SIRI IMEFICHUKA KINACHOENDELEA CHADEMA KADA MWENGINE AFUNGUKA UCHAGUZI/MTOTO WA MBOWE KUPATA KURA 45

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 วันที่ผ่านมา +5

    Haikubaliki HIKI chama Cha ukoo

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni วันที่ผ่านมา +1

    Mama mwezangu polesana tumepigania chadema lakini chama cha familia bila lisu hatuvuki

  • @ShadrackSumila
    @ShadrackSumila วันที่ผ่านมา +3

    Jiungeni CCM tuu,acheni kupoteza muda na maugomvi yenu ya kipumbavu

    • @SolamhelaKulwa
      @SolamhelaKulwa วันที่ผ่านมา

      Pumabavu mama yako kumanyoko.

  • @HassanMasoud-sv4ln
    @HassanMasoud-sv4ln วันที่ผ่านมา +2

    Chadema bado sana kushika dola,ccm iendelee tuu

  • @danielgasaya6720
    @danielgasaya6720 วันที่ผ่านมา +3

    Team Mbowe wanatuharibia Chama waondoke

  • @chukialberto4659
    @chukialberto4659 วันที่ผ่านมา +2

    Hiyo ni tela picha kamili litaanza uchaguzi wa Viongozi wandamizi mwakani.

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 วันที่ผ่านมา +2

    Wajanja wajanja alaf huyu mbowe atamaliza vibaya saana ni kiongoz ambaye ataishia vibaya saaana

  • @DeusdeditKapenegele-hj8qy
    @DeusdeditKapenegele-hj8qy วันที่ผ่านมา +3

    Hakika hapo CHADEMA hakuna Demokrasia

  • @omarinyahegs4539
    @omarinyahegs4539 วันที่ผ่านมา +1

    Wanatafuta kura za Ditetata Mbowe lakini watashindwa tu

  • @josephmpigauzi8402
    @josephmpigauzi8402 วันที่ผ่านมา

    Sasa tukusaidiaje si umeamus kukifia chama komaa kamanda vinginevyo karibu chama kubwa 😂

  • @muarabually
    @muarabually 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    toka nenda ccm nyie ndio wanafiki vibaraka mboe 5 tena

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula วันที่ผ่านมา

    Wanaandaa watu wa kumpigia kura mboe mbana hili liko wazi

  • @VisentJohn-g2o
    @VisentJohn-g2o วันที่ผ่านมา +2

    KAZI mnayo hicho sio chama nikikundi cha wahuni

  • @jafetzani8568
    @jafetzani8568 วันที่ผ่านมา +3

    Si mnasema mwamba tuvushe sasa ndiyo mnavushwa hivyo

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka วันที่ผ่านมา +1

    Kwanini usiwafuate viongozi inbox badala ya kuongea mitandaoni

  • @josephatkajange8714
    @josephatkajange8714 วันที่ผ่านมา +1

    Chadema is finished! My Godness!

  • @nestor384
    @nestor384 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunapaswa kwenda na Lissu

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 วันที่ผ่านมา +1

    Chadema bila lissu hakuna mabadiliko ya kweli .

    • @MaguguStore
      @MaguguStore วันที่ผ่านมา

      Ata Lissu ni muongo muongo sana , mwezi uliopita katuaminisha anaenda kufungua kesi zidi ya tigo, kaenda kwa wazungu wake ( mume wake) karudi hapa no majibu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 วันที่ผ่านมา

    Na bado mtaongea yote mnamtukana sanaaaa Ccm mtagombana sanaaaa ilaana inawatembelea Chadema ni mali ya Mbowe na kikundi chake Ccm itaendelea kupeta daima kaeni na Chama chenu Chadema Saccoss

  • @HijaSalimu
    @HijaSalimu 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakweli chama cha Watani

  • @HijaSalimu
    @HijaSalimu 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtei uko wp Muwasisi

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 วันที่ผ่านมา

    Sasa mimi hapo nimeelewa kuwa mama amenyang`anywa tomge mdomoni kwa nini mama alalamike kama Msingwa vile. Mama wacha nikuulize kwani wewe sio Shimboni mangi ? Basi kama sio basi kazi unayo kwa sababu familia kwanza muhimu mama yangu wewe komaa kamanda

  • @Alex_Anania
    @Alex_Anania วันที่ผ่านมา

    Chadema sio chama Cha wananchi Bali Mali ya MTU Binafsi.Mtu huyo anajulikana.

  • @MaguguStore
    @MaguguStore วันที่ผ่านมา

    Hawawez shika dola , wataongoza dola kwa X

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 วันที่ผ่านมา +1

    CHADEMA mna kazi ya kuondoa Umbowembowe kwenye chama hicho. Kuna ubabe na ubinafsi wenye kiwango cha PhD ila inekuwa kama siri😂😂😂

    • @MaguguStore
      @MaguguStore วันที่ผ่านมา

      Chadema si chama ni wapiga diliiiii.....