yani siamini macho yangu yamini ninacho kiona tena sio siri mimi nayeye hatupo pamoja moyo ushakubali machungu tayari nimezamia kwenye jonzi bora tu ninywe sumu nife nizikwe niache kutoa chozi sitamani tena kua na mpenzi tena nishachoka kutendwa mengine siwezi kasema sitamani tena kua na mpenzi tena nishachoka kutendwa mengine siwezi kasema aah NISIULIZWE NISIULIZWE
Si nilikuwa nimekonda Ona sasa nanenepa// Uliniacha na kidonda mpaka kovu limeshakauka// Hayafanani ya leo sio ya jana Et mi na we hatuendani, sawa sasa kiko wapi bana// Nilie nae anajua kudeka Yan jikon ye fundi wa kupika,, Na show zake za kimataifa Ni mzuri nampa masifa// Ulijifanya hata sms zangu hujbu Sawa bwana wanavyokuchezea unawahesabu//
Ohoooo tuongee hiii instrument bro 🤲
yani siamini macho yangu yamini ninacho kiona
tena sio siri mimi nayeye hatupo pamoja
moyo ushakubali machungu tayari nimezamia kwenye jonzi bora tu ninywe sumu nife nizikwe niache kutoa chozi
sitamani tena kua na mpenzi tena
nishachoka kutendwa mengine siwezi kasema
sitamani tena kua na mpenzi tena
nishachoka kutendwa mengine siwezi kasema
aah NISIULIZWE
NISIULIZWE
Si nilikuwa nimekonda Ona sasa nanenepa//
Uliniacha na kidonda mpaka kovu limeshakauka//
Hayafanani ya leo sio ya jana
Et mi na we hatuendani, sawa sasa kiko wapi bana//
Nilie nae anajua kudeka
Yan jikon ye fundi wa kupika,,
Na show zake za kimataifa
Ni mzuri nampa masifa//
Ulijifanya hata sms zangu hujbu
Sawa bwana wanavyokuchezea unawahesabu//