Je wajua nini maana ya ndoto zako. Je, huwa unaota ndoto lakini haukumbuki? Ungana nami nikutafsirie

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @lidamudy2842
    @lidamudy2842 3 วันที่ผ่านมา +2

    Bwana Yesu asifiwe mutumishi wa Mungu

  • @hannahnjoki5660
    @hannahnjoki5660 3 วันที่ผ่านมา +2

    Ukiota nguo Yako imelaluka ama imechomeka

  • @Mamas-06k
    @Mamas-06k 2 วันที่ผ่านมา +1

    Nilifikiri mi uota ndoto za ajabu, kumbe watu walishaotanga karibu zote, weee, hadi nasema Mungu anaongelesha mtu mwenye hajielewi,😂😂😂😂

  • @Lucy-l8w5n
    @Lucy-l8w5n 3 วันที่ผ่านมา

    Niliota wanawake wawili wamevaa nguo za kufanana nilizipenda pia walisikia mziki Kwa. Cm yangu wakaupenda nikaona Tena vitu vyangu vimevurungwa sana nikaona mwimbaji kanitegea mgogo pia kabeba mtoto mtoto ananitazama pia nikaota navishwa Pete na mwanamke asiye na nyere

  • @Mamas-06k
    @Mamas-06k 2 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji tukienda live tuseme ndoto, inakuja ya kesha,so tumeshindwa, ila tumelike,,,, endeleni umetuombea tunashukuru