Eating Competition that almost killed my boyfriend 😭💔

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 540

  • @happyisoe518
    @happyisoe518 11 หลายเดือนก่อน +48

    Niliona ruih family wakishika lkn bado nakufa na wao
    Team Ruih family❤❤

    • @faithmbithekasanga6486
      @faithmbithekasanga6486 11 หลายเดือนก่อน +2

      Pia mm bt nko na wao mpaka mwisho

    • @julianjeri7491
      @julianjeri7491 11 หลายเดือนก่อน +2

      😂

    • @Nenianbeiby
      @Nenianbeiby 11 หลายเดือนก่อน +2

      Walai tena 😂

    • @janeatjaneat6599
      @janeatjaneat6599 11 หลายเดือนก่อน +1

      Ehh mm pia nimeona haki😂😂😂

    • @daisykhamuye6518
      @daisykhamuye6518 11 หลายเดือนก่อน +1

      Sikufi naao😂team jembetile

  • @Farvouredsteve.
    @Farvouredsteve. 11 หลายเดือนก่อน +24

    My special request,mnaeza fanya challenge ya mkate na soda???

  • @agnesbarno3029
    @agnesbarno3029 11 หลายเดือนก่อน +17

    I love you my people.Kwani Vinny ni cool kid,karibu attached.Biko and Hezron ni wale boys real😂😂😂

  • @zipporah.xhex.6694
    @zipporah.xhex.6694 11 หลายเดือนก่อน +29

    Team jembetile 💙💙💙💙💙💙 unapenda kutuangusha c kwa swimo tena mahindi surely whar r this 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂anyhow hatubanduki we still the Bluz💙💙💙💙💙

    • @paulineodero2863
      @paulineodero2863 11 หลายเดือนก่อน +3

      💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙😅😅😅😅

    • @Joyblessine
      @Joyblessine 11 หลายเดือนก่อน +3

      💙💙💙💙💙💙💙💙😅😅😅

  • @marynjuguna7449
    @marynjuguna7449 11 หลายเดือนก่อน +6

    The ruih family wame cheat hapo kwa mahindi..😂😂aki nawapenda tu sana nyinyi watu...❤❤❤

  • @gracekariuki303
    @gracekariuki303 11 หลายเดือนก่อน +13

    Wooiye Vinny wetu ni kababy boi hawezani nahii mambo😅😅😅tumuachietu studio 😅😅

  • @paulinanduku2748
    @paulinanduku2748 11 หลายเดือนก่อน +36

    Biko anakuanga ameivia hizi games😂😂

  • @danielawanzala5912
    @danielawanzala5912 11 หลายเดือนก่อน +4

    Vinny utatuua aki😅😅😅😅😅

  • @KeniyioMary
    @KeniyioMary 10 หลายเดือนก่อน +2

    Akina keshi the courage you have after apple ya Kwanza😂😂

  • @jepkosgeivalary8438
    @jepkosgeivalary8438 11 หลายเดือนก่อน +3

    😂lakini vinny weweee😂 at the start ulikua ready kabisaaa 😂😂😂😂 you giving last born vibes😂

  • @catherinekiruki2684
    @catherinekiruki2684 11 หลายเดือนก่อน +9

    Lakini biko anapenda vinny😊

  • @OrestersKamande
    @OrestersKamande 11 หลายเดือนก่อน +6

    Love you guys,,hii siku c mlifanya content mingi saana

  • @princessariana6612
    @princessariana6612 11 หลายเดือนก่อน +8

    😅😅biko anajua vinny hajui kutafuna hana mbio

  • @EmilyJonnes-ji5ty
    @EmilyJonnes-ji5ty 11 หลายเดือนก่อน +6

    Hadi nikakumbuka ile ng'ombe yetu home inaitwa 'MARIA' vile huwa inakula misogori ya mahindi😂😂😂😂,aki BIKO & KESHI acha nicheke vile mlitaka

    • @mutonyiesther2000
      @mutonyiesther2000 11 หลายเดือนก่อน

      Kwani ng'ombe yenu inaitwa kama yetu😅😅😅 Maria na inatoa maziwa kutoa

  • @wambuikiruka
    @wambuikiruka 11 หลายเดือนก่อน +32

    this reminds me vinny kwa zile eating competition za diana B ,ever wa mwisho🤣

    • @paulineodero2863
      @paulineodero2863 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kumbe ulikuwa huko😂😂😂😂😂😂😂

    • @fabyscarl
      @fabyscarl 10 หลายเดือนก่อน

      Yea, yeye si fan wa fud😅😅ni wale wanakula kadogo wameshiba. Just ndio anaelewa hii maneno ya fud😂

    • @amondiwinnie
      @amondiwinnie 10 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

  • @DIon..Godismyshield
    @DIon..Godismyshield 11 หลายเดือนก่อน +25

    Channel ya gee nayo ❤❤❤❤hua na content creative I love it❤❤❤for Vinny💙💙💙💙💙

    • @Moh-v6b
      @Moh-v6b 11 หลายเดือนก่อน +1

      Venye tuu nimekua nikijiabia apa

  • @SimonBrian-de1my
    @SimonBrian-de1my 7 หลายเดือนก่อน

    Team Biko na Keshi n noma sana,,,,,jembetli ajui hizi mambo za haraka coolkid

  • @MillyMotari
    @MillyMotari 3 หลายเดือนก่อน +1

    Akh hii game iko fun Biko mko funny kweli Biko utaki Keshi akule

  • @lavinemodestine874
    @lavinemodestine874 6 หลายเดือนก่อน

    Maureen iyo flowers ukieka vinegar kwa iyo maji inasaidia kukeep it longer

  • @sarahkiki7385
    @sarahkiki7385 11 หลายเดือนก่อน +1

    Vinny eating competition ako poor ata huko kwa dee he used kuwa last

  • @virginiamutheu5765
    @virginiamutheu5765 11 หลายเดือนก่อน +5

    vinny anaskia kutapika lakini hawezi tema 🤣noma sana

    • @marykadzo1033
      @marykadzo1033 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @hannahngendo4715
    @hannahngendo4715 11 หลายเดือนก่อน +35

    Team biko na keshi 😂😂hawayu

  • @shikskamau202
    @shikskamau202 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ati msinyonyane lips 😂😂😂aaah
    This family pure vibess❤

  • @aicypeshy
    @aicypeshy 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂Baba flavian usiwache Flavian yatima juu ya chakula😂😂😂 anyways more games to come

  • @penzileenkadogo9554
    @penzileenkadogo9554 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ruihs bad manners 😂😂😂y touch 😂😂 but I love you our msanii will not die until atimize ndoto zake, love you all ❤❤

  • @Fidel-korir
    @Fidel-korir 11 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂yaani jembetile karibu atuache,hii ni maajabu 😂,Hii lazima nione, waiting

  • @eunicewambui7709
    @eunicewambui7709 10 หลายเดือนก่อน

    Cjaona mtu akisema wat hezron did😂😂😂love you guys id rather not say❤❤❤❤❤

  • @RoseWakio-kd2yp
    @RoseWakio-kd2yp 11 หลายเดือนก่อน +15

    Hezron ati kumbe wote ni walafi hapa😂😂 nawapenda bure nyote❤

  • @gracechege5079
    @gracechege5079 10 หลายเดือนก่อน

    Vinny one minute😂😂😂 shiet kashanyongwa,,,vinyy stop ni stop

  • @jecintawanjiku7913
    @jecintawanjiku7913 11 หลายเดือนก่อน

    Its beb from hez,,beb from gee beb from keshi,,yaani it's agame but still very caring mtu asinyongwe

  • @fabyscarl
    @fabyscarl 10 หลายเดือนก่อน +1

    Biko amenimaliza😂😂😂😂anauma big big bites, nimecheka yangu yote esp kwa apples

  • @kudosdawn
    @kudosdawn 11 หลายเดือนก่อน +1

    biko anaishingi kushinda game zote biko utafute heart hadi tuu support

  • @phoebemuga5376
    @phoebemuga5376 11 หลายเดือนก่อน

    Aki the ruih family wame cheat😂😂😂😂kwa challenge ya maindi

  • @Faith-h9h
    @Faith-h9h 11 หลายเดือนก่อน +2

    Jembetile hawezani na hii mambo

  • @CripsySoul-m6e
    @CripsySoul-m6e 3 หลายเดือนก่อน

    Team ruih wee naisha wanashika walai😅😅😅watu wanashangaa nacheka nn😅😅😅

  • @Wasynafylifestyle
    @Wasynafylifestyle 11 หลายเดือนก่อน +3

    Uku leo mliamua ni kumwaga mateee my loves 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Wasynafylifestyle
      @Wasynafylifestyle 10 หลายเดือนก่อน

      @user-qp4xo8bb8r 🤣🤣🤣🤣hawa watatumaliza siku moja

  • @kanyirasiz
    @kanyirasiz 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ruih family mtaniua aky nyinyi❤❤❤

  • @karo352
    @karo352 11 หลายเดือนก่อน +4

    Musani the intro was amazing ❤ last minute He was the victim Musani visited the toilet 😮😂 Anyways i Just love the vibe between you guys thanks for the love and support towards each other Much love 🇺🇬✌

  • @viviansaina53
    @viviansaina53 11 หลายเดือนก่อน +3

    Aki Hezron na Moh...nyinyi ni wakora...
    The Ruih family..😂😂😂😂😂
    Nawapenda nyote though❤

  • @oumakennedy8482
    @oumakennedy8482 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mimi na tafuta kazi Kwa kweli a genuine job ntashukuru kabisa and God will bless you hold my hand I hold someone else tusaidiane

  • @catherinendungu4451
    @catherinendungu4451 11 หลายเดือนก่อน +6

    Msijifanye hamjaona Hezron akishikia Moh 😂😂😂😂😂

  • @josephinemasafu1667
    @josephinemasafu1667 10 หลายเดือนก่อน

    Vinny hajazoea hii mambo😂😂😂😂cool kid

  • @Lynn_Makau
    @Lynn_Makau 11 หลายเดือนก่อน +2

    Acheni Jembetile aende studio tondu hapa hawezani😂😂😂😂 it's funny tho

  • @kananusalome7166
    @kananusalome7166 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ambia vine chakula itupangwi angangane ameze😂😂😂😂😂😂

  • @Y.CFamily...
    @Y.CFamily... 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂the only artist 😂😂😂 pole lakini imebidi nime Cheka 😅😅😅 guys follow this guys man this guys are almost killing themselves trying to give us content... Watching from Nyeri town at Yaya's pizzeria the best place to get pizza and other fine foods

  • @jackiedaniels3633
    @jackiedaniels3633 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hezron anaambia moh asitafune na ye ameshindwa😂

  • @LucieWaithira
    @LucieWaithira 11 หลายเดือนก่อน +2

    My fav ruih fam😂😂am still in shock ..😂lkn nawapenda bdo

  • @AnnnjokiNjokiAnn-um8pi
    @AnnnjokiNjokiAnn-um8pi 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂vinny taniua nakicheko wajameni yaani nimenotice vinny nambio yachakula vitu mbili tofauti ogopa keshi na biko hatari kwa usalama nimecheka wachatu 😂😂😂😂😂

  • @shiqohkamau7279
    @shiqohkamau7279 11 หลายเดือนก่อน +39

    Tupitiane guys we grow together

    • @RahiFine
      @RahiFine 11 หลายเดือนก่อน +2

      Done, nipitie Na ucomment pliz

    • @graciousfuraha
      @graciousfuraha 11 หลายเดือนก่อน +3

      Done pitia pia

    • @Mabreighcharl
      @Mabreighcharl 11 หลายเดือนก่อน +2

      Done nipitie pia

    • @magdalenekalosh8061
      @magdalenekalosh8061 11 หลายเดือนก่อน +2

      Nipitieni niwapitie

    • @LucywambuiNdungu
      @LucywambuiNdungu 11 หลายเดือนก่อน +3

      Nipitie pia ,done

  • @LucywambuiNdungu
    @LucywambuiNdungu 11 หลายเดือนก่อน +1

    Waiting for this banger i love this combination 🎉🎉its never a dull day with you guyz,pliz mnipitiea akhi pia,support your fun apa pia piz,twende nalo guys

  • @emeldahkwamboka8511
    @emeldahkwamboka8511 10 หลายเดือนก่อน

    Vinny n cool kid 😅😅alaf moh and hez waliiba kura juu walishika mahindi😅

  • @DalvineNafula-cd8yb
    @DalvineNafula-cd8yb 11 หลายเดือนก่อน +2

    Vinny and gee bree kabisaa 😂😂😂

  • @marykadzo1033
    @marykadzo1033 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂na si uteme mahindi aah😂😂😂😂kitu inakunyonga na bado uko nayo😂😂😂😂

  • @hillaryclintone3677
    @hillaryclintone3677 11 หลายเดือนก่อน

    honestly Biko n mnoma hpa

  • @nziokamary2159
    @nziokamary2159 11 หลายเดือนก่อน

    Hawa couples ni true defination ya 😂😂😂kila mtu hupata type yake

  • @AliceMbugua-re1rg
    @AliceMbugua-re1rg 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbemunakulanga ivo nawapenda sana

  • @Afromovies11
    @Afromovies11 11 หลายเดือนก่อน +1

    Team Vinny 😂😂kindly nipitieni nyinyi wote my good pple❤❤

    • @Joanitakoech
      @Joanitakoech 10 หลายเดือนก่อน +1

      Done nipitie pia

  • @NATALIEGRACE-b6i
    @NATALIEGRACE-b6i 11 หลายเดือนก่อน

    Surely vinny mahindi ni kitu ya kukunyongesha😂😂

  • @everlynegati6000
    @everlynegati6000 11 หลายเดือนก่อน +7

    Hezron walikua wanapendua😂😂

  • @dorcaskamau3376
    @dorcaskamau3376 11 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda tu vile mko muongezee Comme na moh apo family napenda

  • @RoseVaati-i7d
    @RoseVaati-i7d 10 หลายเดือนก่อน +3

    Wee siku ingine msijaribu kuuwa mzee mzima jembetile😂😂

  • @WincylerMaraka
    @WincylerMaraka 11 หลายเดือนก่อน

    Mourine naye namuaminia upande wa food

  • @FaithMutheu-e5w
    @FaithMutheu-e5w 11 หลายเดือนก่อน +5

    Sjui kwann nasaidia biko kufungua mdomo

  • @Tashly-qk3vd
    @Tashly-qk3vd 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ruih wameshika 😂😂😂kimeibiwa

  • @bramwelwafura182
    @bramwelwafura182 11 หลายเดือนก่อน

    Mzee jembetile 💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙na Gee mnatuangusha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂anyway guys i love you so much ❤❤❤❤❤

  • @SyliviahPendo
    @SyliviahPendo 11 หลายเดือนก่อน

    Vinny utakuja kupea biko pressure woooiye 😂😢

  • @sharonchebichi3022
    @sharonchebichi3022 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂naomba mnipitieni guys ntashukuru saana aki guys I will appreciate guys na mtabarikiwa saana saana aki

  • @ayoramagati2192
    @ayoramagati2192 11 หลายเดือนก่อน

    Mahindiracious ime perambulate kwa throat ya Vinnie...........😅😅😅😅😅😅

  • @DIVINAH553
    @DIVINAH553 11 หลายเดือนก่อน

    Biko walipatana magaidi pekee Kwa game😂😂😂😂😂😂 anyway i love you guys❤

  • @patiencenalisi4104
    @patiencenalisi4104 11 หลายเดือนก่อน

    Vinny hii mambo huwezani we baki tu studio 😂😂😂

  • @ruthnaliaka8450
    @ruthnaliaka8450 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 aki mnafanya mtu anacheka mpaka analia aki 😅😅😅

  • @MeshanBree-nc8ns
    @MeshanBree-nc8ns 10 หลายเดือนก่อน

    The ruih walai mii nawaona😂😂😂😂😂

  • @JacklineWasyamwanzia-ip9md
    @JacklineWasyamwanzia-ip9md 11 หลายเดือนก่อน

    Cheçk on time,Huwa mnakaa sana mkiaza

  • @ruthnjeri1291
    @ruthnjeri1291 11 หลายเดือนก่อน

    Yani hivi ndivyo biko hukula hii kitu bravo 💪

  • @shiqxqwintaa887
    @shiqxqwintaa887 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ii nayo🙌😂😂😂😂😂Biko naye n machine 😂😂

  • @Ministerjane-254
    @Ministerjane-254 11 หลายเดือนก่อน

    Ruih family ni wakora 😂😂😂😂😂😂

  • @lizlefic910
    @lizlefic910 11 หลายเดือนก่อน +3

    Vinny anajifanyanga blonde sana...Biko na Hezron niwareal mbaya😅😅😅...real masculinity

  • @carolinemacharia6511
    @carolinemacharia6511 11 หลายเดือนก่อน +2

    G next time funga nywele

  • @kimothofaustina9816
    @kimothofaustina9816 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ruih mnaibia nyinyi😂

  • @Phoebe-021_2.
    @Phoebe-021_2. 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂guys i love you all ... Always lovely together ❤ your friendship is a vibe

  • @mwalimusam903
    @mwalimusam903 11 หลายเดือนก่อน +1

    Rui wameibia kwa kukula mahindi

  • @ShantelC-p4x
    @ShantelC-p4x 11 หลายเดือนก่อน

    Team keshi and Biko wako lit sana ❤️♥️

  • @ruthruthian1578
    @ruthruthian1578 11 หลายเดือนก่อน

    Vocabulary ya vinny hunichekesha tu sana

    • @19shirley
      @19shirley 11 หลายเดือนก่อน

      Aiswea😂

  • @Alia-Muswahili
    @Alia-Muswahili 10 หลายเดือนก่อน

    Weuh!hii nayo inabamba sanaa❤❤

  • @Luccie31-x2l
    @Luccie31-x2l 11 หลายเดือนก่อน

    Mnapanga kumaliza msanii😂😂mungu anawaona

  • @valentineakola888
    @valentineakola888 11 หลายเดือนก่อน +1

    Akii woiye leo amepatikana hua anasema Gee amepatwa hii ni yake sasa😂

  • @maulineimali7792
    @maulineimali7792 11 หลายเดือนก่อน +2

    Biko ni mnoma😂😂😂❤❤❤

  • @EstherMaina-bb4fl
    @EstherMaina-bb4fl 11 หลายเดือนก่อน +2

    Msijifanye hamjaona Hez alishikia moh mahindi😂🤣 but we love you all❤❤❤

    • @linetchekorir
      @linetchekorir 11 หลายเดือนก่อน +1

      My question too😂😂,moh na hez walijisaidia tu kushika

    • @andrinegathoni2006
      @andrinegathoni2006 11 หลายเดือนก่อน +1

      Ata moh amejishikia pia

    • @EstherMaina-bb4fl
      @EstherMaina-bb4fl 11 หลายเดือนก่อน

      @@andrinegathoni2006 😂😂

  • @maryannwangui7403
    @maryannwangui7403 11 หลายเดือนก่อน +1

    Great content watu wangu 🤗🥳💯

  • @omololinda
    @omololinda 11 หลายเดือนก่อน

    ❤️❤️❤️Team Gee nipitieni I will pitia too❤️❤️🇰🇪🇪🇬

  • @Esther-ez8zy
    @Esther-ez8zy 10 หลายเดือนก่อน

    Watu wa behind the scene kumbe ni acute hivo😂

  • @FaithKamalu
    @FaithKamalu 11 หลายเดือนก่อน +2

    Guys tupitianeni tukigojea hii please, wenye watanipitia nitawapitia wote guys ❤

  • @silviamalindailyroutine2669
    @silviamalindailyroutine2669 11 หลายเดือนก่อน

    Aki gee ni karembo sana

  • @cleodeprince2547
    @cleodeprince2547 11 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂ii hta ukwe na stress ya aina ngani lazima ucheka kma chizi

  • @vicklinekanana575
    @vicklinekanana575 3 หลายเดือนก่อน

    Vinny anapigwapigwa zikifika kwa mdomo anatafuna tena 😂😂😂

  • @Faithmokeira254
    @Faithmokeira254 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 ebu nijeke mm😂😂 keshi nyenye ni kupapasa biko devu😂😂

  • @ivinechepkemoi5667
    @ivinechepkemoi5667 11 หลายเดือนก่อน

    Kumbe Niko ni mlafi hivo..,.

  • @MaryNadzuwa
    @MaryNadzuwa 5 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda tu sna 😂😂😂😂😂

  • @Pinkyy616
    @Pinkyy616 6 หลายเดือนก่อน

    hezron na moh 😂😂😂😂😂ni wakora hez alishikia moh

  • @ian_obiero
    @ian_obiero 10 หลายเดือนก่อน

    ruih mlitupima nyinyi