Jamani sarikali haijamsikiauyu jamaa ikamtia ndani huyu jamaa avuruga watu Imani zao hafai afanya mskiti TAWI la chama Cha siasa .Kwani asende yasema hayo mkutani Kwa chama akipendacho
MASHEIKH WENGI BADO HAWAJAITOSHELEZA JAMII NA KUIFAHAMISHA SULUHISHO LA MAISHA YAO ,VIPI INAVYOPATIKANA KWENYE UISLAM. AMA UISLAM KUKAMILISHA MFUMO KAMILI WA MAISHA.
Umeshindwa Kumueleza ukweli. Mtume ameshasema Kuwa huo ni Ukhawaarij. unampamba pamba ya nn! kumbe hata ww pia ni mtu wa siasa Kwa sabb umesema watu wakapige Kura.Uislam upo Mbali na Hizo Mambo za kupiga Kura na Demkrasia.
SHEIKH UMEMTOSHELEZA. LASHINDWA HATA NA WAKRISTO WANAOOMBA KILA SIKU UFALME WA MUNGU UJE, MAPENZI YAKE YAFANYIKE HAPA DUNIANI KAMA ILIVYO HUKO MBINGUNI. HUYU BABU KAPITUKA MIPAKA.
Huyo mwehu mno, hivi anataka kutuambia hata yeye nyumbani kwake mke wake na watoto wake hawambii chochote, wanafanya wanacho taka, huyo ni mwehu na sio sheik
HII DARSA AU KAMPENI YA SIASA😂😂😂, KASHANUNULIWA AU 😂. KAZI IPO , YA KUMWITA MAGU MUNGU YALISHAPITA MUNGU WAO KAFA. SASA AIBU MUISLAMU ANAJIITA SHEKH SASA YAANZA TENA KWA NJIA MPYA 😂😂😂
Kuna watu wanajivisha joho la usheghe ila kichwani hamna kitu pia na ufahamu mbovu sana!!!!!yule kilanza na hapo alipokua anasema sijui watu walikuwepo au kajifungia chumbani 😂😂😂😂 hamna kitu hapo
Amekosea. Amepandwa na jazba, akasahau yeye ndio mwenye kunasihi watu. Alipaswa kufafanua namna dola ya kiislam itaondoa uchafu huu. Na aliendeshwa na malengo ya kisiasa, akataka kujifanya kapandwa na jazba ili achomekee kuwa huyu mwinyi Mbaya lakini kafanya mazuri, apate anafasi ampambe na kumsifu na kuwaponda wapinzani. Hata mnichukie ndo nshasema😂
@all MAADAM ANAITAKI KUWA DOLA YA KIISLAM (KHILAFAH) ISISIMAME HALI YAKUWA NI FARADHI BASI HUYO NI MNAFIKI KATIKA IMANI YAKE NA KWA ITIKADI HIYO TAYARI NI MURTADDI AMESHAKUFURU TAYARI NI KAFIR TAYARI:
Sasa ivi kuna Propaganda zinaenezwa kwa miskiti na wanambiwa waumini kuwa hakuna uhalali wa kupigania Jihadi yani mtu anakuambia kupigania iyo Jihadi ni Ugaidi dah nilichoka aisee yani Nimuislamu mtu anesema ayo maneno
Wewe mzungumzaji ndio unauelewa mdogo,na kama nikupenda sifa basi wewe ndio mpenda sifa. Na hao waliokuwekea ww camera waambie wakusubir mpaka uwe na uelewa mzur.
Naam mazungumzo tumeyasikia,, ndio ukweli kwa ufahamu wake. hajaonges baya lolooote,,,, dola ya kiislam dola ya kiislam,,,!! wapi kuna dola ya kiislam ktk ulimwengu huuu??? kwa waislam wepi??? ha wanojiita masufi.. mawahabi .. ansarsuuna.. isis... alshababi.. Islamic state na mengineyo mfano wa hayoo ??? waaapi sheikh? ? labda dola ya kiislam za kinaafiq .. uchawi .. uhaasid na fitna .. hilo ndo wanaliweza baraaabara 😮😮😮. Dola ya kiislam si mashara hata kidogo,,,!! ebu jaribu tu kuanzisha jumuiya tu kwa misikiti yetu huku tunakoishi ndo utauona unaafiq kwa wanojiita waislam ukoje.. haya mambo mnayajua yote majitia upofu tu. Juwa imesemwa kuwa "hatobadilisha kitu mpaka mtakapo acha yalio kwa nafsi zenu"
I lov u sheikh..u r handsome machallaah ❤
Mashaallaah
❤❤
جزاك الله خيرا 😊
Kuna watu wanaona wamesoma na kujiita mashegh ila ukikaa ukiwasikiliza:: machozi yatakutoka wallah,vilanza vilanza,vilanza 😢😢😢
Jamani sarikali haijamsikiauyu jamaa ikamtia ndani huyu jamaa avuruga watu Imani zao hafai afanya mskiti TAWI la chama Cha siasa .Kwani asende yasema hayo mkutani Kwa chama akipendacho
Akapimwe akili Huyu kama Bachu 😂
Ndio nimpenda sifa huenda anatetea ugari
Huenda ila amekosea saana kuzungumzia dora
Shekh haji tumesubir mjadal wako na mohd bachu
Ukimsikiliza tu utajua hana uwezo wakutunga kitabu kweli asishughulishe watu😂😂😂😂😂
MASHEIKH WENGI BADO HAWAJAITOSHELEZA JAMII NA KUIFAHAMISHA SULUHISHO LA MAISHA YAO ,VIPI INAVYOPATIKANA KWENYE UISLAM.
AMA UISLAM KUKAMILISHA MFUMO KAMILI WA MAISHA.
Mbaya yy na Kila mtu amuona mbaya ,akatoe shahadia upya
Huyu Shekhe kaongea Ukweli wa Unafiq walionao waislam nikweli tupu
Umeshindwa Kumueleza ukweli.
Mtume ameshasema Kuwa huo ni Ukhawaarij.
unampamba pamba ya nn!
kumbe hata ww pia ni mtu wa siasa Kwa sabb umesema watu wakapige Kura.Uislam upo Mbali na Hizo Mambo za kupiga Kura na Demkrasia.
Khs shekhe upepo hii uongeaji wake haimanishi yy ni mpemba kuwa huyu anajita shekhe awe mpemba lafidhi hizi unguja zipo kibao au hujatembea
SHEIKH UMEMTOSHELEZA. LASHINDWA HATA NA WAKRISTO WANAOOMBA KILA SIKU UFALME WA MUNGU UJE, MAPENZI YAKE YAFANYIKE HAPA DUNIANI KAMA ILIVYO HUKO MBINGUNI. HUYU BABU KAPITUKA MIPAKA.
Huyo mwehu mno, hivi anataka kutuambia hata yeye nyumbani kwake mke wake na watoto wake hawambii chochote, wanafanya wanacho taka, huyo ni mwehu na sio sheik
HATA MIMI SIPO MRENGO WOWOTE WA SIASA KI UKWELI SHEHE MROPOKAJI HANA JIPYA NI TAMAA ZAKE MHH NIMEUMIA SANA NA MATAMKO YAKE MAOVU MNOO
Mashekh achen ujinga wamijadala na sifa
Anataka ateuliwe ukazi huyo hahaha 😂😂😂
Huyu sie kabisa, matamanio ya Nafsi yake ndio inayompelekea awe ivyo
Asituambie sisi ni wabaya yeye ndio mbaya asiejielewa
Huyo ni CCM hana anachoongea cha haki hata kimoja
HII DARSA AU KAMPENI YA SIASA😂😂😂, KASHANUNULIWA AU 😂. KAZI IPO , YA KUMWITA MAGU MUNGU YALISHAPITA MUNGU WAO KAFA. SASA AIBU MUISLAMU ANAJIITA SHEKH SASA YAANZA TENA KWA NJIA MPYA 😂😂😂
huyu shekh anajazba sana mimi namfahamu vizuri
Eti gadaf wamempindua 😂😂😂😂 ( usizungumzie masuala ya libya wakati huna unachokijua) kilanza kile wala hana sifa usheghe
Kuna watu wanajivisha joho la usheghe ila kichwani hamna kitu pia na ufahamu mbovu sana!!!!!yule kilanza na hapo alipokua anasema sijui watu walikuwepo au kajifungia chumbani 😂😂😂😂 hamna kitu hapo
Huyu mtu ni shushu kibaraka na ajipendekeza halafu katumwa.
Sio shehe huyu ni mjinga tu
Huyo sheikh anachanganya din na siasa bora kukaa kimya ikiwa maneno yameisha
Haji upepo hujamuelew, unajiita sheikh lakn unashijdwa kumfahm
Amekosea. Amepandwa na jazba, akasahau yeye ndio mwenye kunasihi watu. Alipaswa kufafanua namna dola ya kiislam itaondoa uchafu huu. Na aliendeshwa na malengo ya kisiasa, akataka kujifanya kapandwa na jazba ili achomekee kuwa huyu mwinyi Mbaya lakini kafanya mazuri, apate anafasi ampambe na kumsifu na kuwaponda wapinzani. Hata mnichukie ndo nshasema😂
@all
MAADAM ANAITAKI KUWA DOLA YA KIISLAM (KHILAFAH) ISISIMAME HALI YAKUWA NI FARADHI BASI HUYO NI MNAFIKI KATIKA IMANI YAKE NA KWA ITIKADI HIYO TAYARI NI MURTADDI AMESHAKUFURU TAYARI NI KAFIR TAYARI:
Huyo ni shekh wa makondeko ulimtia mtoto wetu up0fu wa jicho kwa kupiga bakora
Hao mashekhe ubwabwa hao ilimradi tu Sifia serekali hata ifanye nn mkono uende kinywani
Ashashiba yule 😂😂😂😂
KHASARA HIZO ZA KUWA NA KICHWA KIKUBWA BILA AKILI
Democracy na mabida yote sawa tu
@@mashaurimvungi2232 inaonekana hizo nadhari 2 zote huzijui,nikama huyo mtu ni jazba na ushabiki tu.
Yule shekh anaonekana ni CCM damu alikuwa anatafuta njia tu ili apige kampeni zako ashindwe na Alegre kwa Jina la yesu mende mkubwa
Sasa ivi kuna Propaganda zinaenezwa kwa miskiti na wanambiwa waumini kuwa hakuna uhalali wa kupigania Jihadi yani mtu anakuambia kupigania iyo Jihadi ni Ugaidi dah nilichoka aisee yani Nimuislamu mtu anesema ayo maneno
Wewe mzungumzaji ndio unauelewa mdogo,na kama nikupenda sifa basi wewe ndio mpenda sifa. Na hao waliokuwekea ww camera waambie wakusubir mpaka uwe na uelewa mzur.
Huyo ni mganga tapeli, yupo kinuni
Ni mtihani kweli
Anaitwaje?
@fahmiiidrisa5110
Wanamwita Mula yupo msikiti mmoja pale kinuni unaitwa msikiti ngumi.
@@mohdkombo3397hamna so msikiti ngumi huyu anapatikana mskiti wa muhajirina
Munakash lini vile 😅
munakasha upi
@darajanida muuliz upepo
Naam mazungumzo tumeyasikia,, ndio ukweli kwa ufahamu wake. hajaonges baya lolooote,,,, dola ya kiislam dola ya kiislam,,,!! wapi kuna dola ya kiislam ktk ulimwengu huuu??? kwa waislam wepi??? ha wanojiita masufi.. mawahabi .. ansarsuuna.. isis... alshababi.. Islamic state na mengineyo mfano wa hayoo ??? waaapi sheikh? ? labda dola ya kiislam za kinaafiq .. uchawi .. uhaasid na fitna .. hilo ndo wanaliweza baraaabara 😮😮😮. Dola ya kiislam si mashara hata kidogo,,,!! ebu jaribu tu kuanzisha jumuiya tu kwa misikiti yetu huku tunakoishi ndo utauona unaafiq kwa wanojiita waislam ukoje.. haya mambo mnayajua yote majitia upofu tu. Juwa imesemwa kuwa "hatobadilisha kitu mpaka mtakapo acha yalio kwa nafsi zenu"
Sasa uislamu una haja ya kuwepo au usiwepo?Ni yepi maoni yako?
Uislam uko mbaaali na hawa viumbe wanojiita waislam..
Ayo maneno mengene kuwen makin nayo yanawez kukutowen Katik uislam😊