Patriotic song and one of the best composed songs ever in Kenya history i liked the message in this song and the caps that Kenyatta and Jaramogi used to wear teddy katalunya ziwani buru emba
lyrics Wimbo huu ni wimbo wa historia watu wote mnaombwa msikize kwa makini , Ilikua oktoba hamsini na mbili watu wote tulisikia kenyatta ameshikwa , Hakushikwa kenyatta peke yake lakini alishikwa na mabigwa wa uhuru, Oooooh ooohh ooohhh Ilikua kilio nchnii kenya watu wote tuliona huzuni mwingi sana , Wakina baba kina mama na watoto wote walilia machozi wakisema, wooooi, wooooiiii woi tunataka Kenyatta aachiliwe Baba wa taifa alipotoka gerezani aliwakuta wajumbe wetu wametengana vibaya sana , Kisha yake baba taifa alikata shauri moja kujiunga na chama chetu Kanu , Aliongoza wajumbe paka ulaya kufika huko alipigwa na mayai yaliyooza , Baba taifa hakujali alishinda na kurudi na katiba ya nchi yetu hapa Kenya , Ilipofika December kumi na mbili sitini na tatu mzee wetu alinyakua uhuru kenya , Kisha yake December sitini na nne mzee wetu alipandisha bendera jamuhuri , Mzee wetu alituomba tusahau yaliyopita badala yake tuijenge nchi yetu , Alisema Harambee tuungane na hivi sasa tumejua harambee ni umoja Asante baba wetu kweli we asante baba wetu .

It's more patriotic than the rendition
Patriotic song and one of the best composed songs ever in Kenya history i liked the message in this song and the caps that Kenyatta and Jaramogi used to wear teddy katalunya ziwani buru emba
Kenya. To. The world 🌍🌍🌍🌍🌍
The subsequent regimes have worked so hard to erase our pre- colonial history by choosing to ignore these songs
Long live Kenya.
Kenya my motherland. ❤❤
Proud to be Kenyan 🇰🇪
They had kenya in their hearts
Very patriotic
Babu Kenyatta (R.I.P)
Love u Babu RIP
Original mau mau wengine wanajidai eti n mau mau
I have never understood why the British decided to colonise us😢they killed and maimed many
Kenyatta
Congratulation wuod luo
The kids who sang this song died in the mtongwe ferry tragedy in 1994.
Amen
This is so sad 😭
Soo sad these young girls died very poor together with their choir teacher 😢😢 Kenya is a bad country
Mayai yaliooza walitoa wapi😂😂
patriotism
Babu Jaramogi Oginga
❤
Tongethar ❤
I only recognise Field Marshall Dedan Kimathi and others real fighters for our independence not opportunistics
Twapata aje ile ya kenya yetu ni nchi ya ajabu?? The original version by the same people
lyrics
Wimbo huu ni wimbo wa historia watu wote mnaombwa msikize kwa makini
,
Ilikua oktoba hamsini na mbili watu wote tulisikia kenyatta ameshikwa
,
Hakushikwa kenyatta peke yake lakini alishikwa na mabigwa wa uhuru,
Oooooh ooohh ooohhh
Ilikua kilio nchnii kenya watu wote tuliona huzuni mwingi sana
,
Wakina baba kina mama na watoto wote walilia machozi wakisema, wooooi, wooooiiii woi tunataka Kenyatta aachiliwe
Baba wa taifa alipotoka gerezani aliwakuta wajumbe wetu wametengana vibaya sana
,
Kisha yake baba taifa alikata shauri moja kujiunga na chama chetu Kanu
,
Aliongoza wajumbe paka ulaya kufika huko alipigwa na mayai yaliyooza
,
Baba taifa hakujali alishinda na kurudi na katiba ya nchi yetu hapa Kenya
,
Ilipofika December kumi na mbili sitini na tatu mzee wetu alinyakua uhuru kenya
,
Kisha yake December sitini na nne mzee wetu alipandisha bendera jamuhuri
,
Mzee wetu alituomba tusahau yaliyopita badala yake tuijenge nchi yetu
,
Alisema Harambee tuungane na hivi sasa tumejua harambee ni umoja
Asante baba wetu kweli we asante baba wetu .