Richie Longomba - Funguo 25 years ago (MUSIC VIDEO).

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 94

  • @alfredluhanga7131
    @alfredluhanga7131 4 ปีที่แล้ว +7

    Hongera kuhusu hii nyimbo Richie, nakumbuka 2003-2004 ilikuwa hatari sana kwa nyimbo za Bongo Flava! Ujapata Funguo bado?😂

  • @albogast
    @albogast 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nani yupo hapa 2024😂😂 nimeludi kusikiliza baada ya kupoteza funguo na nimetoka safari😅

  • @sirizamwili
    @sirizamwili 4 หลายเดือนก่อน +1

    Aisee! Kitambo hiko. 2000s

  • @issaabeid1215
    @issaabeid1215 6 ปีที่แล้ว +25

    2019.... nani anasikiliza...

  • @kakacharlesofficial1241
    @kakacharlesofficial1241 2 ปีที่แล้ว +2

    Ulitisha saaana brother

  • @MeedyBakari
    @MeedyBakari ปีที่แล้ว +3

    Richirich walongomba mwanangu sana na benjamin wamambo jambo from sinza mody koja kicheba one

  • @henrykishiwa6755
    @henrykishiwa6755 5 ปีที่แล้ว +9

    Watu wameisikia jingle Clauds ndo wameitafuta kuisikia upya kweli masikini hadhaminiki

    • @tedyjuma6393
      @tedyjuma6393 5 ปีที่แล้ว

      Henry Kishiwa mimi mmoja wapo asee 😆😆😆

    • @suzanaansgary3717
      @suzanaansgary3717 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂kweli

  • @karismadeorioks8016
    @karismadeorioks8016 ปีที่แล้ว +5

    2023 but still relevant and catchy💯🙌🏿🔥Kenyan classic 🔥

  • @moudrickmouh3569
    @moudrickmouh3569 ปีที่แล้ว +1

    Funguo dah ni moja y ngoma ninayoikubal kweny ukuaji wangu wote enzi hizo ikitoka hii lazma ifate kikulacho radion😅..dah watoto wa 2000 hawaez elewa..

  • @ndjalopatrick6064
    @ndjalopatrick6064 ปีที่แล้ว +1

    Iyi nyimbo nakumbuka wakati nimekuwa Kwetu Nyumbani Congo 🇨🇩 bado nikingali kinjana saana 2004 nimekuwa nahipenda saana ,iyi nyimbo ilipendwa sana kwetu Congo ✨

  • @mbatatakiazi1678
    @mbatatakiazi1678 ปีที่แล้ว

    ahsante sana Mchungaji

  • @phitolyfancy6561
    @phitolyfancy6561 ปีที่แล้ว +1

    Inanikumbusha mbali 😢

  • @denisteye9699
    @denisteye9699 5 ปีที่แล้ว +5

    Funguo,,funguooooooontaipata wapi?👌👍👍 2019 april

  • @herinunda6018
    @herinunda6018 3 ปีที่แล้ว +2

    Nazikumbuka hizi nyakati. Haziwezi jirudia asee. Mziki kwenye enzi zake.

  • @kassangaibrahim3476
    @kassangaibrahim3476 6 ปีที่แล้ว +13

    2019 still watching hii ngoma ni moto

  • @salumuferuzi7063
    @salumuferuzi7063 6 ปีที่แล้ว +15

    Kama bado unaisikia twende kazi 2018

  • @victormoshi001
    @victormoshi001 5 ปีที่แล้ว +4

    kama jiggle ya clouds imekuleta hapaa gonga like tujuane

  • @mazogemasatu7606
    @mazogemasatu7606 6 ปีที่แล้ว +6

    Kitu funguo ilikuwa noma by rich- rich

  • @franciskimaninjenga8234
    @franciskimaninjenga8234 6 ปีที่แล้ว +4

    funguo ngoma noma

  • @jifaqmoonwalker6032
    @jifaqmoonwalker6032 5 ปีที่แล้ว +2

    Daah nlikuaga darasa la kwanza sijui

  • @phillucas9673
    @phillucas9673 2 ปีที่แล้ว +3

    My best friend. This song I loved from time immemorial. Piga makofi days

  • @michaeljeremiah634
    @michaeljeremiah634 5 ปีที่แล้ว +3

    Kaka rudi ɗah...roho imeniuma kinoma aiseee......wapuuz waaimɓa na saut zao za kuigana....plz rudi kaka game ɓado inakuɗai na ww pia unaɗai mamillion...ya pesa twenɗe twenɗeeeeeeee......mamaaa..iki kinanɗa nan uyo....ɗah....rich ruɗi kaka....

    • @moxamedinagalbeed79
      @moxamedinagalbeed79 5 ปีที่แล้ว +1

      Mpaka sasa hii ngoma naikubali sana

    • @michaeljeremiah634
      @michaeljeremiah634 5 ปีที่แล้ว

      Kachukue mtonyo wako kilauz mzee wmbo wko wa funguo imekuwa jingo kule..nenda mzee usichukulie powa c fans wako ndo tunao jickia vbayaa..wamewatumia vya kutoshaa

  • @samdojr
    @samdojr 5 ปีที่แล้ว +4

    2019 Nyoosha Mukono Ako Juu

  • @jelasnkoma4240
    @jelasnkoma4240 4 ปีที่แล้ว +3

    min 1:51 MrEboo R.I.P.......Listen 2020

  • @Citymedia25
    @Citymedia25 5 ปีที่แล้ว +4

    Ngonga like 2019 kama tupo pamojaaa

  • @bongomusicoldskull1186
    @bongomusicoldskull1186 5 ปีที่แล้ว +2

    Tuna miss hizi nyimbo jamani 😍

  • @mpandaboy2279
    @mpandaboy2279 3 ปีที่แล้ว +5

    R. I. P bro.... No 1 Fan from Tz❤🇹🇿

  • @bienvenukichambaomar5067
    @bienvenukichambaomar5067 10 หลายเดือนก่อน +2

    2024 🇨🇩

  • @josephnerkisura4169
    @josephnerkisura4169 6 ปีที่แล้ว +4

    My favourite song funguo

  • @ibrahimkeya8215
    @ibrahimkeya8215 5 ปีที่แล้ว +5

    2019... kam unaisikiliza gonga like

  • @kingjaymal3349
    @kingjaymal3349 2 ปีที่แล้ว +3

    Its 2022 and I’m still in love with this song

  • @abdallapeter7038
    @abdallapeter7038 5 ปีที่แล้ว +3

    Richie longomba uko sawa nakupenda mimi ni shabiki yako sana Iloooooooooove this song funguo

  • @finianmwamba639
    @finianmwamba639 6 ปีที่แล้ว +9

    It was a lovely song.. damn it..it is still a lovely song..2018

  • @johnsonJuly
    @johnsonJuly 4 ปีที่แล้ว +1

    nilikua na miaka 10 now 26 ila bado naikubali sana hii

  • @yusufumiraji7778
    @yusufumiraji7778 5 ปีที่แล้ว +1

    Wangapi tumekuja hapa baada ya kuskia matangazo ya clouds fm

  • @isackisack1256
    @isackisack1256 6 ปีที่แล้ว +6

    Wangapi wamekuja hapa baada ya kuisikia jingle promo ya clouds 😁😁?

  • @nicoloausjohn3871
    @nicoloausjohn3871 5 ปีที่แล้ว +6

    2020 and the song is still on 🔥 🔥

  • @peterosborn2111
    @peterosborn2111 5 ปีที่แล้ว +1

    Wangap tupo hapa 2019 mwez wa 8

  • @m.danthanarayana5226
    @m.danthanarayana5226 5 ปีที่แล้ว +7

    Loved the tune ... Nostalgia ... BTW Richie, did u get your keys .. au ulilala nje ?? 😂

  • @immah_deo19
    @immah_deo19 ปีที่แล้ว +1

    2023 🔥💗

  • @petersimon2115
    @petersimon2115 3 ปีที่แล้ว +2

    Rest in peace Brother

  • @Tpolloco
    @Tpolloco 5 ปีที่แล้ว +4

    I was 10 when this song came out n am 26 now ,but i still rock with it, Hii ngoma ni timeless, so much memories

    • @SonOfGoodMusic
      @SonOfGoodMusic  5 ปีที่แล้ว

      Asante,kwa support yako Martin.

    • @Tpolloco
      @Tpolloco 5 ปีที่แล้ว

      @@SonOfGoodMusic Pamoja bro

  • @holylove8017
    @holylove8017 4 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😍😍😍2021 and i still love it

  • @SonOfGoodMusic
    @SonOfGoodMusic  3 ปีที่แล้ว +2

    ❤️

  • @raphaelgadau2783
    @raphaelgadau2783 5 ปีที่แล้ว +6

    2019

  • @mossesjonathan5766
    @mossesjonathan5766 5 ปีที่แล้ว +3

    Hivi jamaa ck hz yuko wapi pamoja na lile kundi lao

    • @SonOfGoodMusic
      @SonOfGoodMusic  5 ปีที่แล้ว +2

      niko Dar Salaam,TZ

    • @m.danthanarayana5226
      @m.danthanarayana5226 5 ปีที่แล้ว

      @@SonOfGoodMusic cool .. u shud make more songs like this .. 💃

  • @rudeboyjames5249
    @rudeboyjames5249 5 ปีที่แล้ว +1

    I still love the song 2019 I wish I could see you performing Funguo again

  • @deadcrush
    @deadcrush 4 ปีที่แล้ว +1

    2020...! Safi sana..

  • @robartifabiani
    @robartifabiani ปีที่แล้ว +1

    2023

  • @augustinoktito8803
    @augustinoktito8803 5 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 3 ปีที่แล้ว +1

    Rip christian

  • @elardmadeez3382
    @elardmadeez3382 5 ปีที่แล้ว +1

    2019 baada ya kuskia kitu kipya kutoka kwa fid q ft rosa ree #koras

  • @KulwaDaud-vc5tp
    @KulwaDaud-vc5tp ปีที่แล้ว +1

    R l p 😂

  • @Inviolatai
    @Inviolatai 4 ปีที่แล้ว +1

    2020?

  • @lupandesimukindje8170
    @lupandesimukindje8170 2 ปีที่แล้ว +1

    October 2022 nani mwengine bado tunaangalia huu wimbo

  • @atifurajabu3705
    @atifurajabu3705 2 ปีที่แล้ว +1

    18 JUNE 2022.

  • @liliantanya8574
    @liliantanya8574 3 ปีที่แล้ว +1

    2021. Hit like!

  • @nassororamadhan2515
    @nassororamadhan2515 2 ปีที่แล้ว +1

    2022

  • @ashiqrahman6811
    @ashiqrahman6811 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😍😍😍

  • @didacemweze8840
    @didacemweze8840 3 ปีที่แล้ว +1

    2021

  • @Citymedia25
    @Citymedia25 4 ปีที่แล้ว +1

    2020

  • @markusruhl6073
    @markusruhl6073 3 ปีที่แล้ว +2

    Willy Mtuva interview with Richie Longomba brought me here

  • @levansmaweu2016.
    @levansmaweu2016. 2 ปีที่แล้ว +1

    2022

  • @ndeankaulomi4912
    @ndeankaulomi4912 2 ปีที่แล้ว

    2022