Allah akujaliyeni nguvu. Sheikh Abdi aanzishe mazungumzo na Baadhi ya wana harakati ao waumini kutoka Diaspora. Marekani, Canada na kungineko ili wapeyani fikra za kutengeneza maendeleo ya waislam. Zoom meeting. Gogos wanaweza kusaidizana.
Mfikishiye fikra yangu sheikh wetu. Niko na Imani kua Sheikh Abdi yupo tu na waumini wengi wa Diaspora. Awakusanye na kuongeya nao kwa kutumia njia za kileo za mikutano mfano zoom na zingine. Pia ni muhim awe na Database ya Diaspora.
WEWE SHABANI TUMIA ULIMIWAKO VEMA ACHA KAULIZAKO CHAFU MASAHABA HAWAKUA HIVYO NENO (BIDAA) UNALIJUA WEWE ! MBONA LEO MNALIKIMBIA HADI MUMEFIKA [MASALAFI JADID NI 1,2,3,4, KUWA MKWELI LINI MTUME NAMASAHABA WALITUMIA MATUSI KAMA WEWE ,?
Mashallah tabaraka llah Allah awazidishieni kheri katika uhai wenu mkono Kwa mkono Hadi peponi 🤲❤❤🎉🎉🎉
Mansha Allah tabarakallah
Allah awalipe kila la kheli ma sheikh wetu
Masha Allah tabarakallah hadi raha Allah awape jannah iwe ndio makazi yenu yaumul qiyam Allahuma ameen dhuma ameen
Manshallah tabark Allah Akuifadhini ma shekhe wetu wa bj
ALLAH awapenguvuzaid masheikh zetu pia akuzidishiyeni mapenzi kwakweli na iwe sababu yakueneza diniyake ALLAH Tabaraqa waa taaAllah amiiin yarraby .
ManshAllah Allah awazidishie upendo najuhudi kweli inapendeza
Allah awalipe lnshaAllah naawape mwisho mwema ❤naamzidishiye papa abdi john ❤nawapenda sana 🎉🎉
Manshaallah allah awa ifadhi ma shekhe wetu wa burundi🌹🌸
Masha Allah, Tabaarak Allah, Allah aizidishie Al Hudah na awape upendo Masheikh Zetu. Jazaakumullah kheir
Amiin
Manshaa Allah ni mefurahi sana Masheikh WE tuuuu wa Burundi
Asww mashalla Allah awape nguvu mashekh wetu
MashaAllah Allah azidi kuwa ifazi mashehe wetu wa burundi
Allah atawalipa inshaallah😭😭😭😭😭 Naliya kwasababu Yahuruma Mmechoka saana Wallah Allah awajaliye Nahiyo hiyo Roho yenu
Amiin
ManshaAllah ❤❤❤
Mashaa Allah, tabarakallah
Allah awalipe kila laheri
Ma Sheih wetu masha allah
Allah akujaliyeni nguvu. Sheikh Abdi aanzishe mazungumzo na Baadhi ya wana harakati ao waumini kutoka Diaspora. Marekani, Canada na kungineko ili wapeyani fikra za kutengeneza maendeleo ya waislam. Zoom meeting. Gogos wanaweza kusaidizana.
Mfikishiye fikra yangu sheikh wetu. Niko na Imani kua Sheikh Abdi yupo tu na waumini wengi wa Diaspora. Awakusanye na kuongeya nao kwa kutumia njia za kileo za mikutano mfano zoom na zingine. Pia ni muhim awe na Database ya Diaspora.
Allah wa jaliye pepo inshallah
Nafurai sn cheikh wangu komera komera
Allalh awalipe khery insha allalh
Mi sioni shida😢
Masha Allah
Namm
Taala ni bidah masheikh mumuogope Allah
Taala ni bidah
WEWE SHABANI TUMIA ULIMIWAKO VEMA ACHA KAULIZAKO CHAFU MASAHABA HAWAKUA HIVYO NENO (BIDAA) UNALIJUA WEWE !
MBONA LEO MNALIKIMBIA HADI MUMEFIKA [MASALAFI JADID NI 1,2,3,4, KUWA MKWELI LINI MTUME NAMASAHABA WALITUMIA MATUSI KAMA WEWE ,?
Manshaallah tabarakallah
Rika ni haramu
Masheikh muwakataze watu kupiga rika
Rika sio haram na dufu but kueapigia wanaume ndio haijuzu
Shabani Tulia wewe !
Pekeyako hujuwi vidole vyako nivipi inajuzu kuswakia ,MTU MWEMA Hupima analo taka kusema !