A-Z Kilimo Cha Migomba //Kuandaa Shamba Hadi Kupanda

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • KABLA HUJAANZA KILIMO CHA MIGOMBA SHARTI UTAZAME VIDEO HII ILI KUJIFUNZA KANUNI MUHIMU ZA KUZINGATIA.
    UNAWEZA PIA KUAGIZA KITABU CHA KILIMO CHA MIGOMBA KWA WHATSAPP AMBACHO UTATUMIWA NA KUUNGANISHWA KWENYE GROUP YA WHATSAPP BURE.
    Kwa Mawasiliano zaidi WhatsApp:0757 757 968
    #ajefarms #mashambayanayotyembea #farming #smartagriculture #travel #kilimobiashara #masoko #marketsurvey #markets #tanzania #biashara #migomba #kenya #rwandatravel #burundi
    #AJEFARMS
    #MASHAMBAYANAYOTEMBEA
    #Migomba
    #Kilimobiashara

ความคิดเห็น • 22

  • @KijuchaFokanya
    @KijuchaFokanya 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana elimu hii iendelee

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  3 หลายเดือนก่อน

      Karibu sana AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.
      Tafadhali SUBSCRIBE na share video hii ili tuweze kuwafikia watu wengi zaidi.Tutaendelea kuweka videos nyingi zaidi kutoka mashambani.

  • @danielmkanganda5054
    @danielmkanganda5054 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipenda hii

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  5 หลายเดือนก่อน

      Karibu na tafadhali SUBSCRIBE ili kuendelea kujifunza zaidi juu ya kilimo cha MIGOMBA. Pia unaweza kuagiza kitabu cha KILIMO CHA MIGOMBA kwa TZS 3,000 ambayo utatumiwa kwa WhatsApp na kuunganishwa kwenye group ya WhatsApp BURE.

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  5 หลายเดือนก่อน

      Kuagiza kitabu wasiliana nasi:0757757968

  • @MariaMwiki
    @MariaMwiki 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo mwanza

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  2 หลายเดือนก่อน

      Tafadhali WhatsApp:0757757968 ututumie video fupi au picha ya migomba yako.
      Subscribe KWANZA ili kuendelea kujifunza zaidi

  • @MariaMwiki
    @MariaMwiki 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna migkmba ina tatizo la majani kukauka na matunda yake kuwa na madoa meuso

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  2 หลายเดือนก่อน

      Kuna uwezekano kuwa migomba yako imepata ugonjwa wa SIGATOKA. Inafaa kufika shambani kwako pengine kujionea uhalisia. Unaweza pia kututumia video au picha kwa WhatsApp:0757757968 .
      Hakikisha unaSUBSCRIBE kwanza ili kuendelea kujifunza zaidi.

  • @Innocente1994
    @Innocente1994 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii miche ya ikikua ikatoa machipukizi, hayo machipukizi yanaweza kupandwa tena au mpaka kununua miche mingine tena?

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  2 หลายเดือนก่อน

      Machipukizi yakikua yanavunwa kwa utaratibu maalum si kila chipukizi linafaa kupandwa ; kuna baadhi ni water suckers. Ni muhimu sana kuzingatia hatua za kudhibiti magonjwa ya miche inayozalishwa kwa machipukizi kwani huleta hasara kubwa kwa wakulima magonjwa yasipothibitiwa katika hatua za uzalishaji wa miche. Machipukizi sharti yazalishwe kwenye shamba mama (mother garden) yenye kufuata kanuni na taratibu zote za kukinga na kudhibiti magonjwa shambani.
      Tafadhali SUSBCRIBE hapa kuendelea kujifunza zaidi juu ya kilimo na ufugaji.
      Unaweza pia kuagiza kitabu cha KILIMO CHA MIGOMBA kwa WhatsApp:0757757968
      AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA

  • @selemanisalimu8377
    @selemanisalimu8377 ปีที่แล้ว +1

    Mm nipo tanga muheza nimeipenda sana aidi yunu ila tu naomba nianze na mbegu ya kawaida ili kupata mtaji jamani

  • @ematenbusinesssolution9949
    @ematenbusinesssolution9949 ปีที่แล้ว +1

    Nipo dodoma naomba namba zenu na mbegu ya migomba ya heka moja bei gani

  • @norbertmassawe6401
    @norbertmassawe6401 2 ปีที่แล้ว +1

    kazi nzuri