Kwani inchi Uswahili ao Burundi? Sasa kama ni Burundi basi boora aongeye lugha yetu yataifa sababu ni yetu sisi ni warundi sio unavio hisi😮😢.samahani kama nimekukwaza
@@hassanjonas1491 kwa inchi kadha ndio,ila kwetu kiongozi mkubwa kwa taifa letu lazima aongee lugha yetu ya taifa,kuto kujua kiswahili sio tatizo ndani ya inchi yetu ila kama hujui lugha ya taipa ni noma naineweza kukuletea kutengwa kwa baadhi ya kikazi serekalini ao kwenye kampuni kadhalika,ninacho kiongea labda uka nichukulia kama mwenye ubaguzi ila nakumbusha kua inchi ni Burundi na murundi lazima aongee kirundi,na kesho utapo emenda kuposta ya hamiaji kuomba kitabu cha safari alafu wakakuofea kwa sababu ya kutokoongea lugha yako ya taifa utanungunika nika kutia mihari kusipo,huezi jitetea uraia tanzania ao congo inchi zingine bila kuongea inchi ya kikoo.haswa tanzania huongee kiswahili ao lugha ya kabila yako huko huna uraia,ila kwetu ndio sehemu tubarão uzalendo wetu ue mrundi alafu uzarau kirundi wew mrundi ao mzamiliaji na mmbakaji wa inchi yetu,sababu havieleweki.mimi mrundi na jivunia inchi yangu na lugha yangu ya kirundi,nimekujibu kwa kiswahili kwa kuonesha kua kiswahili ni lugha yaowote alio zaliwa uswazi ila sio lugha ya taifa letu,samahani kama nimekurupuka ila ukweli ndio huyo ndugu yangu tuipende lugha yetu Kirundi ni lugha yetu na Burundi ndio kupo raia wengi wametawaliwa na huo upofu wakui zarau lugha yao ila kesho ukibaguliwa kwa sehemu yotote kutoko jua kuongea lugha yako ya taifa usiguni na hakuna wakukutetea.
Asalaam alaikum warahmatullahi wabarkatuh Mufti uyo awe na ikhilaswi kwanza Kwasababu apakuitajika kuchaguwa Mufti na Mufti mungine ipo hayi Au ndio democracy sio dini Ni aibu tubu kwa yaliyo fanyika
Masha Allah 🥰 🥰
Laaquwata ilaa billa
Mufti hajui Kiswahili 😂
Kwani inchi Uswahili ao Burundi? Sasa kama ni Burundi basi boora aongeye lugha yetu yataifa sababu ni yetu sisi ni warundi sio unavio hisi😮😢.samahani kama nimekukwaza
Kwani kiswahili ni lugha yataifa wewe kijana ?
@@hassanjonas1491 kwa inchi kadha ndio,ila kwetu kiongozi mkubwa kwa taifa letu lazima aongee lugha yetu ya taifa,kuto kujua kiswahili sio tatizo ndani ya inchi yetu ila kama hujui lugha ya taipa ni noma naineweza kukuletea kutengwa kwa baadhi ya kikazi serekalini ao kwenye kampuni kadhalika,ninacho kiongea labda uka nichukulia kama mwenye ubaguzi ila nakumbusha kua inchi ni Burundi na murundi lazima aongee kirundi,na kesho utapo emenda kuposta ya hamiaji kuomba kitabu cha safari alafu wakakuofea kwa sababu ya kutokoongea lugha yako ya taifa utanungunika nika kutia mihari kusipo,huezi jitetea uraia tanzania ao congo inchi zingine bila kuongea inchi ya kikoo.haswa tanzania huongee kiswahili ao lugha ya kabila yako huko huna uraia,ila kwetu ndio sehemu tubarão uzalendo wetu ue mrundi alafu uzarau kirundi wew mrundi ao mzamiliaji na mmbakaji wa inchi yetu,sababu havieleweki.mimi mrundi na jivunia inchi yangu na lugha yangu ya kirundi,nimekujibu kwa kiswahili kwa kuonesha kua kiswahili ni lugha yaowote alio zaliwa uswazi ila sio lugha ya taifa letu,samahani kama nimekurupuka ila ukweli ndio huyo ndugu yangu tuipende lugha yetu Kirundi ni lugha yetu na Burundi ndio kupo raia wengi wametawaliwa na huo upofu wakui zarau lugha yao ila kesho ukibaguliwa kwa sehemu yotote kutoko jua kuongea lugha yako ya taifa usiguni na hakuna wakukutetea.
Alichoongea ni kibembe ?
Asalaam alaikum warahmatullahi wabarkatuh
Mufti uyo awe na ikhilaswi kwanza
Kwasababu apakuitajika kuchaguwa Mufti na Mufti mungine ipo hayi
Au ndio democracy sio dini
Ni aibu tubu kwa yaliyo fanyika
Hakuna dini kabisa ni demokrasia tu😂
Kuwa na Adabu
@kingbashar4293 leta ww sas dini