Orodha Ya Wasanii Matajiri Wakubwa Tanzania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @mercije1135
    @mercije1135 7 ปีที่แล้ว

    Diamond juu💯💯👏🏽

  • @danielymlelwa5520
    @danielymlelwa5520 6 ปีที่แล้ว

    Mondi juu tena juu zaidi

  • @happygehamba9748
    @happygehamba9748 6 ปีที่แล้ว

    haya bhna hongera yao

  • @singlemother4936
    @singlemother4936 7 ปีที่แล้ว

    Dai 😍😍😍😍

    • @fesitoalex5701
      @fesitoalex5701 6 ปีที่แล้ว

      chamamy _me kiba fureshi inapendeza

  • @bakarihamisi7609
    @bakarihamisi7609 7 ปีที่แล้ว +4

    Nawe unamiliki Nini ndugu zangu Mali nyumba magari na Kila kitu tutaviacha hapa duniani kinacho takia Ni Sala na kumcha mungu

  • @oswardclassc4428
    @oswardclassc4428 7 ปีที่แล้ว

    mond juu

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 6 ปีที่แล้ว

    Sugu hayumo mweeeeeeee.ila wapo wengi jamani mmewaacha

  • @evancembuligwe1728
    @evancembuligwe1728 7 ปีที่แล้ว

    mond balaaaaa daaa

  • @kakasele1786
    @kakasele1786 7 ปีที่แล้ว +2

    achaga uongo hayo Maji ya jidee Mbona hatuyaon mtaan

  • @saidhussein4909
    @saidhussein4909 7 ปีที่แล้ว

    Kiba anamiliki nyumba kenya maeneo gani maana mi nipokenya sijawahi kusikia

  • @abbasmwacheeabbasmwachee5533
    @abbasmwacheeabbasmwachee5533 7 ปีที่แล้ว

    Alikiba ana nyumba bana😂😂

  • @pdepot1550
    @pdepot1550 6 ปีที่แล้ว

    acheni ushamba Mali nimapambo yadunia fanyeni vitu vya kumlizisha alla mnajaza majumba badal yakujenga nyumba zaibada mjiandalie keshoo yeni king kiba na nasibu nyie waislam nunueni ata misaafu mpeleke mckitin allah at walipa ibada muhimu

  • @kizablack7667
    @kizablack7667 7 ปีที่แล้ว

    Mond ahana mpinzani kabisa atazadi kuwa acha mbali

  • @ramadhanikig6844
    @ramadhanikig6844 7 ปีที่แล้ว

    sindelela hafai kuwemo humo

  • @dianafrancis9130
    @dianafrancis9130 7 ปีที่แล้ว +2

    Mondi juu

  • @fampelahmed4126
    @fampelahmed4126 6 ปีที่แล้ว

    Domdy juu....alafu wewe unamilikiii nn???...

  • @mohamedathuman2489
    @mohamedathuman2489 7 ปีที่แล้ว +2

    Chibudenga

  • @mrjaytzmkongoe6383
    @mrjaytzmkongoe6383 7 ปีที่แล้ว

    Pafyum skuiz kaacha kuuza mond

  • @neemajackson1832
    @neemajackson1832 7 ปีที่แล้ว

    mbona hamjasema mondi anamiliki karanga

  • @dankeymwaipalu254
    @dankeymwaipalu254 7 ปีที่แล้ว

    Sina uhakika na hiyo chat

  • @ramadhanikig6844
    @ramadhanikig6844 7 ปีที่แล้ว

    sasa sindelela atamfikialini mondi

    • @jackiechuwa4631
      @jackiechuwa4631 7 ปีที่แล้ว

      Ramadhani Kig izo mal zao ztakusaidia nin wew mlo mmja shda wnzio hta kmi kwa cku wnapta punguza ulimbukn usio na man

  • @simplissamba2831
    @simplissamba2831 7 ปีที่แล้ว

    mond anakaranga perfum duka la nguo n.

  • @HD-su8qx
    @HD-su8qx 7 ปีที่แล้ว

    Ingelikuwa vizuli tuwe tunaondoka nahuo wutajili wakati tunafariki apo kilamutu angitamani nakupigania wutajili wa Duniah.

    • @jackiechuwa4631
      @jackiechuwa4631 7 ปีที่แล้ว

      HD! wew ndo unajua mana ya comment nimekpenda bure

  • @hansohulomi5686
    @hansohulomi5686 6 ปีที่แล้ว

    Duuh ila mond mkl

  • @mickdon904
    @mickdon904 7 ปีที่แล้ว +1

    acha uongo

  • @brunoeladi698
    @brunoeladi698 7 ปีที่แล้ว +3

    Nyumba ya alikiba ni uongo

    • @jackiechuwa4631
      @jackiechuwa4631 7 ปีที่แล้ว

      Bruno Eladi yko ya ukwel iko wap cyo ajab wew mwenyew kula kulal mfyuuuu

    • @brunoeladi698
      @brunoeladi698 7 ปีที่แล้ว

      Jackie Chuwa unadhani mimi mwanamke kama wew

  • @heliernest8885
    @heliernest8885 7 ปีที่แล้ว

    MTU kutoa ngoja Kali sikumoja nae kawa mkali hahahahahahahaa

  • @ingitypes4778
    @ingitypes4778 7 ปีที่แล้ว

    mond ni ana heka hek nyingi xn lazm awe tajiri

  • @ebenezerkombe9804
    @ebenezerkombe9804 7 ปีที่แล้ว +2

    alikiba asingetakiwa ahusike hapo maskin huyo

    • @jackiechuwa4631
      @jackiechuwa4631 7 ปีที่แล้ว

      ebenezer kombe unauwezo wkumlish hta mlo mmja au hta kumnunulia boxer acha ushamba wa mawazo wew wa kibiti nin

    • @ebenezerkombe9804
      @ebenezerkombe9804 7 ปีที่แล้ว

      +Jackie Chuwa list ya fobres inataja watu kwa miradi shows biashara na vitu vinavyowaingizia ela axa alikiba kwa biashara gan anayofanya? kama kofia na tishrt tyu zimebuma mtaan acha ushabik maandaz

  • @ramadhanikig6844
    @ramadhanikig6844 7 ปีที่แล้ว

    sindelela hafai kuwemo humo