Kumuacha ni jambo la kikatili unapaswa uwe na moyo usioruhusu kumuhurumia kwa hali yoyote pindi unazungumza nae. Kwani kama bado anakupenda na amezama asilimia mia huwezi kufaulu. Ndio maana wengi wetu tunatafuta kwanza kajisababu cha kugombana ili uitumie chance hiyo kummwaga 😂😂