Yaani huyo mme wake Ana moyo, yaani huyo dada anaongea km anaongea na wadog zake apo, huyo dad anatuaibisha sis wanawake wenzake jmn, naombah achinjwe Chrismas, kumbafu zake kabsaa 🥴🥴😏😏
Weng kaka kwetu yupo mke wa mwanajeshi ana gawa htr kwa vijana wadogo na mtt kazaa ña bodaboda,afande ana kauli sie majiran ndo twamuonea huruma polen kaka zangu
Huyu mwanamke mwenzetu anatuaibisha sana kwanza hana kauli nzuri kwawatu asowajua
Nataka kuuliza, apo ni nyumbn au kazini
Jamaa kazidi sn upole mjinga Yani anatuzalilisha wanaume kwakwel
Monsuly wawatu jmn... anakuwaga mpole Sana mstaarabu sana
Yaani huyo mme wake Ana moyo, yaani huyo dada anaongea km anaongea na wadog zake apo, huyo dad anatuaibisha sis wanawake wenzake jmn, naombah achinjwe Chrismas, kumbafu zake kabsaa 🥴🥴😏😏
kaz nzuri kak
Monsuly daah wewe mkaka ni mpolee jamani nakupenda sanaa pole sanaa kwa iloo❤
Hello nuru Kutoka Kenya hapo hakuna mwanamke wallah ni yy achane na huyo mwanamke hwenda mungu akampa mwanamke mwengine mzuri mwenye tabia nzuri zaid
Pole san kaka yang ajali kazini nimeliya sana
Ila sisi wanawake jamanii 😢
Mungu tuongoze sisi ambao tupo kwenye mahisiano ambapo atujuhi ni sashimi au sio sahihi
Daaah kweli kunawanawake wanajeuriii na dharahu wew dada kunawatu wanatamaniii ndoa weweee ni hawapatiii afu nyoooo unajibu shiit ulaaniwe usije kupata mumee wakuchezeeetu mana unadharau nimekwazika kama mwanamke
Hahahahahahahaahaba jamani nataka jina la hiyo move jaman mnitumie
Huyo kaka ni mjinga si upole huo
Limwanaume lenyewe limekaa chizi
Mansoli unafanya kazi nzuli sana
Kiukweli hapa mwanamke hamna,
Kaka kwan wanawake wameisha kwanza huyo ni mkosi kwa maisha yako yatakuwa na dosali
Wanaume wanateseka san , good work brother
Duuh hatr mungu tusimamie sisi wanawake❤
NHuyu mwanaume mbna mpole hivi jamani siaongee ama kakaliwa na mwanamke
😮😢😢 ah mtihani
Daaah nimeumia 😢
Dah huyo MWANAMKE jau
13:05 ❤😢😅😮🎉
Uyo dad Anaata Aibu jaman
Kaka apo hun mwanamke jiongez to
Jamaa ata kama niupole umezidisha ata kumpa ndoige moja tu akukumbuke hata atakakoenda umeshindwa
Kaka Kaz nzur sana
Mdada mwenyewe mbaya afu anajeuriu
Lana ya mke wa m2 nimbaya san na atabaki kua boda bod mbwa uyooo
Pole sana monsuly nimelia san kama me yamenikuta kaka pambana usichok🤦🤦🤦🤦
huyu jamaa amelishwa nini monsury dar pole sana kaka
Uyo ni mwanaume au mvulana
Iv anaweza je kuvumilia 💔
Kwakweli changamoto sana wapo wengi sana
Weng kaka kwetu yupo mke wa mwanajeshi ana gawa htr kwa vijana wadogo na mtt kazaa ña bodaboda,afande ana kauli sie majiran ndo twamuonea huruma polen kaka zangu
Nimeend mshkaji alivo jib na Kukubal ukwel
Duh pole broo ila huyo dada mungu anamuona😢
Daaa imeizha hiyo mwamba Hana mke hapo
Dada anajikuta huyu na sura yake Kama kijambio
😮 mapenzi yanauma
Umewai kuonja na kuona yanauma😂
Hana akili uyu dada
Unazingua na tangazo lako Kila mda
Mbon km jomba anachekaa mwenye kuliwa mke wakee
Uyo mwanamke afai mwamba amepnda nn apo
Monsul kweli umeshindwa kumpiga hata kibao huy msenge
Duuh
Amna mwnmke apo bure kabisa
Monsulj pole jmn
Alafu anavomjibu mume kama mdogo wake duuh
Yamenikuta na mm😢😢😢
Mwanamke Hana stala hata kwenye kuongea hata Kwa mume wake Hana heshima
Kabsa anatisha
Monsul pole Ila naomba namba yahuyo kaka wambey
Uyo dada Hana akili kbisa
Sehemu ya 3 lini hii story ni fundisho kwa wanwake km huyu ana mdomo hatari
Uyo dada kashushuka vibaya jamani kajifanya mkali kaibika
😂😂😂
Mbona kama mwanamke kamkalia jamaa hapa jamaa Hana sauti na kachitiwa
❤❤❤
Dada ni mkorofi uyu kaa hp ana kataa tu ika inaonesha nimweli anatoka na uyo mtu ndo mana mkal
Kama movie mbona?
Huyo boda na huyo manzi fungisha ndoa chap wamuqche brother angu 😢
Yaani ningekuwa mimi ningedai hamar na hapohapo ndoa ya mkeka
Me nishasubcribe jmn tuendeleee 😅😅
Jmn bado uyu mke wa mwana jeshi mtt ana udumiwa na bodaboda ndo baba yke,mjeshi pia ana hudumia ajui km sio wake wanawake jmn mbingu tutaisikia tu
❤
Daah dada eti ana jiamin kbc
Mupelekeni police huyo dada ni muuaji
Monsuly jitahidi kidog video iwe ndefu kidogo maana kuongea mtu anajifikira ule mda wakufikiria ndo dakika zao zakujibu shiti
Mbon huyo mwanaume mbon amenyongonyea mjinga san
Kaka hakuna make humo atakuua huyo Acha najua inauma Ila yatapita
Video zako ni fupi mno ongeza kidogo
𝐾ℎ𝑎𝑎𝑎𝑎𝑎𝑎𝑎
Achauyo mwanamke nimuuwaji 😢
❤❤❤
Monsulj pole jmn