“Watu hawaamini kama nimetengeneza gari kwa mikono yangu"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @manilabonalumanula1014
    @manilabonalumanula1014 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Masoud Kipanya, Nape atakufikiria

  • @yahyamkone5601
    @yahyamkone5601 2 ปีที่แล้ว +1

    Safii Sanaa kakaa kipanya

  • @samwelipaul2946
    @samwelipaul2946 2 ปีที่แล้ว

    Umetisha kipanya

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana kaka

  • @adelakimario7945
    @adelakimario7945 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana .

  • @wilsonmichael1156
    @wilsonmichael1156 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana mbunifu wetu wa gari ya kwanza inayotumia umeme kutoka tz.

    • @abuyunusmohamed6961
      @abuyunusmohamed6961 2 ปีที่แล้ว +1

      huyu hajabuni kakopi google tu kila kitu.dunia ya sasa ni global village

    • @hildantandu5909
      @hildantandu5909 2 ปีที่แล้ว

      @@abuyunusmohamed6961 acha wivu ,hata kufikiri kukuopi ni hatua

    • @abuyunusmohamed6961
      @abuyunusmohamed6961 2 ปีที่แล้ว +1

      @@hildantandu5909 dah wewe bado akili yako haijakomaa.msema kweli mpenzi wa mungu.unadanganya watu umevumbua gari wakati lipo muda mrefu.google ukitaka chochote unapata.andika namna ya kutengeneza gari la umeme kwenye google utapata jibu hapo hapo

    • @hildantandu5909
      @hildantandu5909 2 ปีที่แล้ว

      @@abuyunusmohamed6961 wewe mwenye akili iliyokomaa umetengeneza nini?

  • @anithakiwia992
    @anithakiwia992 2 ปีที่แล้ว

    Big up KP

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 ปีที่แล้ว +2

    huyu adanganya watu kakopi kwenye google tu.

    • @hildantandu5909
      @hildantandu5909 2 ปีที่แล้ว

      Kakopi na wewe

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 6 หลายเดือนก่อน

      Na wewe ktafute google hata mavi huwezi kutengeneza😂😂😂

    • @jonathanlema7782
      @jonathanlema7782 3 หลายเดือนก่อน

      Na wewe muongo.. hata mtoto mchanga anatengeneza hayo mavi​@@GibsonNtamamilo

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 2 ปีที่แล้ว +1

    Hui ndio ubunifu sasa tena wa kiwanqo cha kimataifa.
    Sio wale wanotenqeneza kw mabat ya maseredani mabovu.
    Biq up sana Massoud 🐀

    • @abuyunusmohamed6961
      @abuyunusmohamed6961 2 ปีที่แล้ว +1

      ubunifu gani kukopi kwenye google tu

    • @mussakiziyzi408
      @mussakiziyzi408 2 ปีที่แล้ว

      @@abuyunusmohamed6961
      Kopy na wewe bas mjomba kama ni rahis.
      Jeylous tu

    • @abuyunusmohamed6961
      @abuyunusmohamed6961 2 ปีที่แล้ว +1

      @@mussakiziyzi408 kumbe majuha mko mko wengi.nimesema ingia google andika namna ya kutengeneza gari la umeme utapata jibu hapo hapo.nyie ndio mtakaokuja kuruhusu ndoa ya jinsia moja kwa ufinyu wa kufikiri

    • @mussakiziyzi408
      @mussakiziyzi408 2 ปีที่แล้ว

      @@abuyunusmohamed6961 we matako km huna chakuonqea kaaa kimya.
      Na akili yako mbovu.

    • @abuyunusmohamed6961
      @abuyunusmohamed6961 2 ปีที่แล้ว +1

      @@mussakiziyzi408 wewe jingalawa bora nyamaza tu.Ni taahira na hujielewi.karne ya sayansi na teknolojia bado unadanganyika.
      Narudia kwa mara ya mwisho na sitaki kubishana na watoto wadogo na wapumbavu kama wewe.Nimesema ingia google na utapata maelezo yoyote na chochote hapa duniani.magari ya umeme yalikuwepo tangia miaka ya 50 sema yalikuwa hayatumiki kwa sababu gharama zake zilikuwa kubwa kwa wakati huo.

  • @hatibhatib5760
    @hatibhatib5760 2 ปีที่แล้ว

    Inauzwa shingapi?

    • @salumumakombo9136
      @salumumakombo9136 2 ปีที่แล้ว

      itakua laki3 au laki4 na nusu

    • @hatibhatib5760
      @hatibhatib5760 2 ปีที่แล้ว +1

      @@salumumakombo9136 aaaah subutuuuu, hata mi nanunua

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 2 ปีที่แล้ว +1

    Wameunga mavitu mpka kametokea kama kagari.

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Ndio KP mbishi Kwel Kwel Na Mwana Kuthubutu

  • @bobrudala3784
    @bobrudala3784 2 ปีที่แล้ว

    Kamanda nakukubali japo:NABII HAHESHIMIKI na KUTHAMINIWA NYUMBANI KWAKE

  • @hacker9mtata131
    @hacker9mtata131 2 ปีที่แล้ว

    Utashangaa katekwa