Inahukumu gani kunuwiya mwnzo wa mwezi tu pale unapoandama tena ucnuwiye tena hadi kwish mfungo wa ramdhni?na je!!niya ina hukumu gani kuitamka kwa sauti au kuwa moyoni?
Asalamu allaykum"ukiandama mwezi tu na kutia nia moyoni kuwa Ramadhan imeingia na utafunga basi imetosha,,ila ukitamka kwa maneno kila siku ni sunna na utalipwa biiznillah
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatu sheikh na kama ni Sunna jee kuna Nia specific yenye unasema afuan
Asalm alkm shekh kam umesahau kutia nia je funga ipo au haipo
yaallaah
Asalam allaykum shehe je yaswih kufunga kwamtu ambaye hajafunga kwa miaka mingi iliopita
Naipi azabu yake mtu huyo endapo hatozilipa funga hizo
Upo ushahidi unaonesha mtume alikuwa akinuwiya vpi wakati wa funga?
Inahukumu gani kunuwiya mwnzo wa mwezi tu pale unapoandama tena ucnuwiye tena hadi kwish mfungo wa ramdhni?na je!!niya ina hukumu gani kuitamka kwa sauti au kuwa moyoni?
Asalamu allaykum"ukiandama mwezi tu na kutia nia moyoni kuwa Ramadhan imeingia na utafunga basi imetosha,,ila ukitamka kwa maneno kila siku ni sunna na utalipwa biiznillah
Asalam alaykum sheikh nikitia nia bila kusoma duaa kwa ajili ya kufunga bali nina nia ya kufunga ina swehi
kw mujibu ya ibnu taymia inaswihi