mi nadhani hata arts mliweka ili isomwe so msiwadisvalue watoto wanaosoma arts!!!!binafsi sio kama ni sawa!hawa wamefundishwa na walimu.Vipi wote tukuwa ma- engineer au madaktari,nani atakuwa mwalimu,nani atakuwa.....msiwadiscourage bwana watoto wetu
Hata, mdogo wangu wa kiume anajuwa Sana hesabu ndo somo lake hesabu kafel anapata B anaelewa good paka shule wakatolewa ofa ya kufundushwa mtu somo analoliweza yeye akaandika hesabu halafu kipind mdogo kabla hajaanza vidudu alikuwa anajuwa kuhesabu moja paka kumi bila kukosea Ata namba moja na alikuwa hajui Ata kuongea vizur nikasema mh atakuwa na akil uyu kumbe kwel yani hesabu, physics ndo anafaul
St Mary's mazinde juu mko vizuri tuzo nying zimetok kwenu proudly with sr evetha kilamba
mi nadhani hata arts mliweka ili isomwe so msiwadisvalue watoto wanaosoma arts!!!!binafsi sio kama ni sawa!hawa wamefundishwa na walimu.Vipi wote tukuwa ma- engineer au madaktari,nani atakuwa mwalimu,nani atakuwa.....msiwadiscourage bwana watoto wetu
Hongera Toto mungu amusaidie siku moja mwanangu apokee tuzo zaidi ya hii
C unamuona alivo Hana makuu mungu amsaidie,hekima busara ndo imemfikisha apo
Congratulations gal is not most women like mathematics 👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥
Hongera totoo...kaza sana maana safari badooooo
Hongera sana c
Mashallah
Hongera mdogo wangu.
Mtangazajiii unajuaaa sanaaaa
Mathematician Hongera sana
congrats
🎉
Kweny hesab usiniambie nilipigwa sanaa had kumchukia mwalim wangu akiingia darasan natam kufa kabisa
Khadija khadija tupo wengi mama acha tuu 😂😂😂😂😂😂😂
Mngewatafta na wanaopata devision zero nao muwahoji kwamb wao walikuwa wanafany je shuleni 😉😉😉😂😂
Kweliiii
Moja wapo hamiss wa bbs kwa kidato cha 4 hadi kajiimbia wimbo eti kapata yai😂🤣😂🤣
😂😂😂😂😂😂😂 jmn c tutavunjika miguu kwa kukumbia media
@@azizaabdi8414 😂😂😂😂😂😂😂😂
😆😆😆😆
Nilishakuona mc wasimliziiii hongera
Hongera
Anaongea kama dada wa passcodi.Unasebaaaaa kama mafua flani ivi
😂😂😁😀
😂😂😂💃💃💃
Kabsaaa ata mm nimefkiria hivyo😂😂😂😂😂.
😀😀😀😀
hesabu zimempa mafua
We jamaa umesoma old tanga
Hata, mdogo wangu wa kiume anajuwa Sana hesabu ndo somo lake hesabu kafel anapata B anaelewa good paka shule wakatolewa ofa ya kufundushwa mtu somo analoliweza yeye akaandika hesabu halafu kipind mdogo kabla hajaanza vidudu alikuwa anajuwa kuhesabu moja paka kumi bila kukosea Ata namba moja na alikuwa hajui Ata kuongea vizur nikasema mh atakuwa na akil uyu kumbe kwel yani hesabu, physics ndo anafaul
Mdogo wa blackpass
HONGERA ZAKE
👏👏👏
Hongera sana mwanafunzi, zidi kukaza buti usibweteke
Mmh
Asijisahau safari bado
😊😊😊😊❤❤❤❤ T O charlie🖤
Esco mbona kama una mmezea mate 😂😂😂Naomi vp mzee baba
Sio kila kitu cha kuchekesha huoni km ndo alivyo
Hongera..
Congratulations daughter. Mazinde hoyeee. 65% of all the prizes today were fetched by Mazinde Juu Secondary School.
Of kozi wenzang marian girl's wapi kifungilo wapi hhhhhhh
Kongole kwake
Esco basi usimuangalie sana😂😂😂😂😂😂😂
Wabongo mwangozwa na wadada tuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂..
Mngenfat namm wa riro ingepenzez mjue nachangamot zang
saut ya mafuaa
h
ndo maaana pua yako inatatizo, hesabu cyo mchezo
🎉
Hongera