Tunaweza Badilika - Mzee Yusuf & Khadija Kopa
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ธ.ค. 2014
- Collabo ya kihistoria kati ya Mfalme Mzee Yusuf na Malkia Khadija Kopa katika wimbo na video ya pamoja yenye malengo ya kuhamasisha jamii kupinga ukatili dhidi ya wanawake.
Video hii iliyorekodiwa mkoani Morogoro inamuonyesha Mzee Yusuf na Khadija Kopa kama mume na mke ambao wamebahatika kupata watoto wawili 'Kulwa' na 'Doto' ambao ni mapacha. Mzee Yusuf ni dereva wa daladala wakati Khadija ni mama wa nyumbani lakini pia mjasiriamali.
Pamoja na kwamba watoto wao ni mapacha ambao wanafanana na kulingana kwa karibu kila kitu ikiwemo umri lakini tofauti ya jinsi yao inaonekana kumpa haki zaidi mtoto wa kiume ambaye anaonekana kuelekea shuleni wakati pacha mwenzie anaonekana kuhangaika na shughuli za nyumbani ikiwemo kutafuta maji, kufanya usafi n.k.
Kwa upande mwingine, Mzee anaonekana kutokuijali familia yake haachi pesa ya matumizi nyumbani na hata anapoulizwa anakuwa mkali sana wakati huo huo anaonekana kuchezea mabinti wengine akiwa kazini.
Stori inabadilika kabisa pale mzee anapokutana na Mwanamabadiliko ambaye anafanikiwa kumshawishi kubadili tabia hizo kwa ajili ya manufaa ya familia yake. Kuanzia hapo Mzee anaonekana akinunua nguo za shule za mwanae wa kike na kubandika ujumbe wa mabadiliko katika gari na nyumba yake.
Baada ya hapo maisha yanaonekana kuwa ya raha mustarehe.
"Tukae na tu-starehe tule raha na maisha." Kinasema kibwagizo katika wimbo huo.
Kama hii taarabu unaipenda naomba like zakutosha
Mmmh ni mbaya mpak bs
Nyimbo naipenda hii 👌2022 💃🏻
Jau nyny mwogopen Allah
❤❤❤
Allah Amuongoe Layla aishi na mumewe kwa amani na awe muislam mwema. Hakika ya Allah Anasamehe na ni mwingi wa kurehemu
True Kabsaaaa Tunaweza Badilika Mbona.
Khadija na mzee yusuf mnatesa kwerikweri daaaaah
Kazi nzuri mzeee Yusuph na Mama wa mipasho A.Kopa.
Nimeipenda nyimbo yako inabonge la ujumbe. Mungu akufanyie wepesi
Nyimbo naiyerewa sana
asantaaa nyimbo ya maana
Ata mpate matilion
Mwisho wa siku zinaisha na unahitaji nyengine
Pesa haitoshi
Badilikeni murud kwa mungu
Congratulations Haki sawa Mke,Mume.
Mbona kama mlali kwetu Moro apo
nawapenda Tz wate wasanii
big up malkia and mfalme
nimeipenda kiukweli wimbo wa hadija na MZEE yusufu 👌
tunakula Kwa nakshi nakshi
Tarabmoy
ujumbe mzuri
Mzee Yusuf una sauti nzuri Sana mashaallah
video mtwara homo wowo home sweet home 2020 hii ngoms bado iko moto 💥💥💥💥
🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬💃💃😊
nimeupenda ujumbe
Napenda taarabu kwelikweli mzee Yusuf welcome back
Pmj
Pmj
nice song and big up Mze yusuf with khadija kopa !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
eebana mkovizur...
Pambeeee👌
Moto sana
Nawapenda san
Mzuriiii
Nyimbo safi
Rukia Ramadhani nyimbo zake
Wooo nice songs
Taalabu mpya
Haswaaaaaaa
Asante mzee yusuf kwa wimbo zako
Graham Sikuku
ogera Mzee na Adija kopa,
nice hongeleni
Ngapenda sana
Duuh bonge la ujumbe
😂❤❤❤❤❤
nice song
ujumbe unabamba kopa ahsante
Yakitambo
jaman iki kodonge cha lini mbona nakiona kipya machon lakin kimenitakasa maskio mchezo kando hongereni mabingwa
Apana chezea tz
mzee yusuph jambo no uwamuzi
ujumbe mzuri
bomba
mzee yu
Mbona Kama kitu kipy hiviii au
Magwiji watupu!!!
🤣🤣🤣🤣
Taarabu imerudi
Inaleta raha sana
ujumbemzr sana
اسمه يوسف
Nic
Mzee yusuph na Khadija mrufien mola wenu nyinyi kunakufa jaman mwsadaika na dunia
Iko chojo
Naipenda pia😍😍😍
Ya lin mbona ndo naiskia leo
mmh
Nisiposema naipenda sauti yake malkia wa mipasho Khadija kopa nitakua nadanganya..
nice
Hadija kopa utajua vipi mziki zako nazipenda nisipo sema?.
Hii ya lining? 😮😮😮😮
udugu a
th-cam.com/video/f0naON_Av3M/w-d-xo.html
Hawa ndio mashetani wanao msaidia mzee yusufu
ipo poa kabisa hii nyimbo
si kaacha kuimba huyu au 😢
lat b
Ndio nashangaa
lat b ngoma ya zamani
Ngoma ya mda yeye kaacha kuimba mwezi huu 2017 kuingia 2018
Hii Ngoma ya zamani sana sema kipindi ilipotoka jaikuvuma Mimi naikumbuka sana zipo mbili alizoimba Na hadija kopa
Jamaanii ebu nijuzeni vizuuuri nyimbo hii mpya amaa 😶😶😶😶😶
haiya sasa,elimu pap
Pambe
Mambo gani hayo jamani? Mzee Yusuf ndio mume wako kweli Bb. Khadija Kopa? Mpaka unajerembaremba? Mungu wangu........ Dar kuna mambo!!!!!!
ALPHA KILO Huyaelewi Sanaa kaka. Siyo mambo ya ukweli ila jinsi ya kupitisha ujumbe. Wateta vitu vidogo vidogo badala ya kuskiza ujumbe.
ALPHA KILO we mshenzi nn yani huoni kama ni kazi wawapi wewe