ALICHOFANYIWA MBUNGE WA GANDO ‘PEMBA’ AKOGESHWA HADHARANI KWA FURAHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 63

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 2 ปีที่แล้ว +3

    Nampenda sana Allah amemuongoza namuomba amfungulie milango ya kheri na mafanikio hapa duniani na kesho akhera In Shaa Allah🥰

    • @raiye5621
      @raiye5621 2 ปีที่แล้ว

      AllahummaAmin

  • @khalidhaji8570
    @khalidhaji8570 2 ปีที่แล้ว +3

    MASHA ALLAH huyu ni mwenyekiti wa GREEN LIGHT FOUNDATION BIG UP

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 2 ปีที่แล้ว +1

    Amiin Rabil Alamiin Allah Atukubalie Duwa za wazee wetu Amiin.

  • @salummkubwa
    @salummkubwa 2 ปีที่แล้ว +1

    Gando is proud to have you, kazi iendelee my brother, mimi wa Chanja ya Kombeni 👍👍👍

  • @umojaninguvukubwa631
    @umojaninguvukubwa631 2 ปีที่แล้ว +7

    Huyu mbunge Yuko sawa mashallah ila Pemba hawaaminiki Hawa 😁😁😁🤔🤔

    • @mussaibrahim333
      @mussaibrahim333 2 ปีที่แล้ว +1

      Mm nataka uwa kasri hawa subiri 25 sio mbali utakuja nikumbuka wajumbeee

  • @fahmaali8945
    @fahmaali8945 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah mwenyenzi mungu akupe afya njema

  • @hamadfaki2503
    @hamadfaki2503 2 ปีที่แล้ว +7

    Huyu mbunge kweli mi nampenda japo ni CCM lkn shida yetu ni maendeleo

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah wewe waongoza kwa vitendo alhamdulillah wote viongozi waige mfano kama wako alhamdulillah

  • @saleemshehabu3071
    @saleemshehabu3071 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuhfadhi duniani na akhera pamoja na familia yako yoote

  • @khalidhaji8570
    @khalidhaji8570 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni mchapakazi sana Masha Allah

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 ปีที่แล้ว

    Amiin amiin

  • @mohamedidarus2322
    @mohamedidarus2322 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sanaaa hichi ndo ninachokitaka

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 2 ปีที่แล้ว

    Maashallah mungu akubarki

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 2 ปีที่แล้ว

    Ma sha allah

  • @fugameza6011
    @fugameza6011 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwani wewe ati mbunge ulizaliwa wapi vilee hata suwala hilo ulijuwe leyo pumbav unuus

    • @dula8819
      @dula8819 2 ปีที่แล้ว

      Ilikua mipango bdo haijakaa sawa

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @sultannassor4868
    @sultannassor4868 2 ปีที่แล้ว +3

    mungu atakulipa

  • @MariyamAbdalla-w1h
    @MariyamAbdalla-w1h 9 หลายเดือนก่อน

    Hatakama kadhulum sawa dhulmahizo nimzur hao waliopita wacuf miakayote hio hawakufanyakitu

  • @binothman9284
    @binothman9284 2 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah Allah

  • @saidhassan7779
    @saidhassan7779 2 ปีที่แล้ว +1

    HATUMTAKI sisi Mara yako ya Mwisho Hiyo

    • @dula8819
      @dula8819 2 ปีที่แล้ว

      Hunaakili ndio maana mnauliwa kwa usenge wenu

    • @sharifjuma1220
      @sharifjuma1220 2 ปีที่แล้ว

      @@dula8819 kwani mwizi wa kura akijenga kisima anakuwa si mwizi? Basi mpe pepo . 58 years ati mbunge kaleta maji pumbavu wahedi so what?

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 2 ปีที่แล้ว

      @@sharifjuma1220 kwani awo waliokaa 58 years waliokua sio wizi wa kura hawakuepo apo mbna hawakufanya

    • @sharifjuma1220
      @sharifjuma1220 2 ปีที่แล้ว

      @@mudighurayra hukuyaona wewe maendeleo ya Mapinduzi tumeyasherkea juzi kwani hukumsikia yule mama Alipomsifu Dr Sheni? Maji Wasema maji Maji ntele?
      Naruduli kwenye hoja tangu 64 hii nchi anaongoza nani hata kisima leo watu wasaha madhila ya ccm ?
      Diamond kajenga msikiti so what?
      Mwezi wa kura kajinga kisima sasa tuuze utu wetu? Be real maendeleo hayaletwi na mbunge wala muwakilishi ni Wasemaji wa wananchi kwa vile hatuwezi kwenda sote kusema bungeni.
      Hayo ya kuwapa watu kilo ya mchele na peya ya kanga mutauza nyie utu sio wapemba

  • @omarabeid7490
    @omarabeid7490 2 ปีที่แล้ว +2

    Umejipigaje hizo c pesa za jimbo uctupumbaze

    • @omaralihamad3785
      @omaralihamad3785 2 ปีที่แล้ว

      Kheri ya yeye pesa ya jimbo ameitumia kwa faida ya wananchi, ao wengine kazi kubwa kushibisha matumbo yao tu hawana moja la maana walilolifanya

    • @adamally6
      @adamally6 2 ปีที่แล้ว

      hta ci pesa za jimbo lkn anasaidia tofauti na wabunge wengine

  • @sadraaly3410
    @sadraaly3410 2 ปีที่แล้ว +1

    Hata UFANYEJE ULIDHULUMU

    • @dula8819
      @dula8819 2 ปีที่แล้ว

      Ndio maaana wapemba miaka yote watakua washamba kwamambo haya

    • @sharifjuma1220
      @sharifjuma1220 2 ปีที่แล้ว

      @@dula8819miaka 58 maji mmm Mapinduziii

  • @bigambomaulidi6893
    @bigambomaulidi6893 2 ปีที่แล้ว +2

    hawa ndio viongozi ambao tunapaswa kuwa nao Zanzibar sio wale ambao mpaka leo hawajapita majimboni kwao na ikifika uchaguzi wanapitishwa na wenye madaraka

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaani kupata wabunge kama hawa kumi tu pba itakua kama dubai

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii yote ni show off hawa ndo wanataka tutawaliwe ili wao na matumbo yao yajae kwani serekali yako ya ccm yenye dhamana iko wapi ?? Kwa miaka 60 sasa ataufanye wewe tusiwe tusikubali kufanywa wajinga. You can fool some people s sometime but you can't fool all the peoples all the time. Ulingia ubunge kwa matusi na dhulma . Fanya ufanyavyo 1 day yes.

  • @mahfoudhjuma4833
    @mahfoudhjuma4833 2 ปีที่แล้ว +1

    Walikaa wabunge wa act miaka yote wameshindwa nduguzangu wa pemba vizuri hamuvitaki kwa ushabiki

  • @hashimali7925
    @hashimali7925 2 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @pstvtz2198
    @pstvtz2198 2 ปีที่แล้ว

    Hhhhhhh

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 2 ปีที่แล้ว +1

    Ccm dhulma

    • @rayaomar7837
      @rayaomar7837 2 ปีที่แล้ว

      Allah tudumishieee mbungewetuuu

    • @dula8819
      @dula8819 2 ปีที่แล้ว

      Kwan lendo lakuchagua viongoz wazur Nini?

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 2 ปีที่แล้ว

      @@dula8819 kuchaguliwa kihalali lakini

    • @dula8819
      @dula8819 2 ปีที่แล้ว

      @@iddijumaali7192 nyie bana

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 2 ปีที่แล้ว

      @@dula8819 ccm dhulma hatuna haja ya dhulma

  • @dullahamoud6037
    @dullahamoud6037 2 ปีที่แล้ว

    nimbunge pekee zanzibar mzima anayeweza

  • @sadraaly3410
    @sadraaly3410 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna ZAKA AU SADAKA YA MALI YA KUIBA

    • @hasinabaraka304
      @hasinabaraka304 2 ปีที่แล้ว

      Hizo pesa alikibia ww au mbn ww hufanyi kwa izo pesa zako za halal

    • @abubakaralliy8435
      @abubakaralliy8435 2 ปีที่แล้ว

      ndio anawarejeshea wenyew kma kaiba bas

    • @dula8819
      @dula8819 2 ปีที่แล้ว

      Wapemba hawanaakili

    • @eyabdimaha3698
      @eyabdimaha3698 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa dhuluma tupu tokea lini gando na mbunge wa ccm

    • @dula8819
      @dula8819 2 ปีที่แล้ว

      Wapemba badilikeni acheni uvyama ndio maana pemba mnakua wamwisho kwenu kubaya kwahuu ujinga mnaangalia Sana siasa

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 ปีที่แล้ว

    Ma sha allah

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @nassorsuleiman8030
    @nassorsuleiman8030 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah