Hongera hakika umebarikiwa sana nimekuwa Kila ukitoa wimbo inaniguza sana nakuombea sana kwangu Hadi nakosana na mke wangu Kila siku nyimbo zako ndio naweka
Na umebarikiwa sauti sana Tena vinzur Mungu akuonekania sana pamoja na family yako akiwepo mume wako kipenzi mlibarikiwa sana wote kuwa waimbaji hakika mungu ni mkubwa
Ubarikiwe sana! Ujumbe umenigusa haswa 😢 tutakuombe kila lililogumu likawe jepesi kwako
ASHE NA LENG
🎉🎉 ameniiiii angaii natsaa nabarikiwa na ujumbe huu da mery mungu azidi kukutuzia kipaji chako
Hongera sana mwanangu hakika Mungu atakuinua hadi maadui washangae maana huna mpizani kwa sasa
Ameeen kweli Mungu amefanya aendelee kukubariki ❤❤
Mungu akubariki
Ameeen 👏❤
Namkubali sana huyu dada yetu Mungu aendelee kukupigania
Amen oleng enkiniai Nanyorr,,,,,mekitaa enkai erropili tooloshon pooki
Amina sana mtumish marry mung azid kukuinua viwango🙏🙏
Mungu akubariki mwanangu, akuinue zaidi tuimbe duniani na mbinguni pia.
Hongereni kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉❤❤
Ahsante
Pia.nawe👍
Hongera Sana unaimba vizur my dear friend@@marypaulolemburis9018
❤ hongera sana kwa kipaji ulichonacho pewa na mwenyezi Mungu kwa ajili ya kufanikisha kazi hiyo yako natamani nikuonee ukiimba wimbo wako wowote
Merry ai hongera rafiki yangu mungu asiwapungukie daima wimbo umefanya kulia😭😭😭😭
Mungu azidi kukuinuwa viwango vya juu sana
Ameen kweli mungu ametenda kabisa...
Wimbo zako Iko vizuri sana, Mungu akubarike, hapa Zim tinasema Iko vizuri Mutimushi waMungu
❤ ongera sana dada mery mungu akubariki 🙏🙏
Mungu akutangulie popote ulipo hakika we ni Simba wa kimataifa
Hongera sana kamanda wangu
Ameen mungu ametenda kabisa 👏👏👏👏
we're happy because of you mary paulo keep going your reward is great in heaven kimYiani ooleng
Mary mtumishi wa Mungu nawapenda na nawaombea Sana Mungu awape kusonga mbele
Hongera Sana dada Mungu awe kila kitu katika utumishi wako
AMINA SANA DADA YANGU
@@marypaulolemburis9018 Ubarikiwe sana Mtumishi
Hooi enkai ai mputaki Ake iyook pooki eng'ida mery mikitadamu Ake enkai esrael
Haah tuko kenyah bro
Power full song it have message
🎉 🎉 esiake etasaa isupati
❤❤❤❤ Love you from DRC Kinshasa
Amen Mungu atukuswe
Congratulations 👏👏👏
Hongera sana kwa kipaji chako ulio pewa na mungu sana nataman san niimbe na wewe
Hongera hakika umebarikiwa sana nimekuwa Kila ukitoa wimbo inaniguza sana nakuombea sana kwangu Hadi nakosana na mke wangu Kila siku nyimbo zako ndio naweka
Na umebarikiwa sauti sana Tena vinzur Mungu akuonekania sana pamoja na family yako akiwepo mume wako kipenzi mlibarikiwa sana wote kuwa waimbaji hakika mungu ni mkubwa
Mungu akubarikiii dada
Ubarikio sana mtumishi wa Mungu
Hongeraa sana mery ujumbe mzuri
I like your song
Hongera sana mery
❤mungu akulite
Mungu akubarki mtu wa mungu
Very nice song
barikiwa xn
Jitahd sana
This far isGod
Eesai. Kimayian Enkai.
Amen oleng
Hata.mm.namtakia.uimbaji.mwema
Good nice
🎉❤
Beda
Haah haina shidah pesah wanayo piah wwe towa sako..
Upate market
0:24
Hongera sana mery