Mungu akubariki sana mdogo wangu mama mchungaji kamili kwa wimbo huu mzuri najisikia kulia tu kwa wema wa Mungu alivyoniponya sichoki kuusikiliza kweli Mungu ni mwema mwaminifu Amina
Hakika nimepata Leo nafasi ya kuitazama nyimbo hii Ina mafuta Sana hongera mama hakika Mungu ni mwema Sana na wema wake ndio sababu ya hatua njema za maisha yetu. Wimbo umejaa ibada sana
Hallelujah utukufu kwa Bwana
Hakika Mungu ni mwema sanaaaaa
Naupenda sana huu wimbo
Ubalikiwe dada nyibo zote nizuli amina
Hongera mama yangu kwa ujumbe mzuri na huduma kubwa hii uliyopewa
Ameni 🙏🥰God bless you madam happy
Amina mtumshi ubalikiwe
May our good Lord lift you more ❤
Mungu mwema hakika mama yangu nimehudumiwa mno
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Wimbo mzuli Sana
Kuala mununu! Amen ❤
Hii ni hatari sana ngoma imetulia elia ameua
Asante mtumishi wa Mungu
Ahmeni
Hakika
Amen
Safi sana mungu akuinue Zaid 😍
Hakika Mungu u mwema
Nakupenda sana mama Angu
Hakika wewe Mungu u mwema mnooo....moyo wangu unakufurahia....barikiwa mamayetu
Aminaaa Neeema,Asante kipenzi.
Ubalikiwe sana
Kweli.mungu.nimwema.saaana
Ubarikiwe sn mama hakika Mungu nimwema kwetu 😘😘😘😘
Nashukuru kipenzi, ubarikiwe mnooo.
Wow
My favor song 🎧
Aminaaa
Naloli mwikemo nnunu fijo atusajile nuswe eeeeh Jesu ulintine fijo
Mungu ni mwema
uzidi barikiwa mama
Nakupenda sana kipenzi changu
Asante dear.
Mungu akubariki sana mdogo wangu mama mchungaji kamili kwa wimbo huu mzuri najisikia kulia tu kwa wema wa Mungu alivyoniponya sichoki kuusikiliza kweli Mungu ni mwema mwaminifu Amina
BARIKIWA MPENDWA WANGU
This is one of my favourite
Barikiwa mwanangu.
Be blessed mom this is powerful song 🔥🔥🔥
Hakika Mungu ni mwema wimbo unabaliki Sana mama yangu
Asante Emmy,Mungu akubariki.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
asante kwa huu wimbo mtumishi nikiamka nikisikiliza tu napata nguvu ya kumshukuru Mungu na macho yangu yanaona wema wa Mungu
Aminaaa kipenzi barikiwa sana.
Barikiwa kipenzi
@@itikamichael5242 Nashukuru sana mpendwa wangu, ubarikiwe sanaaaa.
Wimbo huu umenibariki sana! Hakika Mungu ni mwema!
Ubarikiwe sana Mutumishi wa Mungu!
Ameen
Hakika Mungu mwema, unafanya makuu wewe mwaminifu barikiwa Sana pastor.
Hakika mpendwa wangu
Mungu ni mwema hakika....Ubarikiwe mtumishi wa Mungu Yesu akutunze
Aminaaa my dear.
Ulinibariki mno ulivyokuja igunga mama ulibadili maisha yangu yote ya wokovu sasa siterereki tena proud of you mwalimu mzuri
Namshukuru Mungu,na ninanyenyekea kwa Bwana Yesu,na kumpa Utukufu wote.
Hakika Mungu ni mwema
Asante kitoto changu.
Ameniii hakika Nimwema🙏🙏
Kwa huu wimbo na matukio ya mwisho wa mwaka sijui najiona Nan kweli mungu wangu mwema sn🙏
Mungu ni mwema sana mpendwa wangu
Barikiwa Catherine
Asante nimefurahi sana kuweka tafsiri ya kiingereza.big up
Asante Mama
Safi sana, hakika mungu umwema
Ameeeen
Hakika mungu ni mwema sana
MUNGU umwema kwenye MAISHA YETU
Aminaaa mwanangu.
Mungu mwema sanaa
Aminaaa mwanangu.
MUNGU mwema kwa maisha yangu Nakupenda sanaa past Happy MUNGU akutunze 💗
Asante mpendwa wangu
Aminaaa mpendwa wangu, barikiwa sana .
Mungu azidi kuibariki kazi ya mikono yake kila siku.
Aminaaa Angela
Hakika nimepata Leo nafasi ya kuitazama nyimbo hii Ina mafuta Sana hongera mama hakika Mungu ni mwema Sana na wema wake ndio sababu ya hatua njema za maisha yetu.
Wimbo umejaa ibada sana
Asante kipenzi,Mungu akubariki kwa kuninitia moyo,barikiwa mnoo,Asante kuniombea rafiki. HAKIKA MUNGU NI MWEMA.
Asante kipenzi,nashukuru sana,nimeskia kutiwa moyo sana,asante kuniombea,endelea kubarikiwa.
Ni Barakaa Telee Hongera sana Pst Happy Camily
Aminaaa mwana wa Mungu.
Amina Pastor
Hakika MUNGU ni mwema
Aminaaa
Hakika ni mwema
Asante Mamdogo Dorry
Tunafunga mwaka naiii nyimbo
Barikiwa nduguyangu
Ninavo kupenda we dada hakika anaye jua ni Mungu 🥰 Neema ya Mungu izidi kukufunika Kila atua unayopiga
Asante mpendwa wangu, nashukuru sana,mawazo yako mazuri ni maombi tosha.
Hit song
Aminaaa Manyanya.
Nampendaga Da Happy mimi jamaanii🥰🥰🥰,,Endelea na kazi kipenzi🙏
Asante Neema ubarikiwe .
@@happykamili7868 ameeen mumy😘
Aminaa mungu u mwema sanaaa🙏🙏🙏 Alice mpemba
Barikiwa saana Alice
Aminaaa
MUNGU NI MWEMA KWETU HAKIKA💪💪
Aminaaa,.. MUNGU nimwema sana kwenye haya maisha yetu jamaan.. ubarikiwe Sanaa mamaang,,.. my pastor kazi inamafuta sana🙏👏🙌
Asante kuniombea mwanangu.
Wimbo una upako sana.
Ubarikiwe my sister. Happy
Asante kuniombea mpendwa wangu
Nko hapa nasburia
Nakutumia Manyanya
Amen
Mungu akubariki
Aminaaa kipenzi
Aminaaa kipenzi
Barikiwa kwa kazi nzuri sana hii tunafunga mwaka kwa ushindi huu 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌MUNGU U MWEMA
Hakika mpendwa barikiwa sana
Wacha nisubscrbe kwakwel♥️♥️
Be blessed mom this is powerful song 🔥🔥🔥
Aminaaa mwanangu
@@happykamili7868 Amen 💖 Yesu azidi kukutunza
Amina ubalikiwe
Amen
Aminaaa