CCM YASHUHUDIA MAFURIKO MAKUBWA YALIYOIPIGA KATA YA MUHORO RUFIJI NI HATARI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 16

  • @lookmanlookman6297
    @lookmanlookman6297 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu awafanyie wepesi wenzetu wanapitia magumu

  • @AkimuWaziri
    @AkimuWaziri 9 หลายเดือนก่อน

    Mnavyozidi kujiinua ndiomnavyozidi kumuuzi mungu

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 9 หลายเดือนก่อน

    Polen sana. Ila serekal ikemee ulawit usagaj mashoga MUNGU amechukizwa uchafu unaofa nywa na baathi ya watu. Nahawakemei hili.

  • @MussaMlali
    @MussaMlali 9 หลายเดือนก่อน

    Hongereni serikali kwahili

    • @AkimuWaziri
      @AkimuWaziri 9 หลายเดือนก่อน

      Waambie waache zambi

  • @MussaRamadhan-v2c
    @MussaRamadhan-v2c 9 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭

  • @Fetymchuma
    @Fetymchuma 9 หลายเดือนก่อน

    We mpuuz mambo ya siasa yameingiaje hapo,halafu hzo ni fedha zetu hzo acheni kujizimixha data

  • @IddyMhampi
    @IddyMhampi 9 หลายเดือนก่อน

    Tuwasaidie ndugu zetu jaman

  • @SamirPeter-t4u
    @SamirPeter-t4u 9 หลายเดือนก่อน

    Mda huo mafuriko yanatokea ccm ilikua na mkutano huko au ilikuaje maana sjaelewa pia wenzetu wa rufiji polen sana

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 9 หลายเดือนก่อน

    Helkopita za uokozi hatuzioni vipi?

  • @ArfredGilbert
    @ArfredGilbert 9 หลายเดือนก่อน

    Apo serekari mmeshaona kuwa apafai kabisa kwa kuishi watu tena kwaiyo muwasaidie Ili wapate makazi mengine sio apo tena Leo ni ivyo Kesho je mwaka huu ni ivyo je mwakani je akuna anaye jua

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 9 หลายเดือนก่อน

    Hizi nikodi zawananchi sio za ccm

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 9 หลายเดือนก่อน

    Warete kinamibnyinyi ndyo serekari fanyeni kazi yenu. Mnakaxi ya kujaza matumbo yenu chefuuuuuu.

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i 9 หลายเดือนก่อน +1

    KUANGALIA NA KUTIZAMA NDIO MNASEMA NINI? . VIPELEKWE VYOMBO KUOKOWA WATU. WACHENI POROJO

  • @AkimuWaziri
    @AkimuWaziri 9 หลายเดือนก่อน

    Acheni zambi. Ndiomtapona.