JazakLLAH kheiran sheikh!! Allah akubaarik kwa jitihada zako!! Allah atujaalie miongoni mwa wenye kusikiliza na kufahamu lakini pia tuwe wenye kuachana na mambo ya Bid'aa!!
Maadamu Kwa mfumo huu MTUMI WALA MAKHALUFA HAWAKUFANYA TAFTENI JINA HIYO SI SUNNAH. WALA HAKUNA ATAKAE JUA UTAKUFU WA QUR ANI ZAIDI YA MTUMI. ACHA LUGHA ZA MITAANI HII NI DINI . MPUUZI MMOJA WEWE
Mtumi gani alifanya musabaqa ama swahaba gani.....na ikiwa mtumi ama maswahaba hawakufanya.....huwa ni nni...wacheni kudanganya watu hiyo ni amana mbele ya mungu
ayo ulio sema ww sio mashindano et weeh shehe jaje tuna taka ushahidi wa mashindano maana ya mashindano hua pana mshind ayo ulio usema ww hayakua mashindano wana na mshind wala na zawad
Wacheni kudanganya watu nyinyi wajinga mwajifanya wasimi wala hamumo kokote uzuka mwingi na kupija kelele kwanza nikuulize kitu ww una dalili gani kuwa mtume alitoa khutba ya kiswahili kwenye mimbari nipa dalili moja 2
Alikua akiwatwaliisha ama akiwashindanisha acha janja janja. Yaani mulitakalo nyinyi hata kama halina asli Kwa MTUMI NA KHULAFAA U RRAASHIDINA MUTALITAFTIA VIPENGELE HATA KAMA HAVINAA MASHIKO. LAKINI WAKIFANYA WENGINE NI HARAMU
Yaani we unaongea vitu hata mtoto wa nasari hawezi kuviongea si bora unyamazetu. Ili mradi ujulikane we uliona mtume anaenda uwanja wa tifa kushiriki mashindano ??? Acha kukwepakwepa sema ukweli
Ustadh acha kutufanganya na kukwepa swali. Wapi mtume au masahaba walifanya mashindano ya quran? Kiukweli bidaa ziko aina mbili. Kuna bidaatul hasanaa na bidaatul dhalala
Hio : كل بدعة ضلالة. Mtume aliwaambia, maswahaba kwa hivyo mtume aliwakataza wao kufanya bid'a kabla ya kutukataza sisi kwa hivyo ikiwa kufanya ambacho mtume hakufanya ni bid'a basi maswahaba wakifanya ambacho mtume hakufanya vilevile watakua wamefa ya bid'a. Kwa hivyo musabaqa wa qur'an ni bid'a mtume hakufanya. Upoooo.
Unajua nyinyi watu wa maulidi ni machizi sana, moja ya dalili yenu ya kuhalalisha maulidi zenu ni Eti Qur, aani inasomwa kwenye maulidi, mawaidha hutolea sadaka hugaiwa nk, Sasa leo Qur, aani ile ile ikishindaniwa full time Eti Bid, ah nyinyi kweli hamnazao
Ww una wazimu sana eti duktur wajua sunna ww ww mwenyewe huko kupinga kwako umepotoka midomo na vidole twataka dalili kutoka kwa mtumi aliweka mashindano ya qur,an kama unavo sema ww kuwa mtume hakusoma maulidi naukitaka ushindani njoo mambrui kwaheri
JazakLLAH kheiran sheikh!! Allah akubaarik kwa jitihada zako!! Allah atujaalie miongoni mwa wenye kusikiliza na kufahamu lakini pia tuwe wenye kuachana na mambo ya Bid'aa!!
Ameen
BARAKA'ALLAHU FIYKA YA SHEIKH
Mashallah dr Islam Allah akuifadhi
Shukran kwa elimu hii
Jazakallah
إني أحبك لأ جل الله
Baraka Allah fik
Ww huwezi fasiri maneno ya Imam busiri kabsaaaaa
Maadamu Kwa mfumo huu MTUMI WALA MAKHALUFA HAWAKUFANYA TAFTENI JINA HIYO SI SUNNAH. WALA HAKUNA ATAKAE JUA UTAKUFU WA QUR ANI ZAIDI YA MTUMI. ACHA LUGHA ZA MITAANI HII NI DINI . MPUUZI MMOJA WEWE
Acheni kutukanana fuata unachokiona sawa halazimishwi mtu kuliendea jambo katika dini. Ndio maana kuna mizani hivyo tiombe mwisho mwema.
Mtumi gani alifanya musabaqa ama swahaba gani.....na ikiwa mtumi ama maswahaba hawakufanya.....huwa ni nni...wacheni kudanganya watu hiyo ni amana mbele ya mungu
Abu dardar
@@muraddula2933 Huyu Hajawasoma Maswahaba Na hawajui ndio anaropokwa Tuh😂😂
Acha hoja sheikh Misabak NAyo ni bidaa
Hizbi ndugu wa sufi
Mashindano ya kuraan na zawadi kutolewa mtume alifanya hayo usibabaike jibu ueleweke
قول الحق أريد بها الباطل
ayo ulio sema ww sio mashindano et weeh shehe jaje tuna taka ushahidi wa mashindano maana ya mashindano hua pana mshind ayo ulio usema ww hayakua mashindano wana na mshind wala na zawad
Wacheni kudanganya watu nyinyi wajinga mwajifanya wasimi wala hamumo kokote uzuka mwingi na kupija kelele kwanza nikuulize kitu ww una dalili gani kuwa mtume alitoa khutba ya kiswahili kwenye mimbari nipa dalili moja 2
Kutetea bida ...
Alikua akiwatwaliisha ama akiwashindanisha acha janja janja. Yaani mulitakalo nyinyi hata kama halina asli Kwa MTUMI NA KHULAFAA U RRAASHIDINA MUTALITAFTIA VIPENGELE HATA KAMA HAVINAA MASHIKO. LAKINI WAKIFANYA WENGINE NI HARAMU
Yaani we unaongea vitu hata mtoto wa nasari hawezi kuviongea si bora unyamazetu. Ili mradi ujulikane we uliona mtume anaenda uwanja wa tifa kushiriki mashindano ??? Acha kukwepakwepa sema ukweli
Hebu msikilize vizuri duktur halafu ndio useme
Sikiliza kwa kutaka kuelewa sio kiushabiki
Hakuna katika hadithi ya, mtume yoyote amesema salaf swalih wakizua baada yangu hiyo itakua sio bid'a.
Unatia huruma sana.
Eti doctor?
😂😂😂😂😂😂
Wewe unajilinganisha na swahaba?? Kwel umefiliska
Ustadh acha kutufanganya na kukwepa swali.
Wapi mtume au masahaba walifanya mashindano ya quran?
Kiukweli bidaa ziko aina mbili.
Kuna bidaatul hasanaa na bidaatul dhalala
Musabaqatul quran ulikuwepo kwani umesikiliza clip tofauti na hii tuliyosikiliza sie
Hio :
كل بدعة ضلالة.
Mtume aliwaambia, maswahaba kwa hivyo mtume aliwakataza wao kufanya bid'a kabla ya kutukataza sisi kwa hivyo ikiwa kufanya ambacho mtume hakufanya ni bid'a basi maswahaba wakifanya ambacho mtume hakufanya vilevile watakua wamefa ya bid'a.
Kwa hivyo musabaqa wa qur'an ni bid'a mtume hakufanya.
Upoooo.
Jambo lolote halikufanywa na mtume na maswahaba wanne ni bidaa hata uitetee namna ngani
Sote lengo letu ni 1 tuu ni kupata pepo tuuuu
Unajua nyinyi watu wa maulidi ni machizi sana, moja ya dalili yenu ya kuhalalisha maulidi zenu ni Eti Qur, aani inasomwa kwenye maulidi, mawaidha hutolea sadaka hugaiwa nk, Sasa leo Qur, aani ile ile ikishindaniwa full time Eti Bid, ah nyinyi kweli hamnazao
Habibu Muhammad wewe una chuki binafsi kwa sheikh Islam elezea wewe kama alivyoeleza mwari wewee
Kweli wewe jahili huzbi unapindisha maana hovyoo
Huyu anajikanyaga tu hamna kitu hapa sheikh gani anababaisha tu hamna cha maana anachoongea ni bora ukae kimya tu wewe wahabiyun
Ww una wazimu sana eti duktur wajua sunna ww ww mwenyewe huko kupinga kwako umepotoka midomo na vidole twataka dalili kutoka kwa mtumi aliweka mashindano ya qur,an kama unavo sema ww kuwa mtume hakusoma maulidi naukitaka ushindani njoo mambrui kwaheri
Ulifanyalo wewe nisawa,yawengine ni bidaa,huna jipya wewe islam