ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Shida y wabongo ni hii hajamaliza move Ile ameanza nyengine
Walio furahia kumuona chiko apa ndani....wapi like zake ...lakin asiwe na drama na kujaza watu sumu ya moyo kma Yule kijana alie toka jela...😅😅😅
Jmn tumalizien penzi hasara😢😢
Si mngemaliza kwaza penzi hasara kwaza af mlete ii
Jamani si watu wanao hata kazi tano mbona msiwasapot wenzenu ❤❤
Malizen viporo ndy mlete kaz mpya hii ss mmezingua sn aiseeee
Kazi nzuri🎉🎉❤
Hayo ndo mambo hamna kupoa🎉 twende kazi HALISI FILM LAB🇧🇮🇧🇮🇧🇮🍾
😂😂😂naona ni moto tunataka muendelezo
Mh we chiko mm sikupendi tabia zako za kwenye house girl hd hp nakuchukia kweli huji2
Kazi zenu n zuri sana from south Africa 🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤🎉 good job
Inafaa mtupee final y penzi hasara ndio tuendelee n limbukeni w mapenzi 😂😂😂ata Kama mlimtoa kelvin 😢
😂😂😂
𝐍𝐝𝐢𝐨 𝐤𝐮𝐢𝐧𝐠𝐢𝐚 𝐡𝐯𝐢🎉🎉🎉🎉🎉𝐀𝐥𝐥𝐲
huyu kivuruge chiko amefika huk tena😂
😂😂😂😂
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kitu kipya kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤
Kuanza mooviie mpy kbl ya zamn haijaisha nii upuuz tu mxiuuu
❤❤❤ jamn tunataka 2
Kazi nzuri ndugu zangu watanzania nawapenda sana 😊❤
Mtaharibu brand bure, kwanza kev na miri mlibadilisha Bila taarifa
Fety mabangi 😂😂😂😂😂nimeisha aki weeeeh ❤❤❤❤
Ila Fetty 😂😂😂
Kitu kipya haya twende kazi
Fetty asikuzingue huyo msangazi 🤣🤣🤣🤣
Fety anaact vizuri 😂😂 sana
Fatma km umeamua kuigiza km teja toa kope na izo kucha na ilo wigi itakua bomba zaidi
Nzuri sana🎉
Tumalizie kwanza Penzi hasara ban
Mm nilijua penzi hasara
Bos ali mwenyew
Dah fetty leo ameigiza kiuni😂😂
Jamani Fetty na mibangi😂😂😂
Yaan mmi namchukia chiku kwa kila movie
Yupi huyo😂😂
Hata hatujui penzi hasara mnamalizia lini, alafu mnaleta mpya🤨🤨🤨
Haijaisha
😅😅😅😅
Umeonaee wanataka tuwachukie nakuwafanya wanatupotezea muda tuu na matumizi ya bando maana hata mie siwaelewii
Bangi😅yavutwa ndani leo jameni😅😅😅
Mbona sauti hamna
Movie ingne n bado hamjamaliza mapema hasara, wakwaza kutoka Kenya nipewe likes 🎉❤
Malizeni penzi hasaravkwanza jaman
Mumalizie kwanza penzi hasara sasa mnaanza nyingine wakat hamujamaliza nyingine
Sasa mnatuchanganya
Jamani penzi hasara ilikuwa imenoga na sasa mmetulia tuli ahhh ebu mfanye mipango basi eti
Fatma wetu 😅😅😅
Chiko 😂😂😂😂😂😂
Jmn chiko uko apa ngoja nitazame
Penz hasara hata haijaishaa😂
Yaaan hapa kabla sijaichek hii movie kwaharaka haraka limbuken wamapenz atakuwa ni zena huyu kivuruge😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Daaah jaman mm tena😅
@HalimaomaryJuma 😂😂😂
Plz malizeni penzi hasara
Bora walete penzi hasara
Muvi mzuli
🇲🇿🇲🇿🇲🇿 sawa
Leo afazali nimewai 5 nipeni like zangu hata 6
Hizi ndizo shida za kibongo, unaanzisha kitu kingine ili hali bado cha kwanza hujakimaliza
Mnaanza kutuchanganya sass badala mmalize penzi la hasara mnatuletea vingine tena mnakera
Malizeni penzi hasara
Sijachelwa
Fatty😂😂😂😂😂😂😂wanifurahisha😂😂😂
Jamani penzi hasara imeishia wapi
Kumekucha swamalikum😂
Vip penzi hasara imefikia kikomo?
𝐅𝐞𝐭𝐭𝐲 😂😂😂😂 𝐤𝐮𝐦𝐛𝐞 𝐭𝐞𝐣𝐚😅😅😅
Shida y wabongo ni hii hajamaliza move Ile ameanza nyengine
Walio furahia kumuona chiko apa ndani....wapi like zake ...lakin asiwe na drama na kujaza watu sumu ya moyo kma Yule kijana alie toka jela...😅😅😅
Jmn tumalizien penzi hasara😢😢
Si mngemaliza kwaza penzi hasara kwaza af mlete ii
Jamani si watu wanao hata kazi tano mbona msiwasapot wenzenu
❤❤