ACT WAWEKA WAZI KUKWAMA KWA MIRADI YA BARABARA ZNZ.../RAIS SAMIA ATAJWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Makamu mwenyekiti wa chama cha act wazalendo Ismail Jussa amesema kwamba wizara ya mawasiliano na uchukuzi imelazimika kuomba fedha za ziada dola milioni 79 baada ya kubainika aina ya lami inayotumika katika ujenzi wa barabara wa kilomita 257 haifai kiteknolojia kwa mazingira Zanzibar.
    Ameyasema hayo wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa mwenge jimbo la makunduchi mkoa wa kusini Unguja.
    Aidha Jussa amesema rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama samia suluhu Hassan anapaswa kupongezwa baada kusaidia Zanzibar kupata mkopo wa euro milioni 487 kupitia mkopo wa mfuko wa maendeleo wa Uingereza.

ความคิดเห็น •