Dada we ni fundi, miye ni mpishi mzuri sana ila kwenye manda za sambusa bado ni kama nabahatisha leo zinakubali kesho zinanigomea kukunjuka naishia kupika kaukau😅
Hongera sana napenda vedio zako najifunza mapishi mengi sana n naelewa vizur sana ila kama hutojali naomba uweke vedio y jinsi y kutengeneza mayonise nyumban n jinsi y kutengenesa cream sauce ile inayowekwa kwenye pasta n jins y kupika mboga z majani zenye cream chees natumai ombi langu utalijibu kwa wakati
If you would like to watch this video in English press the link ➡️th-cam.com/video/rxkMU9e_2eE/w-d-xo.html
Yusuf
Mashaallah my ruu
Shukran my
Mash Allah bi Rukia, uko vzur sana.
Thank you lovee......mimi nateseka ikifika wakati wakufunga sambusa
Mashaallah nimeipendaa na nitajaribuu
Mashallah nzuri na umeifanya iwe rahisi mno good job
Masha Allah ❤❤❤
Ahsante
Mashaaaallah hongera mwaya nmependa
MashaaAllah bibie mungu akuongoze ktk kipaji chako nakupenda na napenda video zako uko faster 🥰
Kazi safi Ruks
Ivi kwa mfano nikitengeneza izi manda kwa mfano leo arafu kesho nikazifunga zitakuwa zitashikana au
Wow, idea nzuri ya kutoa baada ya kuzikata . Thnx dear
Yes its easier 👌🏻👌🏻
Napenda sana mapishi yako da.
Nice thanks I got something be blessed
Asante kwakutufundisha sisitusojuakupika
Mashaallah Rukia, nakupenda sana
I have learnt alot from you dear....leo nmepika katlesi....shkrun Allah akuzidishie
Nafurahia sana ❤️
Ila jana nilipika kebab ila kama zko raw zilikua abit big bt nilipozi fry zika shrink mbna hvyo
MashaAllah habity
Rukia ubarikiwe,💖 Samosa inaonekana Tamu😋😋😋😋😋😋
Nice madam nimependa sana
Me ndomn nakupendag
Hasante Sana my dear be blessed sijuwi nisemej kabxa ♥️♥️😍😍👌🏻👌🏻
Asante sana naomba kuuliza, je manda zikibaki vipi naweza kuhifadhi niweze kutumia baadae na bado zikawa fresh? Natanguliza shukran.
Weka kwenye zipperbags uweke kwa freezer..
Hello Rukia moto wa oven ulikua kias gan na kwa muda gani?!
Nzur
Mie napenda za home made ila mvivu 😆😋 zimetoka vizuri mashaallah
Naic mashallah
Mashallah habibty jazzaka Allah khayra
Unatumia moto mkali au wastani wakati ka kuzikaanga??
Asante..
Unga iliyotumika ni sawa na kilo ngapi?
Iyo ya kupakia unapikaje
Why do you add oil wakati unaanza kukanda?
Dada we ni fundi, miye ni mpishi mzuri sana ila kwenye manda za sambusa bado ni kama nabahatisha leo zinakubali kesho zinanigomea kukunjuka naishia kupika kaukau😅
Asanteee😋😋😋
mashallah
Hongera sana napenda vedio zako najifunza mapishi mengi sana n naelewa vizur sana ila kama hutojali naomba uweke vedio y jinsi y kutengeneza mayonise nyumban n jinsi y kutengenesa cream sauce ile inayowekwa kwenye pasta n jins y kupika mboga z majani zenye cream chees natumai ombi langu utalijibu kwa wakati
Mashallah
Nazis kujfunza nam, ubarkiw san
Thanks alot
Nilikuw nahitaj namb yak ya whatsap ilituwasiliane vzr kuhus mapishi
VIP kuhusu sambusa za Mchele 🤷♀️
Shukran habibty ♥️...ilkua nauliza Manda zikibakia nazihifadhi vp ili niweze kuzitumia siku nyengine?
Ndio weka katika container kisha weka katika freezer
@@RukiaLaltia shukran Sana dear
🙏🏼
Thanx
❤❤
Da rukia nashukuru mume wng anapenda saaana juice ya tende kwa mara ya kwanza nimemtengenezea kwa mikono yng asanteee saana love
Hey samhn habr yako
Naeza paka mafuta ili isigande mikononi
Yes
Hauhitaji unga wa Michele?au Ngano peke yake inatosha
😘♥️
Vuge vuge means. Mrs🇰🇪🇰🇪
Warm water
@@RukiaLaltia thanks 💖
Ukimaliza kuzitawanya unaweza weka kwa jokofu
Recho Recho ndio unaweza
👂🙏😘
Asant san
Sory sjaelew manda iyo unatengeneza aje
Ufungaj huo n ugumu...daah
😂😂😂mm naona rahisi sanaa zengne naoma ngumu
@@RukiaLaltia mi napnda kukata pale kwny duara pande 4....Lakn manda ndefu hz cZiwez
.
❤❤
Mashallah