Wimbo maalum kwaajili ya kusherehekea Jubilei ya Miaka 25 ya Ndoa yao Mr. and Mrs. Renatus Sengo! Misa ya Shukrani ilifanyika katika kanisa la Parokia ya Kijichi tarehe 26.08.2023 Wimbo: Safari yetu Mtunzi: Ben Nturama Producers: KHAKI Media Productions Usiache kusubscribe, kulike na kushare kiungo hiki..
Wimbo maalum kwaajili ya kusherehekea Jubilei ya Miaka 25 ya Ndoa yao Mr. and Mrs. Renatus Sengo!
Misa ya Shukrani ilifanyika katika kanisa la Parokia ya Kijichi tarehe 26.08.2023
Wimbo: Safari yetu
Mtunzi: Ben Nturama
Producers: KHAKI Media Productions
Usiache kusubscribe, kulike na kushare kiungo hiki..
Kazi nzuri👏👏
25 siyo mchezo
25 sio mchezo SI lelemama.What a vibe.Wimbo wenye shukrani kuu.Hongereni mliofanikisha kazi hii wakiwemo Renatus na Angelina.
🎉🎉
Mwimbo mtamu hongereni sana
Asante sana
Hongeren
Asante
Hongereni sana ndugu zangu