UUNGU ULETAO MALAIKA KWA WANADAMU. (PART ONE).

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 89

  • @lanimadato7624
    @lanimadato7624 3 ปีที่แล้ว +1

    Mariam Benjamin njpo katari doha haleluyaa

  • @neemahamisi4302
    @neemahamisi4302 4 ปีที่แล้ว +6

    Baba mi nakuelewa sijawahi kusikia injili Kama hii imenibadilisha maisha yangu I love you wewe ni mtume na nabii wa nyakati za Leo mafuta yako ni ya tofauti na wengine
    Mungu yuko nawe uishi milele amen

  • @kisukumamahubiri6229
    @kisukumamahubiri6229 2 ปีที่แล้ว

    Dhuu, Apostle Mtalemwa Ubarikiwe sana kwa Neno Zuri,, Mungu Akuinue zaidi,,

  • @enocklazaro8175
    @enocklazaro8175 4 ปีที่แล้ว +1

    Yesu kristo anakaa ndani yako nimekupenda chief kwa sababu kazi yako inanifanya niwe karibu na Mungu kwa kupitia Yesu kristo. Naomba Mungu azidi kukupa neema na aitunze medali yako baada ya kumaliza hii kazi uipate. ( wale wanaowaongoza wengi katika haki watang'aa kama nyota ) nawe usiache kutufundisha na sisi hatuachi kumsikia Mungu anayekutumia

  • @yvonnemashuda3004
    @yvonnemashuda3004 4 ปีที่แล้ว +2

    Tuache kuwaza mabaya tuwe na mawazo ya kimalaika..umegusa kila mahali Apostle.. Kifamilia,kazini,kwa wapendwa wetu...this is powerful...🙏🙏🙏

  • @الحمدلله-ذ7م7د
    @الحمدلله-ذ7م7د 2 ปีที่แล้ว

    Ameeen ameeeeen pastor GOD BLESSED🛐🛐🙏🙏🙏🙏🙏

  • @neemandemno6748
    @neemandemno6748 4 ปีที่แล้ว +5

    Thank you Chief najifunza sana kwa mafundisho yako. Bless u

  • @suzanfusi3877
    @suzanfusi3877 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Baba mafundisho yako yananibariki sana ,Mungu azidi kuinua huduma yako

  • @mathiasmulwa876
    @mathiasmulwa876 4 ปีที่แล้ว

    Hallelujah God bless you mjungaji

  • @leerimoy5477
    @leerimoy5477 4 ปีที่แล้ว

    POWERFUL. Kuna Wakati nasikiliza ili somo najiulizaa ! Since I was born To now ni mara ngapi nimepishana na Malaika Wangu... mara ngapi Nimewakwepaaa kwa kujiona boraaa kabisaaa .. ni mara Ngapi walinisaidia pasipo mimi Kujua na nikaona ni mimi nimefanya!! 🙌🙌🙌 Yaan Jmn Mungu Nisaidie. Sichoki kusikiliza hili somo. Maana Sio Somo Tu Bali Ni ufunuo wa Khali Ya Juu. Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu

  • @annekangaikathuni9523
    @annekangaikathuni9523 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂💯..kabisa ...malaika wapo kwa ajiri yangu mimi wanisaidie Amen..📢📢📢📢

  • @hihh5483
    @hihh5483 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wa mbiguni akanawewe sikuzote mafundisho yako yananibariki sana

  • @witnekidoti6160
    @witnekidoti6160 3 ปีที่แล้ว

    Unanijenga sana kiimani Mungu azidi kukutumia mtumishi tuzidi kupona

  • @joannelson1137
    @joannelson1137 2 ปีที่แล้ว +1

    Jaman mind yangu imepona thanks Dad❤️❤️🙏🙏

  • @wahdamiraji6549
    @wahdamiraji6549 2 ปีที่แล้ว

    Amin pastor nasikiliza kutoka mbagala kuu

  • @dilurai4204
    @dilurai4204 3 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @BeatrizMushi
    @BeatrizMushi 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤kweli mtumishiiwengi tuko hivyo Hata mimi i tuombee

  • @janew6400
    @janew6400 3 ปีที่แล้ว

    Mimi mkenya na nimefaidika sana na mahubiri yako mtumishi.Mungu akubariki sana

  • @winnievienda1623
    @winnievienda1623 3 ปีที่แล้ว

    AMEN

  • @careencharlescharles9749
    @careencharlescharles9749 4 ปีที่แล้ว

    asante mtumishi kunamuda nakwama kiroho ila nikikusikiliza nakua vizuri

  • @everwasike655
    @everwasike655 3 ปีที่แล้ว

    Amen and amen

  • @user-gv3si2mv3l
    @user-gv3si2mv3l ปีที่แล้ว

    Amen apostle

  • @jmusic7132
    @jmusic7132 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen Apostle, nakuelewa sana Baba.

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafundisho mazr nimefurahi sana

  • @vicentkilonzo924
    @vicentkilonzo924 2 ปีที่แล้ว

    Ooh yes

  • @doctorzero-dj5xg
    @doctorzero-dj5xg 4 ปีที่แล้ว

    Kwa somo hili ! Naomba liwafikie wooote waliokoka

  • @clairemuchai623
    @clairemuchai623 3 ปีที่แล้ว

    Aamen

  • @priscajackson7085
    @priscajackson7085 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen Chief, somo zuri Sana. Mungu aendelee kukutumia tupate kupona.

  • @marinemodest1798
    @marinemodest1798 4 ปีที่แล้ว

    amen barikiwa mtumishi wa MUNGU nabarikiwa kwa mafundisho yako thabiti

  • @sifunimbwambo3223
    @sifunimbwambo3223 4 ปีที่แล้ว +1

    Your blessed Man of God ..That is the true knowledge of Spirit of God

  • @birih8801
    @birih8801 2 ปีที่แล้ว

    Very powerful 🙏

  • @sophykedogo9738
    @sophykedogo9738 2 ปีที่แล้ว

    Thanks I'm blessed sophy from Kenya

  • @geofreymwijage8823
    @geofreymwijage8823 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni komboa komboa

  • @anaellamtalemwa3132
    @anaellamtalemwa3132 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen Chief, indeed ur teachings Ni delivarance tosha. Mungu azidi kukutumia mtumishi wa Mungu. I love you Dad Chief.

  • @godianmande4920
    @godianmande4920 4 ปีที่แล้ว +2

    Thanks Chief Apostle,may God bless you more..

  • @issackphilemon8427
    @issackphilemon8427 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubar sana

  • @deborahdelly4532
    @deborahdelly4532 3 ปีที่แล้ว

    Powerful God bless you Apostle

  • @fridebardastephen7235
    @fridebardastephen7235 4 ปีที่แล้ว

    Dah nimecheka sana eti pepo wanao angukaga kanisani ni matahira,mm comedy za mzee hunisahaulisha mengi huganga moyo wangu.Ahsante chief kwamafundisho mazur sana.pepo wengi wanatutesa wamevamia akili zetu na ufahamu wetu.

  • @heriethkisese1407
    @heriethkisese1407 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa Apostle nakuwelewaga sana baba

  • @ngamaasaurio1752
    @ngamaasaurio1752 4 ปีที่แล้ว

    Asante Chief kwa kunifungua akili nimepokea some wisdom through this teaching Mungu akubariki sana

  • @rehemawilliam3582
    @rehemawilliam3582 4 ปีที่แล้ว

    Asante chief Mungu azidi kukubariki na kukuongezea hekima. Umenifungua ufaham sasa nimepata kuelewa

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 ปีที่แล้ว

    Uuungu!

  • @aishakilimba5938
    @aishakilimba5938 4 ปีที่แล้ว

    Injili hii sahihi Sana God bless you karibu CAG majohe

  • @lucymhina4510
    @lucymhina4510 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie

  • @evelynjohn2706
    @evelynjohn2706 4 ปีที่แล้ว

    Asante Apostle

  • @framsirona
    @framsirona 4 ปีที่แล้ว +1

    AMEN AND AMEN AND AMEN

  • @joelsagide9607
    @joelsagide9607 ปีที่แล้ว

    Asante kwa kunitoa ujinga wa kishetani.

  • @rosemarylamsy3230
    @rosemarylamsy3230 4 ปีที่แล้ว

    Ndiyo maana nakupenda,Mungu anirehemu, ubarikiwe sana

  • @jacquelinenyange5549
    @jacquelinenyange5549 4 ปีที่แล้ว

    Thank you Apostle, najifunza sana kupitia mafundisho yako...God Bless you

  • @evarinenathaniel9838
    @evarinenathaniel9838 3 ปีที่แล้ว

    Ameen.

  • @nojenimbwile5664
    @nojenimbwile5664 4 ปีที่แล้ว

    Asante Apostle God bless you man of God sema tupone

  • @lizbethsanga9260
    @lizbethsanga9260 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sana Aposto

  • @lusiananchimbi6130
    @lusiananchimbi6130 4 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukutumia

  • @robertmusee1680
    @robertmusee1680 4 ปีที่แล้ว

    Amen Ameeeeeen connecting from Switzerland shalom Chief

  • @mwilemakala5578
    @mwilemakala5578 4 ปีที่แล้ว +1

    Bless you dady

  • @tuzompwaga9947
    @tuzompwaga9947 4 ปีที่แล้ว

    Unanibariki Sana mtumishi,Mungu azidi kukuinua

  • @loveness1237
    @loveness1237 4 ปีที่แล้ว

    Oooh yeeees

  • @julianayoramu9780
    @julianayoramu9780 4 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed chief Mtalemwa

  • @putgmedia
    @putgmedia 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU nibadilidshe mawazo katika jina la YESU.

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 4 ปีที่แล้ว

    nimebarikiwa more ,mm nimekuwa mpya

  • @japhetmkumbwa7914
    @japhetmkumbwa7914 4 ปีที่แล้ว

    Asante yesu iko Sikh nifike Kwa apostle yesu tend a kwangu

  • @vailethywalter5674
    @vailethywalter5674 4 ปีที่แล้ว

    Amen chief ntabadilika.

  • @oscarmillanzi1292
    @oscarmillanzi1292 4 ปีที่แล้ว

    Dady hongera na Mungu akujaze maono uzd kutufunulia yatufundishayo

  • @deborahndosi9138
    @deborahndosi9138 4 ปีที่แล้ว +1

    Eeh Mungu wa Major one tusaidie tuwe na roho ya uungu

  • @Ahmedsalimu-p6v
    @Ahmedsalimu-p6v 4 ปีที่แล้ว +2

    Chief wa watu!

  • @succesandblessed7600
    @succesandblessed7600 4 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana apostle

  • @charlesjoel2450
    @charlesjoel2450 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mtumishi

  • @mropeamadeus5445
    @mropeamadeus5445 4 ปีที่แล้ว +2

    UUNGU

    • @bulolebukombe3644
      @bulolebukombe3644 4 ปีที่แล้ว +1

      Chief Mungu akujalie maisha marefu yenye afya njema na mafanikio mafundisho yako yanagonga mioyo kwa kweli Mungu yuko pamoja nawe

  • @janekuloba2506
    @janekuloba2506 4 ปีที่แล้ว

    glory to God yani umenifungua saaana mtumishi nilikuwa nikiomba kila Mara nahisi nikama kuna mtu kwenye nyumba naishia kugemea ahsante mtumishi kwani umenifungua macho

  • @leonbwenda1945
    @leonbwenda1945 4 ปีที่แล้ว

    Amen chief

  • @jamesmwangoka6942
    @jamesmwangoka6942 4 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @lenaambros7372
    @lenaambros7372 4 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa mpaka nafurika upako..

  • @gabriellamsanjo5731
    @gabriellamsanjo5731 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe chief

  • @aminanatu367
    @aminanatu367 4 ปีที่แล้ว

    Bwana asifiwe wapendwa

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 ปีที่แล้ว

    Kufeli mtihani unatangazwa kila mahali.

  • @hillash74
    @hillash74 4 ปีที่แล้ว

    Thank you Son of Major 1, Chief Apostle Mtalemwa 10G+

  • @hajimnzava3423
    @hajimnzava3423 4 ปีที่แล้ว

    Mtalemwa ukosahihi kabisa injili hii haijatiwa maji

  • @careencharlescharles9749
    @careencharlescharles9749 4 ปีที่แล้ว

    kwakweli YESU alivyonitokea na malaika walinishika miguu hadi damilia iliniona muongo

  • @bahatinella4074
    @bahatinella4074 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 4 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @deborahndosi9138
    @deborahndosi9138 4 ปีที่แล้ว +1

    Mawazo ya kimalaikamalaika

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa mno

  • @yusuphkayoka5452
    @yusuphkayoka5452 4 ปีที่แล้ว +1

    Naogopa hata kukusifia,naomba Mungu aniconnect na nguvu ya utendaji,Kwa sababu Mungu amekutuma basi wapo walioandaliwa kubadilishwa na mafundisho yako,Mimi ni mmoja ambaye mafuta yako yanatenda kazi kwangu najifungamanisha na kuruhusu akili kukubali kiroho

  • @barakankubile2329
    @barakankubile2329 4 ปีที่แล้ว +1

    Asee kwa somo hili wewe ni fimbo ya shetani ,MUNGU AKULINDE ZAIDI.

  • @penuelfullsalvationchurch3350
    @penuelfullsalvationchurch3350 3 ปีที่แล้ว

    Blssd bro ...ww n zaid y mtumeee ushawahi kuwa mwl? Nn

  • @ellymusa5598
    @ellymusa5598 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen Apostle

  • @haningtonmusah742
    @haningtonmusah742 4 ปีที่แล้ว

    amen

  • @Ahmedsalimu-p6v
    @Ahmedsalimu-p6v 4 ปีที่แล้ว +1

    Chief wa
    watu!