Pole Mussa, ni maumivu makali kudharauliwa kiasi hiki...lakini Mungu kakuepusha na jambo kubwa, mshukuru Mungu, mrudie Mungu atakuponya moyo wako ulioumizwa atakupa mke mwema. Wema wako Mungu atakulipa.
Same story different cast duuuhh i thought I was alone kweli dunia sinia pakuwa kiasi chako then take a bow its was the hardest thing i ever experienced 😭😭😭
Wanaume lazima mjue kuwa ukilazimisha kuolewa itabidi umtii babako so huenda hakukupenda usilazimishe mapenzi ila mungu ana sababu ya hayo yote pole sana
Kwenye hii dunia nilijua nimeskia vyote kumbe Kuna mengine sijawah kuskia kumbe bado sijaskia watu was singda shikamon heee nimejiskia vbya xna aisee😭😭

Rafiki wa Mussa wa hko singida nimekupenda buree.. na maneno yako ya busara ... cku 90 ndio za kufanya maamuzi I love you sanaaaaa❤❤❤❤
😊😊😊. Dawa ya moto ni moto
Jmn Musa wamemkosea Sana wallah awajafanyaa Vzr kbs😢😢 binadamu tuna ROHO mbaya sanaa
hao watu watapata azabu kali sana Mungu atawalipaaa
Nilikuwa naisubir jaman boraa🥳🤩
Pole sana mussa ila wamekudharrau sana ni maumivu juu ya maumivi ila mungu ni wetu sote
Da vero Nakupenda sana lkn ninamuda zaidi ya two weeks redio haishiki kbs,napatikana Arusha
Namba moja mwenyewe
Pole MUSSA mungu yuko pamoja na wewe kila hatuwa muamani yeye tu
Subhanallah huyu baba ni shida na nusu jamani
Same story different cast duuuhh i thought I was alone kweli dunia sinia pakuwa kiasi chako then take a bow its was the hardest thing i ever experienced 😭😭😭
Ulipatwa na nn tena
@@priscasanga4451 km alivyofanyiwa musa ndo nimefanyiwa mimi asikwambie mtu ni zaidi ya maumivu yeyote kuwahi kiyaishii🫵
Jamn dunia ina mengiii kwelii kuwa uyaone
Ni hiyo pesa tu waliyochukua
Rudi tu kwenye upande wa ndugu zako Mussa pole kwakuiacha imani yako kisa mke afu mwisho wa siku mke nae kasepa
Wanaume lazima mjue kuwa ukilazimisha kuolewa itabidi umtii babako so huenda hakukupenda usilazimishe mapenzi ila mungu ana sababu ya hayo yote pole sana
Huyo mzee ana dhambi 😢
Familia za wahuni waliokomaa😢
Leo leo usiku huu wa manane nimekua wa kwanza😊😊😊😂😂
😂😂😂 wengine tunaingia saivi! Saivi mpk asubuhi asubuhi ya saa tano😂😂😂😂
@@simonmaige7785😂😂😂😂😂😂
Daaaaah kwakwer dada vero umetusahau sana huku mpka nalia 😭
Pole ,ata mimi pia nimetowa macho weeee mpaka yamenivimba 😢saiz ndonaiyona simulizi🧘
Wanaloo mbaya Sana watu wauko wazuli wa kila kitu lakn Wana loombaya Sana wachoyo wanapenda kusalit waume zao 😭😭
Nawachukiya wanawake wenye roho kama huyo mdada siwapendi hata kidgo
Eti watu wamcha Mungu
Musa jamani mbona nahona aibu mimi😂
Leo siku nzima napita sioni kitu😩😓
Usikilizage radio
Ukipenda unakua fala pole sana Mussa, with time utakua sawa
Usiku wa manane 😂😂😂
Jaman dodoma hatujaipata kabsa jana
Nafikiria hivi nikweli kunawatu wahovyo hivyo
Wakwanza mc safari
Kwenye hii dunia nilijua nimeskia vyote kumbe Kuna mengine sijawah kuskia kumbe bado sijaskia watu was singda shikamon heee nimejiskia vbya xna aisee😭😭
Sio wotee,na wanao ishii singida sio wote wanyaturu jiheshimu tupo hapa tunapenda na tunajiheshimu no mchepuko,no mapindo pindo😊
Watu wema atunaga bahati😢watu wasingida mumemliza MUSA😢 ebu piteni hapa mniambiye mnataka mupewe niniiii ????
Tupewe kila kitu ambacho kina patikana kwenye hii Dunia au wewe unaonaje?😏
Wapili leo
Mc safari the BIGGER mc