NINACHUKUA FURSA HII KUMSHKRU MWENYENZI MUNGU KWA UMBALI HUU AMENILETA🙌 MAMANGU MZAZI FENNY KERUBO NAKUSHUKRU SANA KWA KUNISHIKILIA NAKUNILIEA KATIKA HUDUMA HII YA UIMBAJI NINAPOENDELEA NAKUTAMBAA MUNGU AKUINUA 100TIMES ❤❤❤❤❤. BILA KUMSAHAU MAMANGU SIMBA WA KIKE MAMA ROSE MUHANDO KWA KUNISHIKA MKONO NINGALI NATAMBAA🤝.HAUKUANGALIA UDOGO WANGU BALI ULIONA MBEGU ILIYO NDANI YANGU NAWE UKAAMUA KUINYUNYISHIA MAJI HILI IKAWEZE🙏 KUMEA NAKUOMBEA MAISHA MAREFU MAMA NA HUDUMA YAKO IENDA KWA VIWANGO VYA JUU ZAIDI🙌🙌🫂. 🙏ASANTE SANA MAMA ZANGU NINAJUA NIKIWA KATIKATI YENU NITAPAA JUU ZAIDI KAMA TAI ,MUNGU ALIYE MBINGU NA AWABARIKI SANA🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌.
Please God let Angel explode in her ministry , she's relevant and decent in her calling the world shall testify 🙏🙏 shetani aachilie nyota zetu tungae in Jesus mighty name
Hakika mambo yametamalaki..!!!! Tunatangaza ...wachawi wasikie..kuzimu isikie...shetani atetemeke...apolioni na jeshi lake lazima waachie NYOTA YANGU Mie....kwa Jina la Yesu napokea urenjesho wangu mie....this is what we call spiritual warfare....Mam Rose Muhando..mama Fenny Kerubo...na mwana eee Angel...barikiweni sana ...I can feel in the Spirit ream ...🔥🔥🔥🔥
Have never commented in any mucisian but this has touched me indeed it's more than powerful 💥🔥💥🔥🔥💥 🙏 nimependa tena sana hope satan who is holding my blessings has heard this in Jesus Mighty Name 🙏
Wow hii nayo n kali sana mama yao c aki mungu akubariki na akueke hai miaka mingi ❤Rose muhando pia mungu amuinue saidi asiwai kosa ❤Angel pia usirudi nyuma chukka nafsi ya mamako sasa I love you sana naona ukienda mbali sana mungu akuinue sana
This girl is blessed ❤nakupenda daughter though sikujui but nyimbo zako ni za baraka....your caurage is on another level ...shine shine....goo goo you have no limit girl....nasikia tu kuendelea kutype🎉🎉🎉🎉🎉
Nakwambia daughters of fenny k. Anatesa Sana mziki wako apo mwanzo hakuwa Namna hii wee ogopa wewe shetani Na uwachilie Nyota zetu. .. alaaaaa asheeee.... Napenda unavyo fanya kazi nzuri 🎉🎉🎉❤❤
Katoto karembo ka Yesu...shine shine shine althrough your life baby gal...God loves you..shikilia Yesu kabisa...Rose and fenny God bless your job....we are being blessed.
Hop shetan Mahali ako tayari ame hukuwa wamzi wa kuniachilia maana imetosha kwa mda aliolewa kaa na nyota yangu huu mwaka lazima aachilie kwa jina la YESU CHRISTO AMEN
Hee!!!,ni lasima waajilie nyota zangu, sio ati nateseka mtu akienjoy my life,haiwesekani, ni lazima wawajilie nyota zangu na za watoto wangu, by power by fire.
Great women of God ministering in on another level 😊😊 by fire by force achilia kwa jina la Yesu wow wow wow moto fire so much blessings from this song🎉🎉🎉
Beautiful Angel ❤,may God 🙏 bless you and ur mom🙏keep winning young soul,,,,hii mwaka lazima tumconfince shetani na apende asipeende ataachilia nyota yetu na sio tafadhali 🙏,, congrats dear gal hii nayo n🔥🔥
How i love you and your mother, i will always follow you and yoir mom though i don't understand kiswahili, your songs gives me hope and happiness. Am from ugandan 🎉❤ much love and God bless 🙏❤
Ua ua uaaaaaa Engel .😂😂😂💪💪♨♨🔥🔥🔥moto kama pasi.... Mungu akuinue viwango vingine binti yetu... Barikiweni sana wazazi kusimama na huyu malkia acha Mungu awe nanyi daima... Siz Rose and Fenny.... Baraka sana wazaa chema.... 👏👏👏🙌🙌🙏🙏
Indeed God is God and what He has decided no one and I say no one will stop it, from my heart isay God bless and bless you abundantly for this wonderful song you are doing agood job Thanks for lifting God's work .
NINACHUKUA FURSA HII KUMSHKRU MWENYENZI MUNGU KWA UMBALI HUU AMENILETA🙌
MAMANGU MZAZI FENNY KERUBO NAKUSHUKRU SANA KWA KUNISHIKILIA NAKUNILIEA KATIKA HUDUMA HII YA UIMBAJI NINAPOENDELEA NAKUTAMBAA MUNGU AKUINUA 100TIMES
❤❤❤❤❤.
BILA KUMSAHAU MAMANGU SIMBA WA KIKE MAMA ROSE MUHANDO KWA KUNISHIKA MKONO NINGALI NATAMBAA🤝.HAUKUANGALIA UDOGO WANGU BALI ULIONA MBEGU ILIYO NDANI YANGU NAWE UKAAMUA KUINYUNYISHIA MAJI HILI IKAWEZE🙏 KUMEA NAKUOMBEA MAISHA MAREFU MAMA NA HUDUMA YAKO IENDA KWA VIWANGO VYA JUU ZAIDI🙌🙌🫂.
🙏ASANTE SANA MAMA ZANGU NINAJUA NIKIWA KATIKATI YENU NITAPAA JUU ZAIDI KAMA TAI ,MUNGU ALIYE MBINGU NA AWABARIKI SANA🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌.
Amen 🙏🙏💕
🙏🙏
Ofcaus lazima tufanye Ivo Huu wimbo uko juu Sana I say
Mama rose fire with me
Amen
Please God let Angel explode in her ministry , she's relevant and decent in her calling the world shall testify 🙏🙏 shetani aachilie nyota zetu tungae in Jesus mighty name
Amina
Amen
Hakika mambo yametamalaki..!!!! Tunatangaza ...wachawi wasikie..kuzimu isikie...shetani atetemeke...apolioni na jeshi lake lazima waachie NYOTA YANGU Mie....kwa Jina la Yesu napokea urenjesho wangu mie....this is what we call spiritual warfare....Mam Rose Muhando..mama Fenny Kerubo...na mwana eee Angel...barikiweni sana ...I can feel in the Spirit ream ...🔥🔥🔥🔥
In Jesus name
Amen in Jesus name
This girl is more 🔥🔥🔥🔥 ad in next 5 years she will be the queen of music ni Kenya .much ❤❤❤
Ameeeeeeen🤝
I just love Rose Muhando ministry ❤❤🙏🙏,may God bless her each and every moment.
🙌🙌🙌🙌🙌
Uuuwi🎉🎉❤. To the highest grounds our small star Angel❤... You told me you are a Queen. Hii ni noma
Asante sana brother sichoba ukishare😭
Shetani Sikupembelezi ni changu achilia katika jina la yesu🙏🙏🙏🙏nice song strong message go ahead my sister Angel🙏🙏🙏
Be blessed
@@dangelk3904 jamani mungu akulinde sana ubariki sana mimi mdau sana
Congratulations that's so powerful that Collaboration 👏 🙌 ❤️ 😍 💖 💜 Keep going 💪
Asante sana sister Zipporah ❤
Madam matelemya
Mm nataka collabo n yy
Like mother like daughter, very powerful praises
@@dangelk3904WAYNEOMOTO
joybiliah happy ❤❤❤
Amazing congratulations 🎊 Angie ..best collab ever wishing you best keep shining...
Thank you so much
Mungu awapatie mwisho mweza tena nawapenda sana❤❤❤
This woman of God from tz is a great blessing to our nation Mungu atazidi kuinua kizazi chako Rose muhando
Amina Amina!! Asante kunitamkia baraka
@@malkiarosemuhando3310 karibu
Mummy
Amina
Nice song congratulations..🎉🎉pendasana wewe Mungu akubarki🙏
Asante sana
This is a strong collaboration
I don't understand the language but wat I know is this is a strong message
Weldone my sister
Heshima kwa Yesu
May the Lord blessed
S ni lugha ya kitaifa ameimba ni nn huelewi hapo juu naona umemalizia ukiandika kwa kiswahili bro🤔😂
Wow baby girl what a powerful song,both the massage,the dressing,the energy and video perfect❤
May tbe Lord bless you sister
Lazima shatani uachilie nyota zetu, umetubeba ufala for long.
Lazima utii, we're a blessed generation
Amina lazima achilie
Amen amen
Like mom like daughter.. wow.. I love this.
More grace Dr. Angle
Ameeeen
Like mother like daughter what a blessing💖💖
May the Lord bless you 🙌🙌🙌
Rose muhando hongera sana kuinua waimbaji... Mpeee likes
Be blessed
Have never commented in any mucisian but this has touched me indeed it's more than powerful 💥🔥💥🔥🔥💥 🙏 nimependa tena sana hope satan who is holding my blessings has heard this in Jesus Mighty Name 🙏
Achie in Jesus name hili utimize ndoto zako
Hata kama umejificha,umebana kwenye kona,ninatuma moto fire,lazima uachilie............ this is on another level weeeeeeeeeeee❤nawapenda Sana...
Be blessed
Ewe shetani achia baraka zangu na nyota yangu....this young little girl she is blessed for sure....good job continue blessing us through your voice.
Amen 🙏 🙏
Shetani achilia nyota yangu kwa Jina la Yesu 🙏🙏🙏🙏oh hallelujah,this collabo is something else 👌👌👌👌👌🔥🔥🔥
In Jesus name
Lazima ning'ae... Nyota yangu. 🌟⭐✨
Lazima achilie
Glory to God.for sure Lord need us to realize ourselves and all that possess and claim with confidence because we have the right do so.
May the Lord bless you
The champions and the queen Gospel in the action ❤❤❤ ebu likes zao
May the Lord bless you
Hallelujah ❤❤👏🏻👏🏻🙌🙌achia nyota yngu wee shetani
This song and energy is on another level more blessings blessed servants of Christ 🙏🙏
Amina 🙏🙏🙏🙏
Wow totooo❤
Thanks Mtumish wa Mungu Stephene
Kuna Mama Rose Muhando,,Mama Fenny Kerubo alafu Kuna Angel D🔥🔥Nyota zetu lazima ziachiliwe kwa jina la YESU🔥🔥
Be blessed
Congrats nice song
Thank you
Waaaw this is a five Star music. Beautiful beautiful ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️. Great support for the baby girl ❤. 🎉🎉🎉🎉🎉
Be blessed
Let the yoke of hell in our lives start to break every stolen thing in our lives be restored in Jesus name, Amen❤❤❤
Ameeeerrn
Wow hii nayo n kali sana mama yao c aki mungu akubariki na akueke hai miaka mingi ❤Rose muhando pia mungu amuinue saidi asiwai kosa ❤Angel pia usirudi nyuma chukka nafsi ya mamako sasa I love you sana naona ukienda mbali sana mungu akuinue sana
Amminaaaa
Asante sana kwa haya maombi
Natuma 🔥🔥🔥
This girl is blessed ❤nakupenda daughter though sikujui but nyimbo zako ni za baraka....your caurage is on another level ...shine shine....goo goo you have no limit girl....nasikia tu kuendelea kutype🎉🎉🎉🎉🎉
Am really humbled🙏🙏
Like daughter like mother love u baba
Be blessed
Mimi nyota yangu lazima aachilie
Our own small angel is in here
More Grace Mama
May the Lord bless you
OOOOH YES
Asante
karibu @@dangelk3904
Lazim achile nyota kwa jina la yesu...barikiwan san wana wa mungu
Amina
Yani mtoi anacheza tu ka mamake raha iliyoje big up fennys daughter. Utaenda mbali dr❤❤❤
Amina🙌🙌🙌🙌
Ohhhh my God,, this is the powerful message,,, lazima nyota yangu ingare ❤❤❤🎉🎉
In the name of Jesus
Nakwambia daughters of fenny k. Anatesa Sana mziki wako apo mwanzo hakuwa Namna hii wee ogopa wewe shetani Na uwachilie Nyota zetu. .. alaaaaa asheeee.... Napenda unavyo fanya kazi nzuri 🎉🎉🎉❤❤
Barikiwa sana 🤝
@@dangelk3904 AMEN thanks
The mother of the Gospel. You are the best, Rose. Keep it up and May God bless you
Thank you
Shetani Achia Nyota Yangu nataka ning'are,,Kwa Jina la YESU🙏🙏🙏🙏
Lazima achie
Lazima achilie nyota zetu kwa jina la Yesu, wimbo mzuri barikiweni
Amen
Amen 🙏 🙏 🙏 shetani achia nyota yanga ili ning'ae ❤❤
Rose came to change our life style, Uvumilivu song incouraged me alot by then. Malawi
Be blessed
Katoto karembo ka Yesu...shine shine shine althrough your life baby gal...God loves you..shikilia Yesu kabisa...Rose and fenny God bless your job....we are being blessed.
Glory be to God
You thrill my heart with the words.sheteni hana chake hapa! Hana nafasi kamwe!!Yesu Hodari Mwanga yetu
Be blessed
This is firing this song can make me forget all the problems around me Angel is firing,rose firing then queen of music mama vane firing it more
I’am really humbled🙏
Wau muko safi sana mungu aendelee kuwa nanyi
This is more fire,lazima shetani aachilie nyota yangu ningare huu mwaka niimbie yesu wangu 🎉🎉🎉🎉🎉
In Jesus name
Ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU wimbo imenibariki sana
Amina
Hop shetan Mahali ako tayari ame hukuwa wamzi wa kuniachilia maana imetosha kwa mda aliolewa kaa na nyota yangu huu mwaka lazima aachilie kwa jina la YESU CHRISTO AMEN
In the Name of Jesus
Nikiona mtoto mndogo akijitupa kwa Yesu aki nazikia poa sana,may God bless this young gal
Ameeeeeeen
Hee!!!,ni lasima waajilie nyota zangu, sio ati nateseka mtu akienjoy my life,haiwesekani, ni lazima wawajilie nyota zangu na za watoto wangu, by power by fire.
Be blessed
Hapo safi, lazima shetani aachie ndoto yangu Kwa Jina la Yesu. Huu mwaka lazima nigareee in Jesus Mighty Name
Katika jina la Yesu
Achilia nyota yangu shetani nataka niangaze Ameeeeen 🙏🙏🙏 be Blessed warembo wa Mungu👏👏👏
Amen
Great women of God ministering in on another level 😊😊 by fire by force achilia kwa jina la Yesu wow wow wow moto fire so much blessings from this song🎉🎉🎉
Be blessed
i love your songs you people. Thanks for serving God. i love you
Be blessed
Beautiful Angel ❤,may God 🙏 bless you and ur mom🙏keep winning young soul,,,,hii mwaka lazima tumconfince shetani na apende asipeende ataachilia nyota yetu na sio tafadhali 🙏,, congrats dear gal hii nayo n🔥🔥
Sio tafadhali
Shetani achia nyota yangu huu mwaka ni ngae,so powerful, God bless u
Amen
May God give me the Grace to sing like Rose muhando 🎉🎉🎉 here in Uganda be blessed always
Thanks
Lazima shetani uachilie yota yangu ,lazima niangaze kwa jina la yesu kristo Amen 🙏
Amen
Great move indeed.. blessed family touching my heart..Amen 🙏🙏🙏
May the Lord bless you
You light💡🌟 up a room when you sing🔊🎶🎼🎤🎹keep it up young Girl ❤❤may God bless 😇😇🙏🙏
Thank you
Waoh waoh like mother like daughter ❤❤love this 💞👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Be blessed
How i love you and your mother, i will always follow you and yoir mom though i don't understand kiswahili, your songs gives me hope and happiness. Am from ugandan 🎉❤ much love and God bless 🙏❤
Am really humbled
❤❤❤❤❤❤❤by fire by force, sweetheart watahajilia baraka zetu , mungu akubariki
Amen
Ua ua uaaaaaa Engel .😂😂😂💪💪♨♨🔥🔥🔥moto kama pasi.... Mungu akuinue viwango vingine binti yetu... Barikiweni sana wazazi kusimama na huyu malkia acha Mungu awe nanyi daima... Siz Rose and Fenny.... Baraka sana wazaa chema.... 👏👏👏🙌🙌🙏🙏
Kazi nzuri my producer Zeddy
Im more encouraged than before..my daughter has to rise up and praise God too
Ameeeeeeeen
Yeeees shetani achia ndoto yangu kwa jina la Yesu ♥️ 🎉🎉🎉🎉❤
In Jesus name
Aachilie ktk jina la yesu,be blessed bby gal❤
Amen
Good song Angel keep it up, also Funny thanks for mentoring your daughter well at the same time Rose for the collobo. You all blessing many souls
🙌🙌🙌🙌
Amen,Amen.congratulations...Amen...yote yameshindwa maovu.achilia nyota yangu na familia yangu.
Katika Jina la Yesu
Wow!shetani achilia nyota yangu ingare katika jina la yesu🙏
Amina
Indeed God is God and what He has decided no one and I say no one will stop it, from my heart isay God bless and bless you abundantly for this wonderful song you are doing agood job Thanks for lifting God's work .
Thank you and May the Lord bless you
Best song indeed lazima shetani aachilie mafanikio yetu in the name of Jesus be blessed nice collabo
May the Lord bless yoy
@@dangelk3904 Amen 🙏
Lazima shetani achilie nyote yangu by fire by force.❤❤ U, be blessed sana
Amen
Huu mwaka shetani anaachilia nyota yangu katika jina la yesu kristo Amen 🙏🏻
In Jesus name
Kazi mzuri sana lazima aniachie nyota ya ngu vile alinitasa ilitosha sasa Hana nafasi tena❤❤❤❤❤❤
Hana nafasi tena achilie in Jesus name
This so beautiful 🎉may God continue to bless you Angel
Be blessed
Nawapenda note kwaj jina la yesu❤
Lasima achirie huyu shetani nyota yangu nami ni ngare🎉🎉 kali sana hii barikiwa sanaaa❤❤
Achilie katika jina la Yesu
God bless this young daughter, very great song
Amen
this child eeeh!God bless her🎉amefanya hiyo wimbo imenibless mbaya
Endelea kubarikiwa
This is powerful Angel. God bless your ministry 🙏🙏
🙏🙏👌
🙌🙌🙌🙌
Very smart nimebarikiwa sana na hizo nyimbo God bless you🙏
Amen
Mungu anawapeleka mbali isay
🎉🎉🎉🎉🎉🎉nice song angle,lazima shetani aachilie nyota yangu nimtumikie mungu
In Jesus name
❤️❤️❤️🔥🔥🔥by fire by force ajia nyota yangu nataka ningae🙏🙏
Amen
Nimeupenda sana huu wimbo mungu wetu apewe sifa zaidi hakuna mwingne
Amina
Good job baby girl,you have represented us well,may God continue blessing you❤❤
Amen
🎉🎉🎉❤❤❤I love with this song ,,,shetani lazima aachilie nyota yetu
Inlove❤
Be blessed
Baraka
very nice song,, huyu msichana ataenda mbali,, mungu awabariki wote
Akubariki pia
Yes toto yangu lazima nyota yetu ingae❤aririririii 🎉🎉🎉❤
Lazima ingae
It's so powerful keep shinning ❤,,,,go go goooo higher
Thank you
Good collaboration lazima shetani achie nyota zetu Amen 🙏
🙌🙌🙌🙌
Great job Angel 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻. Keep soaring for the glory of God.
Thanks
eee we shetani ajia baraka zangu ningare be blessed
Amen
Amazing congratulations wouh God bless you alot 👏👏👏👏👏
Be blessed