Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
Isa hakufa msalabani, lakini Yesu ambaye ndiye ufufuo na uzima yeye mwenyewe alithibitisha mbele ya Thomasi kuwa alikufa msalabani!!(Luk.24:25-27;44--46)
kwa Wakristo Mungu ni mmoja lakini hujidhihirisha kama Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Mfano karibu na huu ni kama vile mvuke(vapour), barafu(ice) na hata unyevunyevu(liquid) yote ni maji hata yaweza kuwa kitu kimoja Ile wanasayansi wanaita "TRIPLE point of water". Msalabani Yesu (Mwana) alimuomba Mungu Baba. Kwani kunashida ipi?. Wewe nijibu kuhusu Mohammed kubusu jiwe jeusi na kumnajisi Binti wa miaka 9 tu
Sasa nashangaa makafiri wanasema anawadanganya uyo padre wako anachemka akikutana na Mazinge yote anaongea kweli aya siku ya uzinifu pasaka vyote kaongea kweli
If you see Muslims attacking Paul it's because when you try to bring Muhammad after Jesus it doesn't add up.when you try to say that Jesus promised that he would send a helper, Paul comes before Mohamed but they want Mohamed to be after immediately after Jesus.(even though the helper is holy spirit)
Matendo Ya Mitume 26:9-11 Neno: Bibilia Takatifu (SNT) 9 Mimi mwenyewe nilikuwa nimeamini kabisa kwamba sina budi kufanya kila niwezalo kupinga jina la Yesu wa Nazareti. 10 Nami ndivyo nilivyofanya kule Yerusalemu. Nilipewa mamlaka na makuhani wakuu, nikawatia kifungoni watakatifu wengi na walipokuwa wakihu kumiwa kuuawa mimi nilipiga kura kuunga mkono hukumu hiyo. 11 Pia niliwaadhibu mara nyingi katika masinagogi nikajaribu kuwalazimisha wakane imani yao. Nilikuwa nimejawa na ghadhabu juu yao nikawafuatilia na kuwatesa hata katika miji ya mbali. Huyo ndio Paulo
Wewe mazinge vipi Biblia kisiwe kitabu cha Mungu baadae muhammadi akapatikana ndani yake???huo sii uongo mtupu.oooh uisilamu ndani ya Biblia mmerogwa na kununuliwa kimbia kifo uamini YESU KRISTO akupe uzima.
@@rahmaahmed5759 wanamacho lkn hawaoni, wanamasikio lkn hawasikii.. Ujumbe umeingia mahala pake, ndo ukaona povu LA makafiri linawatoka na mitusi.. Mazinge anatoa maandiko kwenye tabu lenu na bado mnapinga, kwa nn?? Kwasababu hayo yote anayoyasema yote yanatoka ndani ya bible, tatizo nyinyi hamuisomi litabu lenu, mkienda kanisani mnangojea mchungaji awaambie fungueni page fulani, anawasomea na ndio basi, hadi jumapili ijayo tena.. Kila kitu anachosema sheikh mnapinga kwasababu hamjawahi kusomewa wala kusoma, na ukiuliza swali unaambiwa unampinga mchungaji... Hamjiulizi kwa nn headquarters ya ukiristo upo Vatican na wala haupo yesu alipozaliwa.. Zindukeni makafiri, ukiristo ni shida, biashara tu na ndo maana yesu akasema watu wake wamepotea kwa kukosa maarifa.. Na wachungaji wao ni mbwa, ndo wanawapoteza..
Dini yenu nyinyi wakristo( makafiri) ni ya kutengeneza na kuunga unga, hakuna kitabu chochote ulimwenguni kinachothibitisha kuwa ukristo ni dini lakini ndani ya Qur'an inathibitisha kuwa " hakika dini ya haki mbele ya Allah n Uislam
hakuna muitaliano mweusi,Paul alikuwa mweus ka Yesu alivyokuwa,Musa alivyokuwa,haroun,na waisrael wote ndivyo walivyokuwa,hata ka kulikuwa na weupe,ni ka ss ,unakuwa wekundu ila DNA ni blacks coz Jacob n Abraham ,isack ,Ishmael were blacks too ,alikkuwa myahid wa kabila ya benjamini na siyo muitaliano,pili Yesu hajawah kuitwa issa ,uislam unanuka kwa udanganyifu ,anaitwa Yahshua kiebrania lugha ya wayahud,yasuhe kiarab,yesu kiswahl,hii ni mothertongue problems,maana yak Mungu uokovu wetu,uislam hauna evidance yeyote kihistoria leo hii unatoa stor za wayahud wakat wa Yesu!no labda hicho kibwengo chenu issa,acha uongo wew mzee,ukiendelea utakufa bila ulimi,na hii text yangu ikumbukwe
Usiseme kitu ambacho huna ujuzi nacho, neno YESUHE haliwezi kuingia ktk maandish ya kiarabu, acha kibri na chuki, tafuta ukweli utaupata na wisho wa siku utajuwa kuwa hakika uislam ndio dini ya haki.
Katka dini yetu ya haki uislamu , muislam yeyote anayewatumikia majini na sheitani huyo ni mshirikina na Allah anasema katika kitabu kitukufu kuwa hakika washirika wataingia katika moto. Tatzo wewe hutaki kusoma ndo maana unaongozwa na hisia wala sio maandiko.
Matendo Ya Mitume 26:9-11 Neno: Bibilia Takatifu (SNT) 9 Mimi mwenyewe nilikuwa nimeamini kabisa kwamba sina budi kufanya kila niwezalo kupinga jina la Yesu wa Nazareti. 10 Nami ndivyo nilivyofanya kule Yerusalemu. Nilipewa mamlaka na makuhani wakuu, nikawatia kifungoni watakatifu wengi na walipokuwa wakihu kumiwa kuuawa mimi nilipiga kura kuunga mkono hukumu hiyo.11 Pia niliwaadhibu mara nyingi katika masinagogi nikajaribu kuwalazimisha wakane imani yao. Nilikuwa nimejawa na ghadhabu juu yao nikawafuatilia na kuwatesa hata katika miji ya mbali.

@@jumajaffary9698 hongera sana allah akuzidishie maarifa maana ulivo mjibu huyu kafiri umemjibu kiufundi sana yaani kakosa hata lakujibu nakama akuslim basi kapigwa muhuri wamotoni
Yaa Allah atuajalie tuwe na mwisho mwema inshaallah mwenyez akuajalie maisha marefu uzidi kuitukuza dini yake
Maa sha Allah shekh mazinge Allah akuongoze ktk kheri pamoja na cc pia
Aslmalkm ndngu waislam ??? Haki sheikh Mazinge InshaAllah Allah hakueke uzidi kutuelimisha
Allahu Akbar. She Mazinge Allah wakupe Afya njema na maisha mazuri.Ili uwape makafiri UKWELI.
Allhamdulillahi,natamani siku moja niwe mwanafunzi wa Habib Mazinge ili nifanye kazi kwa ajiri ya Allah!!
Masha Allah Shekhe Mazinge Allah akuweke miaka mingi hakika waitendea haki dini yetu Allah atujaalie elimu na Nia kusudi la kutangaza Dini
You are notable person in Islam, Jazaakallahu khayran
Allah akufanyie wepesi sheikh wangu
aslmalkm ndugu waislam??? Jazzakahallahu khayram,
Ustadh Mazinge Mwenyezi Mungu akulinde na azidi kukujaalia Uhai ili uendelee kuitetea Dini ya haki Dini ya Mwenyezi Mungu Islam...
Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
Nakupenda sana mazinge
Masha Allah mungu akuzdishie umri mlefu sheikh mazinge
mashallah Shiek mazinge mungu akuzidishie in shall Allah
mazing mungu akusaidie sana
adan haron mashallah
mungu akubariki sana mazing insha allah
Masha Allah Mungu akupe wepesi shekhe watu
Penda sana shekhe maxinge from dubai
Nakupenda shekhe Othman Mazinge, Allah akulipe kher inshallah na akulipe Jannah inshallah 🙏
Mashallah mungu akupe maishaalef shekh mazinge
Mungu ampe maisha uyu mpumbavu kafiri mkubwa uyu
Steven Titus ee mungu ampe maixha marefu inxhaallah
mashaa ALLAH kila kitu kiko wazi makafiri wanabisha tu
Professor Professional
Sichoki kutazama clip za Mazinge he's one of my inspiration in da 'wa
Isa hakufa msalabani, lakini Yesu ambaye ndiye ufufuo na uzima yeye mwenyewe alithibitisha mbele ya Thomasi kuwa alikufa msalabani!!(Luk.24:25-27;44--46)
Luk hakuelewa kilichotokea
Maixh bila yes ni xawa na Dela bila mtandio
Mashaa Allah Shekhe Mazinge tunakuelewa kwa ufafanuzi wako
kwa Wakristo Mungu ni mmoja lakini hujidhihirisha kama Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Mfano karibu na huu ni kama vile mvuke(vapour), barafu(ice) na hata unyevunyevu(liquid) yote ni maji hata yaweza kuwa kitu kimoja Ile wanasayansi wanaita "TRIPLE point of water". Msalabani Yesu (Mwana) alimuomba Mungu Baba. Kwani kunashida ipi?. Wewe nijibu kuhusu Mohammed kubusu jiwe jeusi na kumnajisi Binti wa miaka 9 tu
Mashallah mungu awabaliki san inshallah
MaashaaAllah Allah akujalie
Mungu akupe afia ameen thuma ameen
Anaitwa ustadh mazinge mzee wa shortcut
Napenda saaana Sheikh Mazinge
Nakuombea mqzinge mng akupe umri mref
Maashaallah professional mazinge
Yani ww mazinge mungu akuweke adi uzeeni inshara
Sasa nashangaa makafiri wanasema anawadanganya uyo padre wako anachemka akikutana na Mazinge yote anaongea kweli aya siku ya uzinifu pasaka vyote kaongea kweli
Mshaalllah
MashaAllah
Allahu akbar
Wakristo POV la nn sasa leten ukweli kam anadangany
Wewe ni wakala wa shetan yaan Allah subhana wataala
MashaAllah,
mashaAllah
If you see Muslims attacking Paul it's because when you try to bring Muhammad after Jesus it doesn't add up.when you try to say that Jesus promised that he would send a helper, Paul comes before Mohamed but they want Mohamed to be after immediately after Jesus.(even though the helper is holy spirit)
Kwa yeyote mwenye namba ya Ustadh Mazinge naomba anitumie tafadhari...
Tatizo wakristo wanadanganywa mpaka wanakufa na motoni wanaingia
ماشاءالله
alhamdu Lilah alah aulinde uislamu
mashallah
Mashehe pongezi inshallah
aslmalkm ndugu waislam?? Allah Akbar' Allah Akbar' Allah' Akbar!!!......
MashaAllah jadha ka Allah kheir
Jamaa anawadanganya wenzake nila woga na mchana kweupe
Mashalla
Biblia sio kitabu cha Mungu mfano Injili zaburi taurati na Quran unajua kapewa nabii fulani aya Biblia kapewa nani utopata jibu mpaka unaenda jikoni
Ee YESU. Waokoe hawa waislaam kwakua awajui walitendalo
Jibu swali Acha janja janja mazinge huu ni msiba
Uongo za mazinge !!!!dahh!!!
Umeonae
Ila ili jamaaa liongo 😂😂😂😂😂😂 Bible ingekua inatafasiliwa hivi, huu tunaita msiba
Hapa kama Oman
Waislam njooni Kwa yesu kama mazinge ndo anawadanganyaga hivi akili zake ndogo
Hapa ni wapi ?
abdishakur ahmed oman
Wafuasi wa marehemu Muhammad na waona mnavyojitekenya na kucheka wenyewe
Ata uyo yesu pia marehem nyie amuchekagi kanisani bc wafuasi wa yesu wt mabubu
@@rehemahamisi9971 😁😁😁😁😁😁😁😁😁 Haoo ngoja siku ya kiama wakigeuzwa kuwa Chups za jahannama
Ningekuwa nakuona police ingeniusu
oman
Mazinge kiboko
mashaallah
Akaasha tuekee CD ya mafundisho ya wanawake tafadhali kwa hidhini llah
Masha Allah sheikh jazaaka Allahv kheiran
Wana wauongo shetani.
Nyinyi bakieni tu kudanganya watu makanisani kuwaapa pesa sababu mwatafuta biashara poleni Sana.
Kawafanya waarabu wooote wenye Dini kua bwege ajabu sana.
Hi ni ujinga sana.sasa kati ya Paulo na Mohamed nani alikuja kwanza?
Matendo Ya Mitume 26:9-11 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
9 Mimi mwenyewe nilikuwa nimeamini kabisa kwamba sina budi kufanya kila niwezalo kupinga jina la Yesu wa Nazareti. 10 Nami ndivyo nilivyofanya kule Yerusalemu. Nilipewa mamlaka na makuhani wakuu, nikawatia kifungoni watakatifu wengi na walipokuwa wakihu kumiwa kuuawa mimi nilipiga kura kuunga mkono hukumu hiyo. 11 Pia niliwaadhibu mara nyingi katika masinagogi nikajaribu kuwalazimisha wakane imani yao. Nilikuwa nimejawa na ghadhabu juu yao nikawafuatilia na kuwatesa hata katika miji ya mbali. Huyo ndio Paulo
Wewe ndo mjinga wakwanza sababu unajua tu kua Paulo alikuja Kwanza but hujui historia yake.
Mazinge ukovizuri
Ni dextuli za kiloma
Mashallah
Wewe mazinge vipi Biblia kisiwe kitabu cha Mungu baadae muhammadi akapatikana ndani yake???huo sii uongo mtupu.oooh uisilamu ndani ya Biblia mmerogwa na kununuliwa kimbia kifo uamini YESU KRISTO akupe uzima.
Tatizo bibilia mumekoti baadhi ya maneno ya injili mchenganya na maneno yenu
Wewe Yesu Ni mtume wa Allah sio mungu.
@@rahmaahmed5759 wanamacho lkn hawaoni, wanamasikio lkn hawasikii.. Ujumbe umeingia mahala pake, ndo ukaona povu LA makafiri linawatoka na mitusi.. Mazinge anatoa maandiko kwenye tabu lenu na bado mnapinga, kwa nn?? Kwasababu hayo yote anayoyasema yote yanatoka ndani ya bible, tatizo nyinyi hamuisomi litabu lenu, mkienda kanisani mnangojea mchungaji awaambie fungueni page fulani, anawasomea na ndio basi, hadi jumapili ijayo tena.. Kila kitu anachosema sheikh mnapinga kwasababu hamjawahi kusomewa wala kusoma, na ukiuliza swali unaambiwa unampinga mchungaji...
Hamjiulizi kwa nn headquarters ya ukiristo upo Vatican na wala haupo yesu alipozaliwa..
Zindukeni makafiri, ukiristo ni shida, biashara tu na ndo maana yesu akasema watu wake wamepotea kwa kukosa maarifa.. Na wachungaji wao ni mbwa, ndo wanawapoteza..
@@popod177 YESU akuponye week dada
Hawa watu wote wanadanganywa na wanasikiza tu pumbavu kweli
We mjinga Kweli we ni mkristo hamna lolote
@@brightonwashira5420 na ww ni muislamu wa kupulizwa matako na shetani msikitini
Wewe dini huna unaongea pumba tafuta kwaza dini
Sawa kafir mkuu
Dini yenu nyinyi wakristo( makafiri) ni ya kutengeneza na kuunga unga, hakuna kitabu chochote ulimwenguni kinachothibitisha kuwa ukristo ni dini lakini ndani ya Qur'an inathibitisha kuwa " hakika dini ya haki mbele ya Allah n Uislam
Nenda huko wewe unayefuata upagani
😀😀
hakuna muitaliano mweusi,Paul alikuwa mweus ka Yesu alivyokuwa,Musa alivyokuwa,haroun,na waisrael wote ndivyo walivyokuwa,hata ka kulikuwa na weupe,ni ka ss ,unakuwa wekundu ila DNA ni blacks coz Jacob n Abraham ,isack ,Ishmael were blacks too ,alikkuwa myahid wa kabila ya benjamini na siyo muitaliano,pili Yesu hajawah kuitwa issa ,uislam unanuka kwa udanganyifu ,anaitwa Yahshua kiebrania lugha ya wayahud,yasuhe kiarab,yesu kiswahl,hii ni mothertongue problems,maana yak Mungu uokovu wetu,uislam hauna evidance yeyote kihistoria leo hii unatoa stor za wayahud wakat wa Yesu!no labda hicho kibwengo chenu issa,acha uongo wew mzee,ukiendelea utakufa bila ulimi,na hii text yangu ikumbukwe
Usiseme kitu ambacho huna ujuzi nacho, neno YESUHE haliwezi kuingia ktk maandish ya kiarabu, acha kibri na chuki, tafuta ukweli utaupata na wisho wa siku utajuwa kuwa hakika uislam ndio dini ya haki.
Yaani wakiristo wote hawana akili yaani ivi mungu anazaliwa ? yaani ukweli hawasemi wanadanganyana makanisani
Hii mtu amerongwa shetani anamtumia na mijini
Eleza ukweli wako bac
@@licacpeter3748 ukweli ni kuwa waslamu wanatumikia majini na shetani so ni ndugu wa shetani kiimani
@@Julia-gm1wh acha ubweg ww ww ndo ndug yak na sheitwan
Katka dini yetu ya haki uislamu , muislam yeyote anayewatumikia majini na sheitani huyo ni mshirikina na Allah anasema katika kitabu kitukufu kuwa hakika washirika wataingia katika moto. Tatzo wewe hutaki kusoma ndo maana unaongozwa na hisia wala sio maandiko.
@@omaralbattashi1187 Joseph kalume huyu Akili zake hazipo sawa kabisa
Huyu kachanganyikiwa.sijui kahongwa? kala maharagwe mengi na chapati???vipi wewe kwa uongo huo YESU MFALME akusamehe.
Hawa watu hawana kitu Cha kusema.kwami hii imani inahitaji kutetewa jamani?
Matendo Ya Mitume 26:9-11 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
9 Mimi mwenyewe nilikuwa nimeamini kabisa kwamba sina budi kufanya kila niwezalo kupinga jina la Yesu wa Nazareti. 10 Nami ndivyo nilivyofanya kule Yerusalemu. Nilipewa mamlaka na makuhani wakuu, nikawatia kifungoni watakatifu wengi na walipokuwa wakihu kumiwa kuuawa mimi nilipiga kura kuunga mkono hukumu hiyo.11 Pia niliwaadhibu mara nyingi katika masinagogi nikajaribu kuwalazimisha wakane imani yao. Nilikuwa nimejawa na ghadhabu juu yao nikawafuatilia na kuwatesa hata katika miji ya mbali.
Hakuna isa kwenye mathayo muongo wewe,unafundisha vipofu wenzako
Huyu mtu anapoteza watu yaani uongo wazi kabisa wa wazi
Allah akuzidishie
Weee unasema ukweli we baki na ukafiri wako
Wewe lete aya zako uliohifadhi nikiuuliza kwanini nyinyi mnasoma kwa kitabu mbona hamuhifadhi Kama waislamu kazi yenu Ni wivu tuuu poleni sana
Unatesekaaaaaa
@@najmamakame9881 utaangaikasana namotoni utakwenda usiposilim we kafiri mkubwa weeee Kaz unayo
Hujui kutafsir biblia wewe kaziyako kiarabu 2 na mwajua waarabu walivyo watesa wazee wenu leoii mmeshaa saau alafu awoawo wawaletee dini Kuna Nini apo makafir wakubwa nyinyi wamjua kafiri wewe wakati nyinyi ndomakafir
Matendo Ya Mitume 26:9-11 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
9 Mimi mwenyewe nilikuwa nimeamini kabisa kwamba sina budi kufanya kila niwezalo kupinga jina la Yesu wa Nazareti. 10 Nami ndivyo nilivyofanya kule Yerusalemu. Nilipewa mamlaka na makuhani wakuu, nikawatia kifungoni watakatifu wengi na walipokuwa wakihu kumiwa kuuawa mimi nilipiga kura kuunga mkono hukumu hiyo.11 Pia niliwaadhibu mara nyingi katika masinagogi nikajaribu kuwalazimisha wakane imani yao. Nilikuwa nimejawa na ghadhabu juu yao nikawafuatilia na kuwatesa hata katika miji ya mbali.
@@jumajaffary9698 hongera sana allah akuzidishie maarifa maana ulivo mjibu huyu kafiri umemjibu kiufundi sana yaani kakosa hata lakujibu nakama akuslim basi kapigwa muhuri wamotoni
Si waona ndo nyinyi musiependa waraabu kwa ujinga wenu
Wewe kafir mkubwa wewe hakuna jehad yaivyo maulamaa wengi mnanjaa kubwa Sana kafir niwewe msinda wewe
Mashallah
MashaAllah
Mashaallah