ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Move kalii san team KIMUNGU 🎉❤
Ebwana bonge la movie 🎉🎉🎉🎉
Sema ikaz Iko poa kila eneo mmeweza 💪
Ya moto San 🔥🔥🔥🔥
Ghost house ya 🔥🔥🔥🔥 kwasiku tupeni vipande 2 mna tubania
Dah hamjawahi kutuangusha, kazi iko 🔥 sana…Mnaupiga mwingi team Pasar Films🙌🏼
Jamaa anashirk balaa😂😂😂😂 Ukimchek kanzu Kubwa kumbe🙌🙌
Hii movie inafundisho Kubwa sana.....Ndoa za kulazimisha sio nzuri kabisa, Mjomba apunguze njaa ona Mtoto anavyoteseka😰😰
amjawai kutuangusha pasar films🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Noma sanaa
🔥🔥🔥🔥 movie kaliiii 🙌🏽
Muhudumu ni wa bar gani uyu mnipe maelekezo jaman nimepapenda ofisini kwake
Mmh hii movie kali jaman❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Movie Kali 🔥🔥 sema mnatubania wekeni hata vitatu Kwa siku mnatuweka roho juu🎉
mtumeee kaona nn? uyuuuu..mwendelezo please...💥💥💯💯💯
Wakwanza mim apa nipe like za Aisha ❤
Tondoke 🔥 🔥 🔥
🔥🔥🔥🔥🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Uyu jamaa mbona anaonekana kama sio anaigiza bali ni mtu wa shirki kweli😂😂😂😂
Kaz iko vizuri mwendezo tunataka❤❤❤❤
%100 Kibingwa 💥
Wakabia juu tujuane 😂😂😂😂
😂😂😂😂omba isikukute ushakunywa bia za watu afu mfukoni patupu
Dah imeishia patamu sana, kaona nini huyu Bi Aisha😅😅😅
Mh kil mov kalii nyie hatar from🇨🇩🇨🇩🇨🇩like zangu❤🎉 please
Mjomba jau mjomba fungu la kumi sema mjomba pale ametumia mabavu 😂😂😂😂
Hii kimungu kawa mlevi duh😂😂😂
Sheikh umekosa mpandisha mkeo pikipiki mpaka wamtembeza kama mboneke 😅
Sasa sheikh kupendeza na kula mbona haviingiliani 😅😅
Can’t understand the language but this movie seems 🔥🔥 kindly put subtitles for your fans who doesn’t understand swahili…Much love from South Africa❤️❤️