kazi zako hazina mpinzani. Vizuri sana. Naipenda sana Album mpya ya JB Mpiana ya Balle de Match. Naomba tafsiri ya wimbo "Choisy Matata" ulio katika album hiyo.
Prince mimi naitwa John niko Dar es salaam Tanzania, kiukweli nafulahi sana kwa mafundisho yako, lakni naomba kujua kwani wewe uko konga au uko hapa dar es salamu?
Ooh papaa napendaga Sana hiyo lugha.kutoka Tanzania
kazi zako hazina mpinzani.
Vizuri sana.
Naipenda sana Album mpya ya JB Mpiana ya Balle de Match.
Naomba tafsiri ya wimbo "Choisy Matata" ulio katika album hiyo.
Toza pamoja
Mm nipo Dodoma Tanzania
Mbote mingi kaka oza likolo
Keep on update with more......❤
Gaudis Ephraim
Nipo tayari kujifunza Lingala
Nipo Shinyanga Tanzania
Nazali na dodoma kombo nanga papaa manda na sepeli mingi ponakuyoka mngongonayo
Prince bockson olakisa bino, nayoki makasi . Mim naita philipo nipo mbeya tanzania.
Karibu sana ndugu
Prince mimi naitwa John niko Dar es salaam Tanzania, kiukweli nafulahi sana kwa mafundisho yako, lakni naomba kujua kwani wewe uko konga au uko hapa dar es salamu?
Niko Congo