuke tosha am proud of that lady
MO fire
Waluhya thooooo Nancy ni mo fireeeeee heeee
Hahaha best patanisho 2020
Hakuna haja ya kumbembeleza mwanaume akiwa mang'aa kanyaga kubwakubwa ladies.... single forever.. marriage is just a tittle, you can do without it.
Kumbe uko hapa🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️
@@Kwa123 🤣🤣🤣
@@kevohwapipelinetransami4351 🤣🤣🤣🤣🤣🤣mara tuko mara ebru mara radio jambo mara milele mara mwamogusii everywhere anyway let’s support media
Thanks bro
@@Kwa123 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pamoja kabisa
Wanaume Ile time mko na yeye haonangi faida yako but once umeodoka Dio anaonanga ulikuwa wa maaana,when a woman decides to revenge even devil himself sits and watch.
Present tu
Maajabu
No 7 leo team kujiamini mpo
😂😂😂😂aki huyu Nancy n moo-fi-re walai,,ujinga kando
Wa pili🤗🤗🤗
Masinde umepatikana ati uoe mtakatifu... Eeeh Nancy uko sawa ulimeza memory mpaka jamaa anashindwa kuongea
Ata aongee green ama blue 💙 🤣🤣🤣
Wuiiiiiii mluyaa Wa kakameka amefungua roho
Moto💥💥💥
More 🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥Leo
Gai sisi akina nancy tunakuwanga roho juu ukimuwa umeamuwa
Kali ii ya leo
kitu kimoja wanaume hawaja kijua mwanamke ujua kuvumilia Lakini pale atasema nibasi nimechoka weee uwa nibasi kuukweliii
please Nancy try to cool down kwanza because u don't know about tomorrow
Hp wanawake wote wakue kama nacy 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
💪💪💪
Nancy amefanya Gidi akacheka without sound. But this woman is completely fed up. Masinde in your next life, kindly treat the woman u will have with some respect pthooooooooooooooh.
Nancy hawatangii kupakwa matope 💪💪💪💪💪mwanaume aii
Kuna mambo kwenye majumba mungu atusaidie 😭😭😭🇹🇿
😩😩😩
Caro kemunto watching from saudia wewe kama uliona anaongea , na bro yako; mbona tena unamtafuta mjinga sana, uongo huo
Nancy ni 🔥🔥🔥🔥daah 🤣🤣🤣🤣🤣
Wanawake n kutunzwa best way to save your marriage no kuonyesha upendo kuaminiana Na mapenzi those are the best things u can do Na tusikalie wake wetu
Hahahaha ati mzungu atoe wapi ako na passport really Gidi🤣🤣🤣
Unganisho ilienda wapi
Some men's l don't understand them haki
Nancy umewahi huyo mwaume 😂😂😂😂😂🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Mluhya ni kuoleka kwa wanaume wengi lakini anaachia kila watoto baba Yao na akiamua ameamua Hakuna kurudi nyuma🤔🤔
😂😂😂😂ukishapewa " nyafasi" na mwanamke utajua hujui 🤣🤣🤣🤣
Long time Gidi na ghost,,welkam back
Waaaaah huyu Nancy anaongea sana kama amemeza memory card.ni BWANA yupi atavumilia hio mdomo surely
True huyu Nancy mdomo nayo
Ladies hamjui stress ni nini especially kuonyeshwa madharau na mumu kuhanya ukifika kikomo utajua uko na mdomo
@@joanoroni4462 kabisaa
@@joanoroni4462 very true. Amefika mwisho.
If it's true she pushes two brother's, in luhya custom's the two men can't share a meal,one of them will die.
Wako alive and kicking shida ya masinde ni kuwa paranoid amehanya na kuzaa watoto nje ya ndoa Nancy amevumilia sasa he was suspicious kile anafanya bibi pia anafanya 😂😂😂
@@joanoroni4462
True
Mwanaume akikukataa aneza sema anything
Joan kwani bwanako akienda njee ya ndao hata wewe utatoka. ?
Watu walishinda Studio waki ngonja bei ya dengu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Hii ni kali 😂😂😂😂😂
Kweli mtu akichoka amechoka
Hii ndio asili ya mwanamke aliye tema mate yani kuchoka na ameamua
Aaai mwanamke jifunze kuheshimu yawa,hiyo mdomo sio ya kutengeneza ndoa aki
Watengeneze usherati😡
Hawa wanaitwa Nancy waaaaaa Masinde jipange lakini ni temper atarudi chini baadaye
𝑴𝒘𝒂𝒏𝒂𝒎𝒌𝒆 𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒏𝒆𝒏𝒐 𝒉𝒖𝒚𝒖...𝒉𝒖𝒚𝒖 𝒉𝒂𝒆𝒛𝒊 𝒂𝒕𝒂 𝒌𝒂𝒂 𝒌𝒘𝒂 𝒏𝒅𝒐𝒂..𝑴𝒂𝒔𝒊𝒏𝒅𝒆 𝒕𝒂𝒇𝒖𝒕𝒆 𝒃𝒊𝒃𝒊 𝒂𝒑𝒂 𝒉𝒂𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒃𝒊𝒃𝒊
Huyo Nancy amepitia mingi, she is done. 7 yrs of torture.
Locked
Locked but lazma nisikize.any way Gidi unganishow haitaiwork tena.
Tunataka hii kitu kila siku jameni
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Maidi wako
Maid 😂😂😂 watchman....😂😂ongea green..... Black...sikutaki😂😂😂😂😂😂😂tafuta watakatifu😂😂😂😂😂
🔥🔥🔥
Guyz plis I think is better to stop laughing ndo muwe serous za kusolve family matters
kaka please niondowe hapa akuna ndoa please move on tafuta bibi uowe achana na huyu mwanadada
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌watuuu🗣🗣🗣watu wengi 🗣🗣🗣grand rising 😂😂😂ati wanasemaga marriage is what 😂😂😂
Scam😁😁
Hehe marriage is a farm 😂😂😂😂 you have to water it both of you sio tu mwanamke bure Nancy atajitokeza ndani
Marriage is a scan
Nanziiii purisss
Masinde ukitaka kurudisha huyo bibi anza kumtumia pesa...shower her with money bro...women love money