😂😂😂😂 ndio ujinga ulio nao tangu lini silaha kama bunduki au panga ikashinda vita unajua kinachoshinda vita ni nini? Maana elimu ya mbinu ndio itakupa maarifa ya wapi silaha fulani itumike _wewe ni tahira tu katika utalaam huo na jesh la anology
Tanzania ya CCM imetuchelewesha sana haya mambo kule kwa wenzetu Israel, Marekani, Ujerumani, Japani ni mambo ya kawaida. Wanawake wanaendesha ndege za kivita na vifaru.
Tz yupo pilot mwanamke afu kingine usilete siasa kwenye mambo ya ulinzi na usalama, kesho hata akishinda uyo upinzani unaemtaka wewe jeshi ni lile lile, acheni kua negative kila sehemu sometimes si lazima kila kitu kiwe ni siasa
@@jamesmasanja8771 hiyo ni RPG wakat mm bado niko bokohalamu nilikua naitumia san tu ila namushukulu niliweza kujitoa kweny hcho kikos bila kuzulika ko nazungumuza kitu nachokifahamu wala sio ushabiki oky
Maj. Gen A. Kapinga God bless you
Huyo ndio mke ninaemataka Sasa.
Weeeeh wakienda kinda amani Congo, Awaendi flont hata
@@berthandollo3227 duu mwanamke lakini uko negative toward progress as wanawake
Haaaa
Wanawake tunaweza 😘
Kambini hapo KALUNDE TRAINING CENTRE TABORA.....ILOVE MY HOME
I pray whoever who watching this beautfully video gets successfuly before ending of2020😍😍😍
I pray u also do the same
Munira nicheki whatsapp no 0772715442
Ameen
Mkulugezi utendaji kivita JWTZ afredy kapinga heshima kwako mkuu wang!
Hongereni sana
Safi sana makamanda....
Good
Nikionaga hivi napata hasira kwel kwann wao waweze Mimi nisiweze I say napenda Sana kua jeshi Ila bahat TU cjaipata😐😐😐
Yap
RPG kupiga ni akili nyingi na kujiamini na nguvu pia maaana silaha yenyewe inanguvu Sana sana
Thea Saimon polen sana
Eeeh bna nakumbuka molali za hapa 😅😅😅
Umeona eh
Africa lini tutaanza kutengeneza silaa zetu wenyewe bila kununuwa kutoka uko kwawazungu
👏👏👏👏👏👏
Safi
ohoooo
Hawa ingii hedhi hao
Mmhhhh!
Tanzania hoyeeee
Mjomba hakunaga dada ktk jeshi hao wote ni wanajeshi dada ni idd Amini peke yake
Askari sio kupiga silaha hata chizi au mtu yoyote anaweza kupiga
_Askari mzuri ni mwenye mbinu za kushinda vita na anaweza kushinda vita
😂😂😂😂 ndio ujinga ulio nao tangu lini silaha kama bunduki au panga ikashinda vita unajua kinachoshinda vita ni nini? Maana elimu ya mbinu ndio itakupa maarifa ya wapi silaha fulani itumike
_wewe ni tahira tu katika utalaam huo na jesh la anology
Tanzania ya CCM imetuchelewesha sana haya mambo kule kwa wenzetu Israel, Marekani, Ujerumani, Japani ni mambo ya kawaida. Wanawake wanaendesha ndege za kivita na vifaru.
Zaliwa uko basi uzalendo 0
Simpendi anae toa mfano kwa watu weupe wakati wwe ni koloni lao wwe Tanzania coloni lako likwapi? Refusha upeo wako kidogo
Tz yupo pilot mwanamke afu kingine usilete siasa kwenye mambo ya ulinzi na usalama, kesho hata akishinda uyo upinzani unaemtaka wewe jeshi ni lile lile, acheni kua negative kila sehemu sometimes si lazima kila kitu kiwe ni siasa
"No short cut"
Naomba tumuone sura
Hilo nalo neno
Wanapig bomu mochwari
Yaa mwamke kama hauitakiji kuzaa endelea maana shughuli yake sio ndogo
Usikatishe watu tamaaaa
Wakiwezeshwa wanaweza
Nimbunutu zakuwatishawatu uchaguzi wapigakura wahogopetu 😂😂
Umaskini wako wa fikra
7ve manuva
Rakin bd inabidi wafanye mazoez ya kufany raia kam umetzama vzur unaona jins inavyoinuka bimaan kam agekua analenga kitu nigumu kukipata
Wewe unaijua hii aina ya siraha tabia yake? Au ni ushabiki tu, halafu andika vizuri au ludia darasa sawa
@@jamesmasanja8771 hiyo ni RPG wakat mm bado niko bokohalamu nilikua naitumia san tu ila namushukulu niliweza kujitoa kweny hcho kikos bila kuzulika ko nazungumuza kitu nachokifahamu wala sio ushabiki oky
Kwahivyo mnatutisha. Eti
Hii yote ili watu wachague CCM
We boya kweli
Maskini wa fikra
😂😂😂😂😂
Bongo movie
@Fatherjaytz movie iko mtwara
Sasa mkuu kwan hapo kuna ugumu gan et jaman! Sini kubonyeza tu kama unabadili chanel ya AZAM
🤣🤣
Bro rahisi kama unavyodhania
😂😂😂😂😂weee msengeee
Mmmmh wewe ni kiranja wa wasiojua hivyo ropoka tu
😂😂😂😥😥endelea kufikilia upuuzi😂😂😂😂
E
Lakini sihairuhusiwi kwa mwanamke kupiga mabomu? Coz inaharibu kizazi
Inaonekana huyo kashazaa tayari kaona alitumikie Taifa
Hahahahahahahah washazaa tayr
Alikwambia nani hayo ya kutozaa wewe uelewa wako ni zero na lazima utakuwa shabiki wa yanga au simba
Tizama tu hata profile yako inaonesha bado unakaa alipo olewa dada yako
@@shaurimtanda1128 Me sijamdisi nmeongea tuu naona unapaniki
Tukutane igombe
E