AMEN. This is God's year. Wakristo mwaka wa Mungu ni wale walikataliwa wapate kibali na wale wameongewa na wamechekwa Mungu Abadilishe hayo maneno. Wale punda wote wametumiwa na watu, wakapelekwa kwa uganga, uchawi na katika mateka mwaka huu Jehovah Ametangaza lazima wafunguliwe shetani apende asipende. Mungu Anataka wale watu wamefanywa punda, wale hawajawahi hesabiwa Abadilishe maisha yao na wawe watu wa kubarikiwa. Kule Jehovah hajatembea Atatembea na kule Hakuenda Ataenda mwaka huu. Umefanyishwa kazi za madharau lakini mwaka huu utabeba Mfalme Wa wafalme. Watu wanatuangalia wanatukosa na wanaona tumefika mwisho lakini Mungu hatuoni na hayo macho na Hatuoni vile wanatuona.
AMINA. Watu wengi hawajawahi kutujua hata kutuona sisi kama wa maana, zile kazi wanatuona tukifanya wanazidharau. Mwaka huu tutakuwa wa maana. Jehovah Anajua chochote tunapitia hata kabla mwaka uingie na Ametumana leo. Aliona kitambo ni kutumana hakuwa Ametumana Mwaka huu Atajileta Mwenyewe, lakini kabla Ajiletee Atatumana. Sisi tumetumaniwa. Amepiga kona, Anajua njia ya kwetu hajauliza. Anajua mahali baraka zetu ziliwekwa, leo zinatolewa. Sisi ambao sio wa dhamana Jehovah Amefanya tuwe wa dhamana mwaka huu. Hata sisi ni wa dhamana kuliko punda. Mwaka huu wenye kutufunga wasipokiri na vinywa vyao Atawalazimisha. Wale watapiga Jehovah Atawapiga.
AMINA. Wakristo kuna milango na njia zinafunguka na sio kwa sababu tuko na majina makubwa. Kuna baraka Mungu Anataka tubebe lakini watu wametufunga. Tuwaambie, hiyo mizigo yao tumeikataa.Yule atauliza mwambie ni Jehovah Amesema. Tumepewa Kingly "Annointing" and "Authority". Walituroga lakini Mungu wa Baba yetu Atatufungua, mwaka huu punda ataongea. Hatujawahi ongea, mwaka huu tutaongea. Yale Mungu Atatuambia 2019 yatakuwa sawasawa. Hizo baraka zetu walichukua wakajiwekea, sisi ndio tutazikanyaga baraka hizo. Kuna mahali Mungu anatupeleka. Anataka kututumia ndivyo Ajitukuze. Tukijua yale Anaenda kufanya tusianze kumuuliza maswali bali tuanze kumshukuru.
Amen

Amen Amen Amen 🙏

Yes nimefunguliwa.mapingu vujika anguka pamoja na mutu wako.
Kweri Mungu abaliki muchungaji.nimesaidika Dana.mapingu jiani nyumbani kasini haaa nimesidika Dana.thanks.
Napokea Amen 🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏
Glory to God