Mwokozi wetu (lyrics) 1Mwokozi wetu anatupa furaha duniani, atuongoza kwa neema na anatushibisha. Tazama, yupo pamoja nasi, neema haitaisha kamwe! Haleluya, haleluya, haleluya, Amina! 2Ni vema kumpenda Mungu aliyetukomboa, vizuri kuwa mtu wake, sitapotea kamwe. Furaha yetu itabakia, ikiwa vyote vingetoweka. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia! 3Ikiwa giza mara nyingi, na jua likifichwa, na tukijaribiwa huku twajuwa ni kwa mda. Mbinguni hatutaona kamwe huzuni wala machozi tena. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia! 4Na tusisumbukie tena chakula wala nyumba, maana vyote twavipata kwa ne’ma yake Mungu. Njiani yote atuongoza aichukuwa mizingo yetu. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia! 5Ikiwa vema huku chini kutegemea Yesu, furaha gani huko juu kuona uso wake. Tutaiona furaha tele, na utukufu hautaisha, Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!
ni twa kwizera bertrand nu kuri imana iguhe umugisha kandi ikwagure (ndakwemera)
Amen ico gisirimba ndagikunda cane
Asante papa , udukorere na siku moja mavuno yataisha umukunga
Aimable weeeeeeeeee n'uko wawaaaa❤❤❤❤❤❤❤
Mwokozi wetu (lyrics)
1Mwokozi wetu anatupa furaha duniani, atuongoza kwa neema na anatushibisha. Tazama, yupo pamoja nasi, neema haitaisha kamwe! Haleluya, haleluya, haleluya, Amina!
2Ni vema kumpenda Mungu aliyetukomboa, vizuri kuwa mtu wake, sitapotea kamwe. Furaha yetu itabakia, ikiwa vyote vingetoweka. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!
3Ikiwa giza mara nyingi, na jua likifichwa, na tukijaribiwa huku twajuwa ni kwa mda. Mbinguni hatutaona kamwe huzuni wala machozi tena. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!
4Na tusisumbukie tena chakula wala nyumba, maana vyote twavipata kwa ne’ma yake Mungu. Njiani yote atuongoza aichukuwa mizingo yetu. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!
5Ikiwa vema huku chini kutegemea Yesu, furaha gani huko juu kuona uso wake. Tutaiona furaha tele, na utukufu hautaisha, Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!
qa
QQ😊
Thx
❤❤ndakwemera
Pt frère Courage
Ark uzucuraga nez papaweee iman ikomez ikwagure
Jabbar hejuru cyaneeee ugira amavuta yihariye❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🎹🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nukuri Imana ikomeze yakwagura ndagukunda cyane
Imana iguhe umugisha
Ariko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Urumuhanga kbx🙌🙌🙌
❤️❤️❤️❤️❤️🎹🎹🎹🎹🎹🎼 turakwemera muri Africa hose
My q
Amen amen
Kbx komerez aho
Keep it up Aimbler
Urabasha kweli
Ubarikiwe sana uranfashije canee
❤amne ubarikiwe kaka
Love you
Uranfashije mwenewachu
Nice😊😊😊
God bless you bro. I need to start piano lessons
Amena kbc aima ❤❤
Good
Urimpura data we
Nakupenda petit
Karisawa wa
❤ ubarikiwe sanaaaaaa pp
Extremely,, good
Keep it up ❤
Asant sana brd
🔥🔥🙏🏻🤞👌
❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ cyakoze urarenze bro
baduhe number duture❤
on wait!!!
Congratulations 💜
Good 🙏
Tutorial please 🙏🏾
❤❤❤ cool 😎😎😎😎🇷🇼🇺🇸🇺🇸
I wish am on your country so that you can teach piano bro
❤❤❤❤🎹🎹🎹🎹🎹
❤❤❤❤
Nikonatafuta emable naiyiministere munipe adresse yenu
Hauja muona aimable???
please cut it for me it should be 7minutes I want to add something in zambian language please 🙌🇿🇲🇿🇲🇿🇲
❤❤❤❤ 🇧🇮 🇺🇸 🙏🙏🙏🙏😢😢😢😢
Amen
Williams Jose Perez Brian Martin Robert
😂😀🙌
ℕ𝕕𝕒𝕘𝕦𝕜𝕦𝕟𝕕𝕒 𝕓𝕣𝕠 𝕨𝕒𝕛𝕪𝕖
Good 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥
Amen