MHE. SELEMANI JAFO AJIBU MASWALI BUNGENI JUU YA SHERIA Na.8 YA MWAKA 2003
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ต.ค. 2024
- Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jaco (Mb) amebainisha hatua ambazo Serikali inazichukua katika kuhakikisha inaendelea kusimamia ushindani wa haki na kuwalinda watumiaji wa bidhaa na huduma hapa nchini kwa kutumda Sheria ya Ushindani Na.8 ya Mwaka 2003 ambayo inatarajiwa kufanyiwa marekebisho katika mkutano huu wa Bunge kwa Lego la kuongeza tija katika kumlinda mlaji.