COMMUNITY CHANGE PROJECT FROM KIBAHA SECONDARY SCHOOL 2018

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • UWEZO AWARD PROJECT, ni mashindano ya wanafunzi wa shule za sekondari yanayowapa fursa ya kujifunza kwa kupitia changamoto kwa kubuni na kutekeleza miradi bunifu ya kijasiriamali yenye kuleta matokeo chanya kwenye jamii inayowazunguka. Lengo kuu ya mradi huu ni kuwasaidia wanafunzi kujifunza ujuzi wa kijasiriamali na ujuzi wa karne ya 21 wakiwa bado wapo shuleni ili uje kuwasaidia hapo baadae kukabiliana na changamoto za soko la ajira aidha kwa kujiajiri au kuajirika kwa urahisi. KIBAHA SEKONDARI.kutoka halmashauri ya mji Kibaha ilikua miongoni mwa shule zilizoshiriki miradi hii kwa mwaka 2018.
    #uwezoprogram #uwezoaward #uwezobonanza #uwezoclub #uwezokinara #chukuahatuaoneshauwezo #vijana #elimu #vipaji #ubunifu #ujuziwakijasiriamali #ujuziwakarneya21

ความคิดเห็น •