TUSIPOOMBA HAYA NDIYO MADHARA YATAKAYOIKUMBA KANDA YA ZIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 54

  • @shirimaanthoni95
    @shirimaanthoni95 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu atuepushe na ajali zote amen

  • @elinaessau6370
    @elinaessau6370 4 วันที่ผ่านมา +11

    Mungu uturehemu tusipatwe na majanga haya damu ya wanakanda ya ziwa haitakua miongoni mwa damu za kafara kwajina la Yesu nawaficha ndani ya damu yako

  • @DenisRukangula
    @DenisRukangula 3 วันที่ผ่านมา +6

    Ahsante kwa maelekezo
    Ila kwa Jina la Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai,Kanda ya ziwa mabaya hayataipata kamwe .. Mimi nipo hii Kanda kama mlinzi wa Kiungu.

  • @iluminatasagalani6791
    @iluminatasagalani6791 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa damu ya Yesu tunafuta ratiba ya uovu na mawakala wa shetani katika jina la Yesu

  • @joycelanda8987
    @joycelanda8987 3 วันที่ผ่านมา +4

    Tunafuta mabaya yote yasiikumbe Kanda ya ziwa Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth AMEN

  • @VedastusSwai
    @VedastusSwai 3 วันที่ผ่านมา +2

    EEE Mwenyezi MUNGU aturinde sisi wote 🙏🙏

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 3 วันที่ผ่านมา +2

    amina mtumishi mungu aepushe mbali

  • @slenderize9893
    @slenderize9893 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu uturehemu Watanzania

  • @paulaminzi114
    @paulaminzi114 3 วันที่ผ่านมา +3

    Damu ya Yesu ikanene mema juu yetu kwa jina la Yesu…tunakataaa kwa mamlaka ya Damu

  • @FortunataChambi
    @FortunataChambi 3 วันที่ผ่านมา +3

    Ewe mungu utuhepushie mabaya

  • @philemonoctavo
    @philemonoctavo 2 วันที่ผ่านมา

    MUNG uwasamehewanaoingiaumu haleluya tv alafuwanaandik ujing eeeh MUNG wasamehekwasababuhawajuw WAYATENDAYO🙏

  • @sophiamwita434
    @sophiamwita434 3 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu tusaidie

  • @AngelYona-d5h
    @AngelYona-d5h 4 วันที่ผ่านมา +3

    Bwana Yesu tunakuhitaji

  • @monirangerera7155
    @monirangerera7155 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu tuepushe na kil ajali ya aina yeyote Ile na utufunike na damu ya yesu nataka umauti na ronja roho ya umauti isitoke Kwa familia yangu Amen

  • @daudimhoha320
    @daudimhoha320 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu.azuie.mabaya.yasitokee.mungu.aunyoshe.mkono.wake.yasitokee.mabaya

  • @neemaprecious2308
    @neemaprecious2308 2 วันที่ผ่านมา +2

    Amen 🙌🙌🙌

  • @jackzodY3
    @jackzodY3 3 วันที่ผ่านมา +2

    Amina🙏🙏🙏

  • @EdithaJoseph-x6n
    @EdithaJoseph-x6n 3 วันที่ผ่านมา +3

    Ooh god tuepushe na ajari mbaya aliyoiona mtumishi wa mungu Jehova shama tutunze Kanda ya ziwa

    • @EgdiusSweetbat
      @EgdiusSweetbat 2 วันที่ผ่านมา

      Uyu wa pili kuna mwingine kaona ivyo😢😢

  • @mathewskilozi139
    @mathewskilozi139 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu atulinde

  • @magrethlimbe9153
    @magrethlimbe9153 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu tutetee amen

  • @MwaminiMlowe
    @MwaminiMlowe 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu aiepushe mipango yote ya adui iliyopangwa juu ya Kanda ya ziwa tunakataa ajari zote Mungu aingilie kati

  • @DravioMgulunde
    @DravioMgulunde 4 วันที่ผ่านมา +3

    Amen amen amen

  • @epidominick9777
    @epidominick9777 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu atunusuru jaman

  • @neemamkakata1574
    @neemamkakata1574 3 วันที่ผ่านมา +2

    We Cancel it in the name of Jesus..Oh Lord Have Mercy on us....May your Protection be upon Us
    Ee Bwna Yesu Tunaomba mkpno wako wenye nguvu utuatamie
    Jeshi la mbinguni be On Duty

  • @joelnyanja7234
    @joelnyanja7234 3 วันที่ผ่านมา +2

    We need God intervation

  • @elineochaula9122
    @elineochaula9122 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu tetea mwenyewe

  • @eliamanimfinanga3957
    @eliamanimfinanga3957 3 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @jonathanrwezaula6676
    @jonathanrwezaula6676 3 วันที่ผ่านมา +1

    KWA DAMU YA YESU KRISTO TUNAFITA ROHO ZOTE NA NGUVU ZOTE ZA MAUTI, TUNAVUNJA KILA MPANGO KUTOKA KUZIMU WA KUMWAGA DAMU, KWA JINA LA YESU KRISTO TUNATANGAZA IMEKUWA --- AMINA.

  • @reastinabenadi-i6k
    @reastinabenadi-i6k 3 วันที่ผ่านมา +5

    hemu atulinde sisi ambao tuko mbali na nyumban

  • @stellamakigi6114
    @stellamakigi6114 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu simama mwenyewe kututetea wewe ni mtetezi wetu uliye hai tunakutegemea na kukutumaini wewe

  • @MilembeLugwila
    @MilembeLugwila 3 วันที่ผ่านมา +2

    MUNGU tusimamie 😮😮😮

  • @topfootballtrends6517
    @topfootballtrends6517 3 วันที่ผ่านมา

    Manabii kazi zao kutabiri Mabaya Tu 😂😂😂😂 mazuri aha ahaa
    Huyo Mungu wa michongo kazi yake kutuletea Mabaya

  • @SuzanFelix-mo8fq
    @SuzanFelix-mo8fq 2 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢tena

  • @DativaDaud
    @DativaDaud 2 วันที่ผ่านมา

    Tunafuta kwa jina la Yesu

  • @RobertChacha-hb9re
    @RobertChacha-hb9re 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mnaoandika comments msijitiishe huruma kinahitajika nimaombi

    • @blessingcharles-lc1rr
      @blessingcharles-lc1rr 3 วันที่ผ่านมา

      Watu badala ya kuomba eti huwa wanaombea mtandaon .msiombee mtandaoni please
      Mkipewa taarifa niwakati wa kuomba ndani

  • @JosephThomasMaduka
    @JosephThomasMaduka 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona manabii was sasa hamuoni dhambi za washirika wenu ila habari za kiki tu

  • @rezatz1438
    @rezatz1438 3 วันที่ผ่านมา +11

    Wengine ni maagent wa kuzimu wanajua ratiba nzima ya kafara alafu wanajifanya kutabiri hakuna nabii awezaye kufasiri mambo kwa akili zake mwenyewe tu Mungu aliye hai atulinde kwa mkono wake

    • @gabrielkyando2632
      @gabrielkyando2632 3 วันที่ผ่านมา +3

      Kwa uelewaa wako mdogo wa kiroho,, wewe wasema

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 3 วันที่ผ่านมา +1

      Ni kweli kabisa ratiba wanazo alafu kujitia wanatabiri na MUNGU siyo binadamu ni mwingi wa rehema

    • @jonathanrwezaula6676
      @jonathanrwezaula6676 3 วันที่ผ่านมา +4

      KWA HIYO UTENDAJI WA MUNGU WEWE UNAYEDAI MANABII WANADANGANYA, WATAKA KUTUAMINISHA KUWA MUNGU SI YULE WA JANA, LEO NA HATA MILELE? KAMA ALIWATUMIA JANA ANASHINDWAJE KUWATIMIA LEO ? YAWEZEKANA KATIKA KILA ENEO NA NGAZI ZA UTUMISHI WAKAWEPO WA UONGO LKN SI KU-GENERALIZE KUWA WOTE NI WAONGO.

    • @happinessmisanga4944
      @happinessmisanga4944 3 วันที่ผ่านมา +1

      Angalia usije ukajitia laana hujui unayemsema uhusiano wake na Mungu

    • @alexkamba5264
      @alexkamba5264 2 วันที่ผ่านมา +1

      USILOLIJUA LISIKUSUMBUE USIJEBEBA LAANA.

  • @catherinemukami4190
    @catherinemukami4190 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu asaidie

    • @vedastinabyela2733
      @vedastinabyela2733 3 วันที่ผ่านมา +1

      Mungu baba simama na wanao wa Kanda ya ziwa,tuepushe na kafara yoyote inayotaka kutolewa, nyosha mkono wako wanao utuvushe kwenye hiyo dhahama.